• HABARI MPYA

    Friday, April 30, 2021
    YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SUMBAWANGA BAO LA YACOUBA SOGNE

    YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SUMBAWANGA BAO LA YACOUBA SOGNE

    VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (AS...
    SIMBA SC KUMENYANA NA KAIZER CHIEFS YA AFRIKA KUSINI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA MEI 15

    SIMBA SC KUMENYANA NA KAIZER CHIEFS YA AFRIKA KUSINI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA MEI 15

     TIMU ya Simba SC ya Tanzania itakutana na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini katika Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya droo iliyopan...
    MWADUI FC NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA COASTAL UNION 2-0 LEO SHINYANGA

    MWADUI FC NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUICHAPA COASTAL UNION 2-0 LEO SHINYANGA

    TIMU ya Mwadui FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Coastal Uni...
    Thursday, April 29, 2021
    AZAM FC NA BIASHARA UNITED ZATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUZITOA POLISI TANZANIA NA RUVU SHOOTING LEO

    AZAM FC NA BIASHARA UNITED ZATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUZITOA POLISI TANZANIA NA RUVU SHOOTING LEO

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Polisi Tanzan...
    NAMUNGO FC YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA KUNDI D KUCHAPWA 1-0 NA PYRAMIDS FC CAIRO

    NAMUNGO FC YAKAMILISHA MECHI ZAKE ZA KUNDI D KUCHAPWA 1-0 NA PYRAMIDS FC CAIRO

     TIMU ya Namungo FC imekamilisha mechi zake za Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuchapwa 1-0 na wenyeji, Pyramids FC usiku wa Jumatano...
    Wednesday, April 28, 2021
    MANAHODHA WOTE WA SIMBA SC, JOHN BOCCO NA MOHAMMED HUSSEIN 'TSHABALALA' WASAINI MIKATABA MIPYA

    MANAHODHA WOTE WA SIMBA SC, JOHN BOCCO NA MOHAMMED HUSSEIN 'TSHABALALA' WASAINI MIKATABA MIPYA

    MANAHODHA wa Simba SC, John Raphael Bocco na Mohammed Hussein 'Tshabalala' wote wamesaini mikataba mipya ya kuendelea kuitumikia kla...
    MBEYA CITY YAFANYA BALAA ZITO LIGI KUU YA BARA, YAWATANDIKA JKT TANZANIA MABAO 6-1 UWANJA WA SOKOINE

    MBEYA CITY YAFANYA BALAA ZITO LIGI KUU YA BARA, YAWATANDIKA JKT TANZANIA MABAO 6-1 UWANJA WA SOKOINE

     TIMU ya Mbeya City imeibuka na ushindi wa 6-1 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoi...
    Tuesday, April 27, 2021
    SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA DODOMA JIJI 3-1 NA KUPOTELEA ANGANI

    SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA DODOMA JIJI 3-1 NA KUPOTELEA ANGANI

      MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuitandika Dodoma Jiji FC 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bar...
    YANGA SC WATUA MBEYA KWA NDEGE KUJIANDAA KUIVAA PRISONS IJUMAA KOMBE LA TFF SUMBAWANGA

    YANGA SC WATUA MBEYA KWA NDEGE KUJIANDAA KUIVAA PRISONS IJUMAA KOMBE LA TFF SUMBAWANGA

      KIKOSI cha Yanga kimewasili Jijini Mbeya leo kwa maandalizi ya mchezo wake wa hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TF...
    MWADUI FC YAKUMBUKA SHUKA KUMEKUCHA, YAICHAPA GWAMBINA 2-1 PALE PALE MISUNGWI

    MWADUI FC YAKUMBUKA SHUKA KUMEKUCHA, YAICHAPA GWAMBINA 2-1 PALE PALE MISUNGWI

    TIMU ya Mwadui FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Gwambina FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Gwambina, Mi...
    Sunday, April 25, 2021
    PRINCE DUBE AWAMALIZA YANGA DAKIKA ZA LALA SALAMA, AIFUNGIA BAO PEKEE AZAM FC YASHINDA 1-0 DAR

    PRINCE DUBE AWAMALIZA YANGA DAKIKA ZA LALA SALAMA, AIFUNGIA BAO PEKEE AZAM FC YASHINDA 1-0 DAR

      BAO pekee la mshambuliaji Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo dakika ya 86 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya vigogo, Yanga SC katika mc...
    TANZANIA PRISONS YAIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA RUVU SHOOTING LEO SUMBAWANGA

    TANZANIA PRISONS YAIBUKA NA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA RUVU SHOOTING LEO SUMBAWANGA

    BAO pekee la Jeremiah Juma Mgunda dakika ya 51 limeipa ushindi wa 1-0 Tanzania Prisons dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya T...
    SIMCHIMBA AIFUNGIA MABAO MAWILI IHEFU SC YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 UWANJA WA HIGHLAND ESTATE

    SIMCHIMBA AIFUNGIA MABAO MAWILI IHEFU SC YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 UWANJA WA HIGHLAND ESTATE

    TIMU ya Ihefu SC imeichapa Coastal Union ya Tanga mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland Estate, Ubaruk...
    Saturday, April 24, 2021
    SIMBA SC WAPANDA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA BAADA YA KUICHAPA GWAMBINA FC 1-0 MISUNGWI

    SIMBA SC WAPANDA KILELENI LIGI KUU TANZANIA BARA BAADA YA KUICHAPA GWAMBINA FC 1-0 MISUNGWI

      MABINGWA watetezi, Simba SC wamepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Gwambina FC Uwanja ...
    MBEYA CITY WAITWANGA NAMUNGO FC 1-0 KATIKA LIGI KUU PALE PALE UWANJA WA MAJALIWA, RUANGWA

    MBEYA CITY WAITWANGA NAMUNGO FC 1-0 KATIKA LIGI KUU PALE PALE UWANJA WA MAJALIWA, RUANGWA

      BAO pekee la Juma Luizio dakika ya 12 limeipa Mbeya City ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania...
    MCHEZAJI WA BIASHARA UNITED YA MARA MSIMU ULIOPITA AFARIKI DUNIA AKIWA MAZOEZINI MUSOMA

    MCHEZAJI WA BIASHARA UNITED YA MARA MSIMU ULIOPITA AFARIKI DUNIA AKIWA MAZOEZINI MUSOMA

    MCHEZAJI wa zamani wa klabu ya Biashara United Mara, Sospeter Maiga Mandala amefariki dunia asubuhi ya leo wakati akifanya mazoezi katika uw...
    Friday, April 23, 2021
    MEDDIE KAGERE NA PRINCE DUBE WAKABANA KOO KUWANIA UFUNGAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

    MEDDIE KAGERE NA PRINCE DUBE WAKABANA KOO KUWANIA UFUNGAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

      WASHAMBULIAJI wa kigeni, Mnyarwanda Meddie Kagere wa Simba SC na Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo wa Azam FC ndiyo wanaongoza kwa mabao ka...
    KIUNGO MSTAAFU NYOTA NCHINI, AMRI KIEMBA KATIKA KOZI YA NGAZI YA KATI YA UKOCHA INAYOENDELEA KARUME

    KIUNGO MSTAAFU NYOTA NCHINI, AMRI KIEMBA KATIKA KOZI YA NGAZI YA KATI YA UKOCHA INAYOENDELEA KARUME

    KIUNGO wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Amri Kiemba ni miongoni mwa washiriki wa Kozi ya Ukocha ngazi ya kati inayoendelea kwa mafunzo ya...
    RAIS MAMA SAMIAH SULUHU HASSAN AAHIDI KUSAIDIA MAANDALIZI YA TIMU ZA TAIFA ZIKAFANYE VYEMA KIMATAIFA

    RAIS MAMA SAMIAH SULUHU HASSAN AAHIDI KUSAIDIA MAANDALIZI YA TIMU ZA TAIFA ZIKAFANYE VYEMA KIMATAIFA

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan ameahidi kutenga bajeti ya kusaidia michezo kwa ujumla, ikiwemo timu zote...
    Thursday, April 22, 2021
    AZAM FC YALAZIMISHA SARE YA 2-2 NA WENYEJI, DODOMA JIJI FC JAMHURI, IHEFU YAICHAPA PRISONS 1-0 UBARUKU

    AZAM FC YALAZIMISHA SARE YA 2-2 NA WENYEJI, DODOMA JIJI FC JAMHURI, IHEFU YAICHAPA PRISONS 1-0 UBARUKU

      TIMU ya Azam FC imelazimishwa sare ya 2-2 na wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Jamhuri Jijini D...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top