• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 28, 2018
  YANGA SC YAITANDIKA NDANDA FC 2-1 NANGWANDA…MBIO ZA UBINGWA ZAZIDI KUPAMBA MOTO

  YANGA SC YAITANDIKA NDANDA FC 2-1 NANGWANDA…MBIO ZA UBINGWA ZAZIDI KUPAMBA MOTO

  Na Mwandishi Wetu, MTWARA YANGA SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vo...
  TAJIRI MUSLAH NA KIJANA WAKE HAJJI SUNDAY WAKIPATA BURUDANI YA 5-0

  TAJIRI MUSLAH NA KIJANA WAKE HAJJI SUNDAY WAKIPATA BURUDANI YA 5-0

  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Muslah Al Ruwaih (katikati) akiwa na viongozi wenzake, Ally Suru (kulia) na Hajji Sunday Manara wa...
  'KAPTENI' HIMID MAO AREJEA KUONGEZA NGUVU AZAM FC BAADA YA KUPONA

  'KAPTENI' HIMID MAO AREJEA KUONGEZA NGUVU AZAM FC BAADA YA KUPONA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wawili wa Azam FC, Nahodha Himid Mao ‘Ninja’ na mshambuliaji Wazir Junior, wamerejea rasmi mazo...
   YANGA KUVUNJA MWIKO WA KUTOIFUNGA NDANDA FC NANGWANDA LEO?

  YANGA KUVUNJA MWIKO WA KUTOIFUNGA NDANDA FC NANGWANDA LEO?

  REKODI YA YANGA NA NDANDA FC                      P W D L GF GA  GD Pts Ndanda FC 8 3 3 2 8    4     4 10 ...
  BILA RONALDO NA REAL MADRID YACHAPWA KIMOJA TU

  BILA RONALDO NA REAL MADRID YACHAPWA KIMOJA TU

  Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akipambana kumpita mchezaji wa Espanyol, David Lopez (kushoto) katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumann...
  Jumanne, Februari 27, 2018
  NGORONGORO HEROES KUANZA NA DRC KUFUZU FAINALI ZA AFCON U-20

  NGORONGORO HEROES KUANZA NA DRC KUFUZU FAINALI ZA AFCON U-20

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes imepangwa kucheza na Jamhuri ya Kidemokrasia...
  TWIGA STARS KUCHEZA NA ZAMBIA AFCON YA WANAWAKE

  TWIGA STARS KUCHEZA NA ZAMBIA AFCON YA WANAWAKE

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars itacheza na Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za ...
  CAF YATAJA WATANZANI SITA KUCHEZESHA NA KUSIMAMIA MECHI LIGI YA MABINGWA NA KOMBE LA SHIRIKISHO

  CAF YATAJA WATANZANI SITA KUCHEZESHA NA KUSIMAMIA MECHI LIGI YA MABINGWA NA KOMBE LA SHIRIKISHO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAREFA wanne wa Tanzania wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa(CAF) kuchezesha mchezo wa kom...
  KAMATI YA MAADILI YAWAFUNGIA VIONGOZI MVUVUMWA KWA KUGHUSHI LESENI ZA WACHEZAJI

  KAMATI YA MAADILI YAWAFUNGIA VIONGOZI MVUVUMWA KWA KUGHUSHI LESENI ZA WACHEZAJI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Maadili ya TFF ilIyokutana Februari 3, 2018 na Februari 17,2018, katika ofisi za TFF Karume,Pam...
  SHABIKI HUYU WA SIMBA NINI KILIMSIBU JANA?

  SHABIKI HUYU WA SIMBA NINI KILIMSIBU JANA?

  Wapenzi wa klabu ya Simba wakiwa wamembeba mwenzao wa kike aliyepoteza fahamu jana wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara d...
  MECHI YA SIMBA NA STAND UNITED YARUDISHWA NYUMA KWA SIKU MBILI, SASA KUPIGWA IJUMAA

  MECHI YA SIMBA NA STAND UNITED YARUDISHWA NYUMA KWA SIKU MBILI, SASA KUPIGWA IJUMAA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Simba SC na Stand United ya Shinyanga uliopangwa kuf...
  PSG YATHIBITISHA NEYMAR AMEVUNJIKA MFUPA WA MGUU

  PSG YATHIBITISHA NEYMAR AMEVUNJIKA MFUPA WA MGUU

  MSHAMBULIAJI  Neymar  yuko shakani kuichezea  Paris Saint-Germain  katika mechi ya marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi...
  HERRERA WA MAN UNITED HATARINI KWENDA JELA MIAKA MINNE

  HERRERA WA MAN UNITED HATARINI KWENDA JELA MIAKA MINNE

  KIUNGO wa  Manchester United , Ander Herrera anakabiliwa na mashitaka ya kiungo cha miaka minne jela nchini Hispania kwa tuhuma za kupanga...
  WENGER SASA SAFARI IMEIVA ARSENAL, WA KUMRITHI WATAJWA

  WENGER SASA SAFARI IMEIVA ARSENAL, WA KUMRITHI WATAJWA

  KLABU ya Arsenal itaitathmini nafasi ya Arsene Wenger  mwishoni mwa msimu — kukiwa na uwezekano wa kuhitimisha miaka 22 ya Mfaransa huyo. ...
  SIMBA NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

  SIMBA NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Mganda Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mbao FC, David Mwasa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara j...
  BODI YA LIGI YAIPA AHUENI YANGA MAANDALIZI LIGI YA MABINGWA, YAAHIRISHA MECHI NA MTIBWA

  BODI YA LIGI YAIPA AHUENI YANGA MAANDALIZI LIGI YA MABINGWA, YAAHIRISHA MECHI NA MTIBWA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya wenyeji Mtibwa Sugar na Yanga SC ya Dar es Salaam ul...
  Jumatatu, Februari 26, 2018
  PRISONS NA STAND UNITED NAZO ZATINGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  PRISONS NA STAND UNITED NAZO ZATINGA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU za Tanzania Prisons na Stand United zimekamilisha idadi ya timu nane za kucheza hatua Robo Fainali y...
  BOCCO AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA JANAURI LIGI KUU

  BOCCO AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA JANAURI LIGI KUU

  Ofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jemadari Said (kushoto) akimkabidhi mshambuliaji na Nahodha wa Simba, John Bocco tuzo ya Mche...
  SIMBA SC YAWATUMIA SALAMU WAARABU, YAWAPIGA MBAO FC 5-0 TAIFA

  SIMBA SC YAWATUMIA SALAMU WAARABU, YAWAPIGA MBAO FC 5-0 TAIFA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imezidi kuukimbilia kwa kasi ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa m...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top