• HABARI MPYA

  Sunday, December 10, 2023

  EVERTON YAICHAPA CHELSEA 2-0 GOODISON PARK


  WENYEJI, Everton wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park Jijini Liverpool.
  Mabao ya Everton yamefungwa na Abdoulaye Doucoure dakika ya 54 na Lewis Dobbin dakika ya 90 na ushei na sasa wanafikisha pointi 13, ingawa wanabaki nafasi ya 16, wakati Chelsea inabaki na pointi zake 19 nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 16.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON YAICHAPA CHELSEA 2-0 GOODISON PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top