• HABARI MPYA

  Saturday, September 30, 2023
  WAWILI KADI NYEKUNDU LIVERPOOL YACHAPWA 2-1 TOTTENHAM

  WAWILI KADI NYEKUNDU LIVERPOOL YACHAPWA 2-1 TOTTENHAM

  WENYEJI, Tottenham Hotspur wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham...
  WOLVES WAWAKANDA MABINGWA WATETEZI MAN CITY 1-0 MOLINEUX

  WOLVES WAWAKANDA MABINGWA WATETEZI MAN CITY 1-0 MOLINEUX

  MABINGWA watetezi, Manchester City wamepoteza mchezo wa kwanza wa msimu wa Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 2-1 na wenyeji, Wolve...
  MAN UNITED WACHAPWA 1-0 NA CRYSTAL PALACE OLD TRAFFORD

  MAN UNITED WACHAPWA 1-0 NA CRYSTAL PALACE OLD TRAFFORD

  WENYEJI, Manchester United wamechapwa 1-0 na wenyeji, Crystal  Palace bao pekee la beki Mdenmark, Joachim Andersen dakika ya 25 katika mchez...
  GREEN WARRIORS, POLISI TANZANIA NA STAND UNITED ZATAMBA CHAMPIONSHIP

  GREEN WARRIORS, POLISI TANZANIA NA STAND UNITED ZATAMBA CHAMPIONSHIP

  TIMU ya Stand United imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Copco United ya Mwanza katika mchezo wa  Ligi ya NBC Championship leo Uwanja wa Kam...
  Friday, September 29, 2023
  COASTAL UNION NA TABORA UNITED HAKUNA MBABE, 0-0 MKWAKWANI

  COASTAL UNION NA TABORA UNITED HAKUNA MBABE, 0-0 MKWAKWANI

  TIMU ya Coastal Unión imelazimishwa sare ya bila mabao na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwa...
  JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA KAGERA SUGAR 1-1 KAMBARAGE

  JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE KWA KAGERA SUGAR 1-1 KAMBARAGE

  TIMU ya JKT Tanzania imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Ka...
  Thursday, September 28, 2023
  WAZIRI NDUMBARO ATEMBELEA KAMBI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE CAIRO

  WAZIRI NDUMBARO ATEMBELEA KAMBI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE CAIRO

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro ametembelea Kambi ya timu ya Singida Fountain Gate iliyopo Cairo Misri ikijiandaa n...
  COASTAL NA YANGA ZAONYWA, KOCHA WA AZAM APIGWA FAINI

  COASTAL NA YANGA ZAONYWA, KOCHA WA AZAM APIGWA FAINI

  BODI ya Ligi imezionya klabu za za Coastal Unión na Yanga kwa makosa tofauti ya kikanuni, huku Kocha wa Makipa wa Azam FC, Khalifa Aboubakar...
  ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 1-0 NA KUSONGA MBELE CARABAO CUP

  ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 1-0 NA KUSONGA MBELE CARABAO CUP

  TIMU ya Arsenal imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Brentford City bao pe...
  LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA LEICESTER CITY 3-1

  LIVERPOOL YATOKA NYUMA NA KUICHAPA LEICESTER CITY 3-1

  WENYEJI, Liverpool jana wametoka nyuma na kuichapa Leicester City Mabao 3-1 na kutinga Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Ligi England, maarufu ka...
  Wednesday, September 27, 2023
  MAN UNITED YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-0 CARABAO CUP

  MAN UNITED YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-0 CARABAO CUP

  TIMU ya Manchester United imefanikiwa kwenda Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ...
  Tuesday, September 26, 2023
  Monday, September 25, 2023
  WAZIRI DK. NDUMBARO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CAF NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MKUU

  WAZIRI DK. NDUMBARO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CAF NA KUZUNGUMZA NA KATIBU MKUU

  WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amefanya ziara katika Ofisi za Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (...
  Sunday, September 24, 2023
  ARSENAL YANG’ANG’ANIWA NA EMIRATES, SARE 2-2 NA SPURS

  ARSENAL YANG’ANG’ANIWA NA EMIRATES, SARE 2-2 NA SPURS

  TIMU ya Arsenal imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Tottenham katika mechi ya mahasimu wa Kaskazini mwa London leo Uwanja wa Emirat...
  LIVERPOOL YAICHAPA WEST HAM UNITED 3-1 NA KUKAA NYUMA YA MAN CITY

  LIVERPOOL YAICHAPA WEST HAM UNITED 3-1 NA KUKAA NYUMA YA MAN CITY

  WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Ma...
  MBEYA KWANZA YAIFUMUA MBEYA CITY 4-0 MTWARA

  MBEYA KWANZA YAIFUMUA MBEYA CITY 4-0 MTWARA

  TIMU ya Mbeya Kwanza jana imepanda kileleni mwa Ligi ya NBC Championship baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Nangwan...
  Saturday, September 23, 2023
  HAALAND AFUNGA MAN CITY YAICHAPA NOTTINGHAM FOREST 2-0

  HAALAND AFUNGA MAN CITY YAICHAPA NOTTINGHAM FOREST 2-0

  MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Nottingham Forest katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa...
  Friday, September 22, 2023
  LIVERPOOL YATOKA NYUMA KUSHINDA 3-1 UGENINI EUROPA LEAGUE

  LIVERPOOL YATOKA NYUMA KUSHINDA 3-1 UGENINI EUROPA LEAGUE

  TIMU ya Liverpool imetoka nyuma na kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji, LASK usiku wa jana katika mchezo wa Kundi E UEFA Europa...
  Thursday, September 21, 2023
  AZAM FC YAICHAPA SINGIDA FOUNTAIN GATE 2-1 CHAMAZI

  AZAM FC YAICHAPA SINGIDA FOUNTAIN GATE 2-1 CHAMAZI

  TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa...
  BAKEKE APIGA HAT-TRICK SIMBA YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 UHURU

  BAKEKE APIGA HAT-TRICK SIMBA YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 UHURU

  MSHAMBULIAJI Mkongo, Jean Othos Baleke amefunga mabao yote Simba ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Unión ya Tanga katika mchezo wa...
  ARSENAL YAIMIMINIA PSV 4-0 EMIRATES LIGI YA MABINGWA

  ARSENAL YAIMIMINIA PSV 4-0 EMIRATES LIGI YA MABINGWA

  TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi katika mchezo wa Kundi Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa j...
  MAN UNITED YACHAPWA 4-3 NA BAYERN MUNICH UJERUMANI

  MAN UNITED YACHAPWA 4-3 NA BAYERN MUNICH UJERUMANI

  TIMU ya Manchester United imeanza vibaya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuchapwa mabao 4-3 na wenyeji, Bayern Munich katika mch...
  Wednesday, September 20, 2023
  YANGA YAIZIMA NAMUNGO FC DAKIKA ZA MWISHONI, 1-0 CHAMAZI

  YANGA YAIZIMA NAMUNGO FC DAKIKA ZA MWISHONI, 1-0 CHAMAZI

  BAO la dakika ya 88 la kiungo Mzanzibari, Mudathir Yahya Abbas limeipa Yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
  MASHABIKI WANNE WA NAMUNGO WAFARIKI AJALINI WAKIIFUATA YANGA

  MASHABIKI WANNE WA NAMUNGO WAFARIKI AJALINI WAKIIFUATA YANGA

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa salamu za pole kufuatia vifo vya mashabiki wanne wa Namungo FC na wengine 16 kujeruhiwa kwenyeajal...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top