• HABARI MPYA

  Friday, December 01, 2023

  KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOWASILI FRANCISTOWN KUIVAA GALAXY


  WACHEZAJI wa Simba SC baada ya kuwasili Jijini Francistown nchini Botswana kwa ajili ya mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi dhidi ya wenyeji, Jwaneng Galaxy.
  PICHA: WACHEZAJI WA SIMBA BAADA YA KUWASILI FRANCISTOWN
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOWASILI FRANCISTOWN KUIVAA GALAXY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top