• HABARI MPYA

    Saturday, April 30, 2022
    SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, SARE 0-0 MKAPA

    SIMBA NA YANGA HAKUNA MBABE, SARE 0-0 MKAPA

    MABINGWA watetezi, Simba SC wametoa sare ya bila mabao na vinara wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini D...
    Friday, April 29, 2022
    Thursday, April 28, 2022
    Wednesday, April 27, 2022
    KAPTENI BOCCO AREJEA KUIVAA YANGA JUMAMOSI

    KAPTENI BOCCO AREJEA KUIVAA YANGA JUMAMOSI

    NAHODHA wa Simba SC, John Raphael Bocco amerejea mazoezini kuelekea mechi dhidi ya watani, Yanga Jumamosi baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwe...
    DJUMA SHABANI HATARINI KUWAKOSA SIMBA JUMAMOSI

    DJUMA SHABANI HATARINI KUWAKOSA SIMBA JUMAMOSI

    BEKI hodari na tegemeo wa Yanga SC, Mkongo Djuma Shabani yuko shakani kuiwahi mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Si...
    Tuesday, April 26, 2022
    Monday, April 25, 2022
    Sunday, April 24, 2022
    YANGA PRINCESS YAFUTA UTEJA KWA SIMBA QUEENS

    YANGA PRINCESS YAFUTA UTEJA KWA SIMBA QUEENS

    TIMU ya Yanga Princess imeweka historia baada ya kuibuka na ushindi kwa mara ya kwanza dhidi ya mahasimu, Simba Queens katika mchezo wa Ligi...
    YONDAN NA NABI WAFUNGIWA, REFA YANGA NA GEITA KIKAANGONI TFF

    YONDAN NA NABI WAFUNGIWA, REFA YANGA NA GEITA KIKAANGONI TFF

    BEKI wa Geita Gold, Kelvin Yondan amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kosa la kumchezea rafu ya makusudi mshambuliaj...
    Saturday, April 23, 2022
    YANGA YAICHAPA NAMUNGO 2-1 , MAYELE ATETEMA TENA

    YANGA YAICHAPA NAMUNGO 2-1 , MAYELE ATETEMA TENA

    VIGOGO, wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini...
    Friday, April 22, 2022
    MBEYA KWANZA YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 SONGEA

    MBEYA KWANZA YAICHAPA COASTAL UNION 2-0 SONGEA

    WENYEJI, wahamiaji Mbeya Kwanza wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo U...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top