• HABARI MPYA

  Wednesday, November 30, 2022
  CHAMBO AIFUNGIA DODOMA JIJI YAICHAPA COASTAL 1-0

  CHAMBO AIFUNGIA DODOMA JIJI YAICHAPA COASTAL 1-0

  TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo U...
  YANGA KUMENYANA NA KURUGENZI YA SIMIYU ASFC, SIMBA NA EAGLE

  YANGA KUMENYANA NA KURUGENZI YA SIMIYU ASFC, SIMBA NA EAGLE

  DROO ya Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kamaAzam Sports Federation Cup (ASFC) imefanyika leo Jijini Da...
  Tuesday, November 29, 2022
  IHEFU YAZIMA REKODI YA YANGA KUTOFUNGWA MECHI YA 50

  IHEFU YAZIMA REKODI YA YANGA KUTOFUNGWA MECHI YA 50

  WENYEJI, Ihefu SC wamezima wimbi la Yanga kutopoteza mechi katika mchezo wa 50 baada ya ushindi wa 2-1 leo Uwanja wa Highland Estate huko M...
  KMC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA PRISONS UHURU

  KMC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA PRISONS UHURU

    WENYEJI, KMC wamelazimishwa sare ya 0-0 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es...
  Monday, November 28, 2022
  Sunday, November 27, 2022
  AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 CHAMAZI

  AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 CHAMAZI

  WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa...
  Saturday, November 26, 2022
  MAYELE APIGA MBILI YANGA YASHINDA 2-0 DAR

  MAYELE APIGA MBILI YANGA YASHINDA 2-0 DAR

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Benjami...
  BODI YA LIGI YAMFUNGIA MECHI TATU BEKI MGANDA

  BODI YA LIGI YAMFUNGIA MECHI TATU BEKI MGANDA

  BEKI Mganda wa Singida Big Stars, Shafiq Batambuze amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 kwa kosa alilofanya kwenye mechi dh...
  SINGIDA BIG STARS YAIPIGA RUVU 1-0 PALE PALE UHURU

  SINGIDA BIG STARS YAIPIGA RUVU 1-0 PALE PALE UHURU

  BAO la Frank Zakaria dakika ya 78 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya ya ...
  NAMUNGO FC YAIPIGA DODOMA JIJI 1-0 SINGIDA

  NAMUNGO FC YAIPIGA DODOMA JIJI 1-0 SINGIDA

  BAO la Abdulmalik Hamza dakika ya 82 limetosha kuipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu y...
  Friday, November 25, 2022
  GEITA GOLD YAICHAPA IHEFU 1-0 NA KUPANDA NNE BORA LIGI KUU

  GEITA GOLD YAICHAPA IHEFU 1-0 NA KUPANDA NNE BORA LIGI KUU

  TIMU ya Geita Gold imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Gei...
  Wednesday, November 23, 2022
  MBEYA CITY YATOA SARE NA SIMBA 1-1 SOKOINE

  MBEYA CITY YATOA SARE NA SIMBA 1-1 SOKOINE

  WENYEJI, Mbeya City wametoa sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya...
  SINGIDA STARS YAICHAPA KMC 1-0 LITI BAO LA KAGERE

  SINGIDA STARS YAICHAPA KMC 1-0 LITI BAO LA KAGERE

  BAO pekee la mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere dakika ya 40 limetosha kuipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo...
  Monday, November 21, 2022
  MTIBWA SUGAR YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 MANUNGU

  MTIBWA SUGAR YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 MANUNGU

  WENYEJI, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu ...
  KAGERA SUGAR YAICHAPA PRISONS 1-0 SOKOINE

  KAGERA SUGAR YAICHAPA PRISONS 1-0 SOKOINE

  BAO pekee la Meshack Abraham dakika ya 86 limeipa Kagera Sugar ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons kwenye mchezo w...
  Sunday, November 20, 2022
  AZAM FC YAIPIGA NAMUNGO 1-0 MAJALIWA NA KUREJEA KILELENI

  AZAM FC YAIPIGA NAMUNGO 1-0 MAJALIWA NA KUREJEA KILELENI

  TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC usiku huu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Majal...
  IHEFU SC YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 UBARUKU

  IHEFU SC YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 UBARUKU

  WENYEJI, Ihefu SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa...
  Saturday, November 19, 2022
  Friday, November 18, 2022
  Thursday, November 17, 2022
  MAYELE APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA SINGIDA 4-1

  MAYELE APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA SINGIDA 4-1

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwa...
  MBEYA CITY YATOA SARE 2-2 NA KAGERA SUGAR

  MBEYA CITY YATOA SARE 2-2 NA KAGERA SUGAR

  WENYEJI, Mbeya City wamelazimishwa sare ya 2-2 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Ji...
  Wednesday, November 16, 2022
  PHIRI AFUNGA BAO PEKEE SIMBA YAILAZA NAMUNGO 1-0

  PHIRI AFUNGA BAO PEKEE SIMBA YAILAZA NAMUNGO 1-0

  BAO pekee la mshambuliaji Mzambia, Moses Phiri dakika ya 32 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC usiku huu Uwanja wa Benjami...
  GEITA GOLD YAWATANDIKA PRISONS 4-2 SOKOINE

  GEITA GOLD YAWATANDIKA PRISONS 4-2 SOKOINE

  TIMU ya Geita Gold imeibuka na ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa...
  MTIBWA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MANUNGU

  MTIBWA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MANUNGU

  WENYEJI, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa ...
  WAOGELEAJI 63 WA TANZANIA KUWANIA UBINGWA WA AFRIKA

  WAOGELEAJI 63 WA TANZANIA KUWANIA UBINGWA WA AFRIKA

  WAOGELEAJ 63 wa timu ya taifa ya Tanzania (Tanzanites na Diamond)  kesho  (Alhamis Novemba 17) wanaanza kampeni ya kutwaa ubingwa wa michuan...
  Tuesday, November 15, 2022
  AZAMFC YAREJEA KILELENI BAADA YA KUIPIGA RUVU 1-0 CHAMAZI

  AZAMFC YAREJEA KILELENI BAADA YA KUIPIGA RUVU 1-0 CHAMAZI

  BAO la penalti la mshambuliaji Mkongo, Idris Mbombo dakika ya 73 limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo...
  Monday, November 14, 2022
  Sunday, November 13, 2022
  KINDA CLEMENT AING’ARISHA YANGA KIRUMBA

  KINDA CLEMENT AING’ARISHA YANGA KIRUMBA

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wamerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Uwanja w...
  MBEYA CITY YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL UNION SOKOINE

  MBEYA CITY YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL UNION SOKOINE

  WENYEJI, Mbeya City wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa So...
  NABI AWA KOCHA BORA LIGI KUU OKTOBA, SABILO MCHEZAJI BORA

  NABI AWA KOCHA BORA LIGI KUU OKTOBA, SABILO MCHEZAJI BORA

  MTUNISIA wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Oktoba, huku mshambuliaji wa M...
  WILLOCK AIFUNGIA BAO PEKEE NEWCASTLE YAICHAPA CHELSEA 1-0

  WILLOCK AIFUNGIA BAO PEKEE NEWCASTLE YAICHAPA CHELSEA 1-0

  BAO pekee la mshambuliaji wa England, Joseph George Willock dakika ya 67 jana liliipa Newcastle United ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea FC Uw...
  Saturday, November 12, 2022
  SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 1-0 NA KUISHUSHIA YANGA NAFASI YA TATU

  SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 1-0 NA KUISHUSHIA YANGA NAFASI YA TATU

  BAO pekee la winga Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 63 limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
  AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA 4-3 MTIBWA

  AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA 4-3 MTIBWA

  TIMU ya Azam FC imepanda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa ugenini wa mabao 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar j...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top