• HABARI MPYA

    Monday, January 31, 2022
    Sunday, January 30, 2022
    SIMBA SC YAFUTA GUNDU KWA DAR CITY, YAICHAPA 6-0

    SIMBA SC YAFUTA GUNDU KWA DAR CITY, YAICHAPA 6-0

    MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federa...
    Saturday, January 29, 2022
    MAYELE AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA TFF

    MAYELE AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA TFF

    VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (...
    Friday, January 28, 2022
    AZAM, NAMUNGO NA PAMBA ZASONGA MBELE ASFC

    AZAM, NAMUNGO NA PAMBA ZASONGA MBELE ASFC

    BAO la Nahodha, beki mkongwe Aggrey Morris dakika ya 30 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa Hatua ya 32 Bo...
    HERSI AONYWA,  MASHABIKI WAIPONZA COASTAL

    HERSI AONYWA, MASHABIKI WAIPONZA COASTAL

    KIONGOZI wa klabu ya Yanga, Hersi Said amepewa onyo kali kwa kosa la kuingia uwanjani kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wen...
    SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI

    SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI

    KLABU za Simba na Yanga zote zometozwa faini kwa makosa kadhaa kwenye michezo yake ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi huu, Taarifa ya Bodi y...
    Thursday, January 27, 2022
    YANGA WAKIIFANYIA MAZOEZI MBAO FC LEO KIRUMBA

    YANGA WAKIIFANYIA MAZOEZI MBAO FC LEO KIRUMBA

    KIUNGO mpya Mkongo wa Yanga, Chico Ushindi akifanya mazeozi leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa Hatua ya 32 Bora ...
    SIMBA SC WAREJEA KUPOZA MACHUNGU KWA DAR CITY

    SIMBA SC WAREJEA KUPOZA MACHUNGU KWA DAR CITY

    MSHAMBULIAJI Mkongo wa Simba SC, Chris Kope Mutshimba Mugalu aliteremka kwenye ndege baada ya ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ju...
    Wednesday, January 26, 2022
    KIIZA ATOKEA BENCHI KUIUA SIMBA KAITABA

    KIIZA ATOKEA BENCHI KUIUA SIMBA KAITABA

    MSHAMBULIAJI mkongwe wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Kiiza ‘Diego’ ametokea benchi kuifungia bao pekee Kagera Sugar ikiibuka na ushindi wa 1-...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top