• HABARI MPYA

  Jumatatu, Mei 31, 2021
  CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2

  CAS YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA MORRISON DHIDI YA KESI YA YANGA SC, ITAANZA KUSIKILIZWA JUNI 2

  MAHAKAMA ya Usuluhishi wa Kimataifa ya Michezo (CAS) imetupilia mbali pingamizi la winga Mghana, Bernard Morrison kutaka kesi iliyofunguliwa...
  SIMBA SC KUONDOKA KESHO KWA NDEGE KWENDA MWANZA KUMENYANA NA RUVU SHOOTING MECHI YA LIGI KUU ALHAMISI

  SIMBA SC KUONDOKA KESHO KWA NDEGE KWENDA MWANZA KUMENYANA NA RUVU SHOOTING MECHI YA LIGI KUU ALHAMISI

   MABINGWA watetezi, Simba SC wanatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kesho asubuhi kwa ndege kwenda Mwanza Alhamisi watacheza mechi ya Ligi Kuu ...
  FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA

  FREDDY FELIX MINZIRO ATEULIWA KOCHA BORA WA LIGI DARAJA LA KWANZA BAADA YA KUIPA GEITA GOLD UBINGWA

    KOCHA mzoefu, Freddy Felix Kataraiya Minziro ameteuliwa Kocha Bora wa msimu wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya kuiwezesha tim...
  YANGA SC YAACHANA NA KIUNGO MUANGOLA CARLOS CARLINHOS ALIYEKUWA ANAANDAMWA NA MAJERUHI MFULULIZO

  YANGA SC YAACHANA NA KIUNGO MUANGOLA CARLOS CARLINHOS ALIYEKUWA ANAANDAMWA NA MAJERUHI MFULULIZO

    KLABU ya Yanga imemuacha kiungo Muangola, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo, maarufu kama Carlinhos kwa makubaliano ya pande zote...
  Jumapili, Mei 30, 2021
  CHELSEA BINGWA ULAYA, YAIPIGA MAN CITY 1-0 URENO

  CHELSEA BINGWA ULAYA, YAIPIGA MAN CITY 1-0 URENO

  TIMU ya Chelsea imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester City usiku huu Uwanja wa Do Dr...
  Jumamosi, Mei 29, 2021
  TANZANIA YAKAMILISHA MECHI ZAKE KWA KUCHAPWA 4-2 NA MISRI FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI NCHINI SENEGAL

  TANZANIA YAKAMILISHA MECHI ZAKE KWA KUCHAPWA 4-2 NA MISRI FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI NCHINI SENEGAL

   TANZANIA imeambulia kipigo cha mabao 4-2 mbele ya Misri katika mchezo wa kuwania nafasi ya tano kwenye Fainali za Afrika za soka la Ufukwen...
  Ijumaa, Mei 28, 2021
  DILUNGA WA SIMBA SC AENGULIWA KIKOSI CHA TAIFA STARS NAFASI YAKE APEWA MUDATHIR YAHYA WA AZAM FC

  DILUNGA WA SIMBA SC AENGULIWA KIKOSI CHA TAIFA STARS NAFASI YAKE APEWA MUDATHIR YAHYA WA AZAM FC

  KIUNGO wa Simba SC, Hassan Dilunga ameenguliwa kwenye kikosi kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kilichotajwa leo na kocha Mde...
  KIM POULSEN AITA 27 TAIFA STARS, WANANE WANATOKA SIMBA SC...AZAM NA YANGA ZATOA WANNE KILA TIMU

  KIM POULSEN AITA 27 TAIFA STARS, WANANE WANATOKA SIMBA SC...AZAM NA YANGA ZATOA WANNE KILA TIMU

   KOCHA Mdenmark, Kim Paulsen ametaja kikosi cha wachezaji 27 cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoingia kambini Juni 5, mwaka...
  Alhamisi, Mei 27, 2021
  KAMATI YA UTENDAJI YAKUTANA LEO DAR NA KUAMUA UCHAGUZI MKUU WA TFF UFANYIKE AGOSTI 7, MWAKA HUU

  KAMATI YA UTENDAJI YAKUTANA LEO DAR NA KUAMUA UCHAGUZI MKUU WA TFF UFANYIKE AGOSTI 7, MWAKA HUU

   UCHAGUZI Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utafanyika Agosti 7, mwaka huu, imeelezwa. Hayo yamesemwa na Rais wa TFF, Wallace Karia ...
  SIMBA SC WAZAWADIWA SH MILIONI 50 KWA KUFIKA HATUA YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  SIMBA SC WAZAWADIWA SH MILIONI 50 KWA KUFIKA HATUA YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

   MDHAMINI mkuu wa Simba  kampuni ya Sportpesa leo imeikabidhi klabu hiyo zawadi ya Sh. Milioni 50 kama zawadi kwa kufika hatua ya Robo Faina...
  TFF YASEMA KLABU ITAKAYOKUWA INADAIWA NA MCHEZAJI HAITASHIRIKI LIGI KUU MSIMU UJAO

  TFF YASEMA KLABU ITAKAYOKUWA INADAIWA NA MCHEZAJI HAITASHIRIKI LIGI KUU MSIMU UJAO

   SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema klabu ambayo itakuwa inadaiwa na mchezaji haitaruhusiwa kushiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara msim...
  MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANASOKA TANZANIA UTAKAOFANYIKA MWEZI UJAO NCHINI

  MMOJA TU APITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA CHAMA CHA WANASOKA TANZANIA UTAKAOFANYIKA MWEZI UJAO NCHINI

   MWENYEKITI wa Chama cha Wachezaji Tanzania (SPUTANZA) Mussa Mohamed Kisoki pekee amepitishwa kugombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi utak...
  TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 3-1 NA SENEGAL JIJINI DAKAR

  TANZANIA YATUPWA NJE FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 3-1 NA SENEGAL JIJINI DAKAR

   TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Soka la Ufukweni Afrika baada ya kuchapwa 3-1 na wenyeji, Senegal katika mchezo wa Kundi A jana fukwe z...
  VILLARREAL WAISHINDA MAN UNITED NA KUTWAA TAJI LA EUROPA LEAGUE

  VILLARREAL WAISHINDA MAN UNITED NA KUTWAA TAJI LA EUROPA LEAGUE

  TIMU ya Villarreal ya Hispania imefanikiwa kutwaa taji la UEFA Europa League  baada ya ushindi wa penalti 11-10 dhidi ya Manchester United y...
  Jumatano, Mei 26, 2021
  NAMUNGO FC YAICHIMBIA KABURI GWAMBINA FC BAADA YA KUICHAPA 1-0 LEO RUANGWA BAO PEKEE LA LUSAJO

  NAMUNGO FC YAICHIMBIA KABURI GWAMBINA FC BAADA YA KUICHAPA 1-0 LEO RUANGWA BAO PEKEE LA LUSAJO

   BAO la dakika ya 90 na ushei la mshambuliaji Relliant Lusajo limetosha kuipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Gwambina FC katika mchezo w...
  Jumanne, Mei 25, 2021
  KASEKE APIGA ZOTE MBILI YANGA SC YAICHAPA MWADUI FC 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  KASEKE APIGA ZOTE MBILI YANGA SC YAICHAPA MWADUI FC 2-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP

   VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mwadui FC ...
  TANZANIA YAANZA VIBAYA FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 4-3 NA UGANDA JIJI DAKAR

  TANZANIA YAANZA VIBAYA FAINALI ZA SOKA LA UFUKWENI AFRIKA BAADA YA KUCHAPWA 4-3 NA UGANDA JIJI DAKAR

  TANZANIA jana ilianza vibaya Fainali ya soka la Ufukweni baada ya kufungwa 4-3 na Uganda kwenye mchezo wa Kundi A fukwe za Bahari ya Atlanti...
  Jumapili, Mei 23, 2021
  AGUERO APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA EVERTON 5-0

  AGUERO APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA EVERTON 5-0

  MABINGWA, Manchester City wamekamilisha msimu wa Ligi Kuu ya England kwa ushindi wa 5-0 dhidi ya Everton Uwanja wa Etihad. Mabao ya Man City...
  MATA APIGA LA USHINDO KWA PENALTI MAN UNITED LE OLD TEAGF

  MATA APIGA LA USHINDO KWA PENALTI MAN UNITED LE OLD TEAGF

  TIMU ya Manchester United imekamilisha msimu wa Ligi Kuu ya England kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Wolverhampton Wanderers leo Uwanja ...
  MANE APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0

  MANE APIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 2-0

  WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa Anfield. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mané dakika...
  ASTON VILLA YAWACHAPA CHELSEA 2-1 VILLA PARK

  ASTON VILLA YAWACHAPA CHELSEA 2-1 VILLA PARK

  TIMU ya Chelsea imekamilisha msimu wa Ligi Kuu ya England kwa kuchapwa 2-1 na wenyeji, Aston Villa Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham. M...
  PEPE APIGA ZOTE MBILI ARSENAL YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 2-0

  PEPE APIGA ZOTE MBILI ARSENAL YAICHAPA BRIGHTON & HOVE ALBION 2-0

  MABAO ya Nicolas Pepe dakika ya 49 na 60 leo yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika mchezo wa mwisho wa L...
  ROBERT LEWANDOWSKI AVUNJA REKODI YA GERD MULLER BUNDESLIGA

  ROBERT LEWANDOWSKI AVUNJA REKODI YA GERD MULLER BUNDESLIGA

   MSHAMBULIAJI Robert Lewandowski jana amefikisha mabao 41 msimu huu, Bayern Munich ikiichapa Augsburg 5-2 na kuvunja rekodi ya mabao mengi m...
  ATLETICO MADRID WATWAA TAJI LA LIGA KWA POINTI MBILI ZAIDI YA REAL

  ATLETICO MADRID WATWAA TAJI LA LIGA KWA POINTI MBILI ZAIDI YA REAL

  TIMU ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kama La Liga baada ya ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Re...
  Ijumaa, Mei 21, 2021
  PRINCE DUBE NA MUDATHIR YAHYA WAFUNGA AZAM FC YAIZIMA BIASHARA UNITED CHAMAZI, YAICHAPA 2-0

  PRINCE DUBE NA MUDATHIR YAHYA WAFUNGA AZAM FC YAIZIMA BIASHARA UNITED CHAMAZI, YAICHAPA 2-0

  AZAM FC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Azam C...
  Alhamisi, Mei 20, 2021
  IHEFU SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 UBARUKU NA KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU

  IHEFU SC YAICHAPA DODOMA JIJI 1-0 UBARUKU NA KUJIONDOA KWENYE ENEO LA HATARI YA KUSHUKA DARAJA LIGI KUU

   BAO pekee la Andrew Simchimba dakika ya 18 kwa penalti jioni ya leo limetosha kuipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC Uwanja ...
  PEPE APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1

  PEPE APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1

   TIMU ya Arsenal imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Se...
  LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 3-0 NA KUPANDA TOP FOUR ENGLAND

  LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 3-0 NA KUPANDA TOP FOUR ENGLAND

  MABINGWA wa msimu uliopita, Liverpool wameshinda mabao 3-0 dhidi ya Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Tur...
  Jumatano, Mei 19, 2021
  YACOUBA SOGNE NA TUISILA KISINDA WAFUNGA JAMHURI YANGA SC YAWACHAPA JKT TANZANIA 2-0 DODOMA

  YACOUBA SOGNE NA TUISILA KISINDA WAFUNGA JAMHURI YANGA SC YAWACHAPA JKT TANZANIA 2-0 DODOMA

   VIGOGO, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijin...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top