• HABARI MPYA

  Wednesday, March 31, 2021
  MWANAYANGA NA MMILIKI WA SINGIDA UNITED, DK MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA NAFASI YA DK MPANGO WIZARA YA FEDHA

  MWANAYANGA NA MMILIKI WA SINGIDA UNITED, DK MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA NAFASI YA DK MPANGO WIZARA YA FEDHA

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan amemteua Dk Mwigulu Lameck Nchemba, Mlezi wa klabu ya Singida United kuwa...
  TANZANIA YAJIWEKA PAZURI KUFUZU AFCON YA SOKA LA UFKWENI BAADA YA KUIPIGA BURUNDI 8-3

  TANZANIA YAJIWEKA PAZURI KUFUZU AFCON YA SOKA LA UFKWENI BAADA YA KUIPIGA BURUNDI 8-3

  TANZANIA jana imeichapa Burundi 8-3 katika mcheza wa kwanza kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa soka la Ufukweni (AFCON - Beach...
  Tuesday, March 30, 2021
  ALIYELISIFIA BAO LA MORRISON BUNGENI ATEULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

  ALIYELISIFIA BAO LA MORRISON BUNGENI ATEULIWA KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan amewasilisha jina la Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpan...
  Monday, March 29, 2021
  MKENYA RAZACK SIWA ASAINI MKATABA WA KUWA KOCHA WA MAKIPA WA KLABU YA YANGA

  MKENYA RAZACK SIWA ASAINI MKATABA WA KUWA KOCHA WA MAKIPA WA KLABU YA YANGA

  KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga SC, Hajji Mfikirwa akiwa ameshika nakala za mkataba pamoja na Razak Siwa (kulia) baada ya Mkenya huyo kuajiriwa k...
  Sunday, March 28, 2021
  TAIFA STARS YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA KUFUZU AFCON KWA KUICHAPA LIBYA 1-0 BAO PEKEE LA MSUVA

  TAIFA STARS YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA KUFUZU AFCON KWA KUICHAPA LIBYA 1-0 BAO PEKEE LA MSUVA

  TANZANIA imekamilisha mechi zake za Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Libya leo Uwanja wa Ben...
  Friday, March 26, 2021
  TAIFA STARS YATUPWA NJE AFCON YA CAMEROON MWAKANI BAADA YA KUPIGWA 1-0 NA EQUATORIAL GUINEA MJINI MALABO

  TAIFA STARS YATUPWA NJE AFCON YA CAMEROON MWAKANI BAADA YA KUPIGWA 1-0 NA EQUATORIAL GUINEA MJINI MALABO

  TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Equatorial Guinea jana Uwanja wa Nu...
  Thursday, March 25, 2021
  Wednesday, March 24, 2021
  BOSI WA SIMBA SC, MO DEWJI ALIVYOMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN POMBE MAGUFULI

  BOSI WA SIMBA SC, MO DEWJI ALIVYOMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN POMBE MAGUFULI

  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji akiuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  Tuesday, March 23, 2021
  TAIFA STARS KATIKA MAZOEZI YA MWISHO NAIROBI KABLA YA KUWAFUATA EQUATORIAL GUINEA MECHI YA KUFUZU AFCON MALABO

  TAIFA STARS KATIKA MAZOEZI YA MWISHO NAIROBI KABLA YA KUWAFUATA EQUATORIAL GUINEA MECHI YA KUFUZU AFCON MALABO

  WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakifanya mazoezi ya mwisho Uwanja wa Chuo cha Utalii, Nairobi, Kenya, kabla ya ...
  Monday, March 22, 2021
  Sunday, March 21, 2021
  BOSI MKUBWA WA AZAM FC AUNGANA NA WATANZANIA WENGINE KUMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN MAGUFULI

  BOSI MKUBWA WA AZAM FC AUNGANA NA WATANZANIA WENGINE KUMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN MAGUFULI

  Mtendaji Mkuu wa Bakhresa Group, Abubakar Bakhresa (katikati), wamiliki wa Azam FC akiwa na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Hussein...
  WACHEZAJI WA YANGA SC WALIVYOUAGA MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA, DK JOHN POMBE MAGUFULI

  WACHEZAJI WA YANGA SC WALIVYOUAGA MWILI WA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA, DK JOHN POMBE MAGUFULI

    KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Abdul Razak Fiston akiwoangoza wachezaji wenzake na Maafisa mbalimbali kwenda kuuaga mwili wa...
  Saturday, March 20, 2021
  RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI

  RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI

  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, akisaini kitabu cha waombolezaji kwenye msiba wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muun...
  Friday, March 19, 2021
  Thursday, March 18, 2021
  Wednesday, March 17, 2021
  NAMUNGO FC YAPIGWA TENA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO, YACHAPWA 2-0 NA PYRAMIDS YA MISRI LEO DAR

  NAMUNGO FC YAPIGWA TENA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO, YACHAPWA 2-0 NA PYRAMIDS YA MISRI LEO DAR

  MABAO ya Ramadhani Sobhi dakika ya 71 kwa penalti na Omar Gaber dakika ya 84 leo yameipa Pyramids FC ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Namung...
  SIMON MSUVA ATAMANI KUKUTANA NA SIMBA SC KATIKA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  SIMON MSUVA ATAMANI KUKUTANA NA SIMBA SC KATIKA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  KIUNGO wa zamani wa Yanga SC, Simon Happygod Msuva amesema atafurahi kukutana na timu ya nyumbani, Simba SC katika Robo Fainali ya Ligi ya M...
  MANCHESTER CITY YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  MANCHESTER CITY YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

  MABAO ya Kevin De Bruyne dakika ya 12 na Ilkay Gundogan dakika ya 18 jana yaliipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Monchengl...
  Tuesday, March 16, 2021
  SIMBA YAITANDIKA EL MERREIKH 3-0 DAR NA KUTANGULIZA MGUU MMOJA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

  SIMBA YAITANDIKA EL MERREIKH 3-0 DAR NA KUTANGULIZA MGUU MMOJA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

  Na Asha Kigundula, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania, Simba SC jana wameendeleza furaha kwa mashabiki wake baaada ya ushindi wa 3-0 dhidi y...
  ANTHONY JOSHUA NA TYSON FURY WASAINI MKATABA KUPAMBANA

  ANTHONY JOSHUA NA TYSON FURY WASAINI MKATABA KUPAMBANA

  MABONDIA Waingereza Anthony Joshua na Tyson Fury wamesaini mkataba wa Pauni Milioni 200 kwa ajili ya pambano la kuunganisha mataji ya uzito ...
  Monday, March 15, 2021
  TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA HARAMBEE SRARS KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO NAIROBI

  TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA HARAMBEE SRARS KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI LEO NAIROBI

  WENYEJI, Kenya wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jioni ya leo Uwania wa Nyayo Jijini Nair...
  Sunday, March 14, 2021
  GWAMBINA FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA POLISI TANZANIA MISUNGWI, LEO NI PRISONS NA JKT SUMBAWANGA

  GWAMBINA FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA POLISI TANZANIA MISUNGWI, LEO NI PRISONS NA JKT SUMBAWANGA

  BAADA ya Gwambina FC kulazimishwa suluhu na Polisi Tanzania Misungwi mkoani Mwanza jana – Ligi Kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea le...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top