• HABARI MPYA

  Thursday, October 31, 2019
  YANGA SC YAWAFUATA PYRAMIDS FC KIKAMILIFU KUJARIBU KUPINDUA MEZA CAIRO JUMAPILI

  YANGA SC YAWAFUATA PYRAMIDS FC KIKAMILIFU KUJARIBU KUPINDUA MEZA CAIRO JUMAPILI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIKOSI cha Yanga SC kimeondoka leo jioni mjini Dar es Salaam kwenda Misri kwa ajili ya mchezo wa marudian...
  MBAO FC CHUPUCHUPU KUPIGWA TENA KIRUMBA, YACHOMOA KWA PENALTI DAKIKA YA MWISHO

  MBAO FC CHUPUCHUPU KUPIGWA TENA KIRUMBA, YACHOMOA KWA PENALTI DAKIKA YA MWISHO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO la penalti dakika ya 90 na ushei limeinusuru Mbao FC kuchapwa tena nyumbani, baada ya kulazimisha sar...
  SAMATTA AFUNGA BAO MUHIMU KRC GENK YATOKA NYUMA NA KUPATA SARE YA 2-2 NYUMBANI

  SAMATTA AFUNGA BAO MUHIMU KRC GENK YATOKA NYUMA NA KUPATA SARE YA 2-2 NYUMBANI

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao la kwanza la kusawazisha, timu yake, ...
  LIVERPOOL YAING'OA ARSENAL KWA MATUTA CARABAO BAADA YA SARE YA 5-5

  LIVERPOOL YAING'OA ARSENAL KWA MATUTA CARABAO BAADA YA SARE YA 5-5

  Curtis Jones akipongezwa na wenzake baada ya kufunga penalti ya ushindi Liverpool ikiichapa Arsenal kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 5-5 ...
  Wednesday, October 30, 2019
  SIMBA SC YAPUNGUZWA KAZI SHINYANGA, YACHAPWA 1-0 NA MWADUI FC KAMBARAGE

  SIMBA SC YAPUNGUZWA KAZI SHINYANGA, YACHAPWA 1-0 NA MWADUI FC KAMBARAGE

  Na Asha Said, SHINYANGA MABINGWA watetezi, Simba SC leo wamepunguzwa kasi baada ya kuchapwa 1-0 na wenyeji, Mwadui FC katika mchezo wa Lig...
  AZAM FC MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA KAGERA SUGAR CHAMAZI

  AZAM FC MAZOEZINI KUJIANDAA NA MCHEZO UJAO WA LIGI KUU DHIDI YA KAGERA SUGAR CHAMAZI

  Mshambuliaji Mrundi wa Azam FC, Suleiman Ndikumana akiwa mazoezini jana kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ka...
  MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL VALLADOLID 5-1 LA LIGA

  MESSI APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL VALLADOLID 5-1 LA LIGA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 34 na 75 katika ushindi wa 5-1 wa Barcelona dhidi ya Real Valladolid us...
  AGUERO APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-1

  AGUERO APIGA MBILI MANCHESTER CITY YAICHAPA SOUTHAMPTON 3-1

  Sergio Aguero na Nicolas Otamendi (kulia) wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 wa Manchester City dhidi ya Southampt...
  Tuesday, October 29, 2019
  AISHI MANULA ALIVYOPATA MAPOKEZI MAZURI SIMBA SC ILIPOWASILI SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC KESHO

  AISHI MANULA ALIVYOPATA MAPOKEZI MAZURI SIMBA SC ILIPOWASILI SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC KESHO

  Mashabiki wa Simba SC wakimpiga picha kwa furaha kipa Aishi Manula baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili Shinyanga jana kwa ajili ya mch...
  EBITOKE AFURAHISHWA NA MAHUSIANO MAZURI YA KIMTANDAO BAINA YA TANZANIA NA CHINA

  EBITOKE AFURAHISHWA NA MAHUSIANO MAZURI YA KIMTANDAO BAINA YA TANZANIA NA CHINA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSANII wa vichekesho hapa nchini Anastazia Exavery maarufu kwa jina la 'Ebitoke', amekoshwa na ma...
  Sunday, October 27, 2019
  SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, AZAM FC YAPIGWA 1-0 NA RUVU MLANDIZI

  SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, AZAM FC YAPIGWA 1-0 NA RUVU MLANDIZI

  Na Mwandishi Wetu, ARUSHA SIMBA SC imeendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida United kwenye mchezo wa ...
  SAMATTA ATOLEWA DAKIKA ZA MWISHONI GENK YAICHAPA 1-0 CERCLE BRUGGE LIGI YA UBELGIJI

  SAMATTA ATOLEWA DAKIKA ZA MWISHONI GENK YAICHAPA 1-0 CERCLE BRUGGE LIGI YA UBELGIJI

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza kwa dakika 80 timu yake, KRC Genk ikiibuk...
  Saturday, October 26, 2019
  PULISIC APIGA HAT TRICK CHESLEA YAICHAPA BURNLEY 4-2 TURF MOOR

  PULISIC APIGA HAT TRICK CHESLEA YAICHAPA BURNLEY 4-2 TURF MOOR

  Kiungo Mmarekani, Christian Pulisic akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dakika za 21, 45 na 56 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya weny...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top