• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 28, 2017
  WAMBURA ANAJUA NAPE ALICHOWAAMBIA MSUVA NA JUMA ABDUL KABLA YA MECHI NA SIMBA JUMAMOSI

  WAMBURA ANAJUA NAPE ALICHOWAAMBIA MSUVA NA JUMA ABDUL KABLA YA MECHI NA SIMBA JUMAMOSI

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye (mwenye shati la drafti) akizungumza na wachezaji wa Yanga, Simon Msuva ...
  MAREFA WA DJIBOUTI KUCHEZESHA YANGA NA ZANACO TAIFA MACHI 11

  MAREFA WA DJIBOUTI KUCHEZESHA YANGA NA ZANACO TAIFA MACHI 11

  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetaja marefa watakaochezesha mechi ya kwanza ya hatua ya 32 Bora Ligi ya...
  CHARLES HILLARY ATEULIWA KAMATI YA KUHAMASISHA SERENGETI BOYS

  CHARLES HILLARY ATEULIWA KAMATI YA KUHAMASISHA SERENGETI BOYS

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MWANDISHI nguli wa habari na mtangazaji nyota wa kimataifa, Charles Hillary ameteuliwa kuongoza Kamati ya...
  LWANDAMINA AWATAKA WACHEZAJI YANGA KUSAHAU KIPIGO CHA SIMBA NA KUFIKIRIA UBINGWA

  LWANDAMINA AWATAKA WACHEZAJI YANGA KUSAHAU KIPIGO CHA SIMBA NA KUFIKIRIA UBINGWA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina amewaambia wachezaji wake wasahau kipigo cha Simba Jumamosi na ku...
  LEICESTER YAISHUGHULIKIA LIVERPOOL, YAIKUNG'UTA 3-1 KING POWER

  LEICESTER YAISHUGHULIKIA LIVERPOOL, YAIKUNG'UTA 3-1 KING POWER

  Jamie Vardy akiruka juu kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la tatu kati ya mawili aliyofunga dakika za 28 na 60...
  Jumatatu, Februari 27, 2017
  PRISONS WAING'OA MBEYA CITY KOMBE LA TFF, WATINGA ROBO FAINALI

  PRISONS WAING'OA MBEYA CITY KOMBE LA TFF, WATINGA ROBO FAINALI

  Wachezaji wa Prisons wakishangilia baada ya kuitoa Mbeya City kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 1-1 katika mchezo wa 16 Bora Kombe la Shir...
    TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA JAMHURI, YANGA NA MTIBWA MACHI 5

  TFF YAUFUNGULIA UWANJA WA JAMHURI, YANGA NA MTIBWA MACHI 5

  Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limerejesha tena mechi za Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro na...
   YANGA KUPOZA MACUNGU KWA RUVU SHOOTING KESHOKUTWA?

  YANGA KUPOZA MACUNGU KWA RUVU SHOOTING KESHOKUTWA?

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea keshokutwa Jumatano ambako mabingwa watete...
  NA BENDERA ZA CHADEMA ZILITAMBA JUZI UWANJA WA TAIFA

  NA BENDERA ZA CHADEMA ZILITAMBA JUZI UWANJA WA TAIFA

  Shabiki wa Simba akipeperusha bendera ya CHADEMA katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba na Yanga Uwanja wa Taif...
  REAL MADRID NAYO YASHINDA LA LIGA, YAIPIGA 3-2 VILLARREAL

  REAL MADRID NAYO YASHINDA LA LIGA, YAIPIGA 3-2 VILLARREAL

  Alvaro Morata aliyetokea benchi akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake wa Real Madrid baada ya kufunga bao bao la ushindi dakika ya 83 ...
  Jumapili, Februari 26, 2017
  ENZI ZA RAHA ZAANZA KUREJEA MAN UNITED, WABEBA 'NDOO' YA KWANZA CHINI YA MOURINHO

  ENZI ZA RAHA ZAANZA KUREJEA MAN UNITED, WABEBA 'NDOO' YA KWANZA CHINI YA MOURINHO

  Wachezaji wa Manchester United wakifurahia na taji lao la Kombe la Ligi England baada ya kuifunga  Southampton mabao 3-2 leo katika faina...
  SAMATTA AWEKEWA ULINZI ‘WA KUFA MTU’, GENK YAFA 2-0 KWA ANDERLECHT

  SAMATTA AWEKEWA ULINZI ‘WA KUFA MTU’, GENK YAFA 2-0 KWA ANDERLECHT

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM USIKU wa leo, Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta atalala hoi baada ya dakika 90 za mechi ngumu ya L...
  MESSI AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAIPIGA ATLETICO MADRID 2-1

  MESSI AING'ARISHA BARCELONA LA LIGA, YAIPIGA ATLETICO MADRID 2-1

  Lionel Messi akishangulia na mchezaji mwenzake, Neymar Junior baada ya kufunga bao lake la 20 msimu huu dakika ya 86 katika ushindi wa 2-...
  KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YAUA 4-0 ENGLAND

  KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YAUA 4-0 ENGLAND

  Harry Kane akishangilia baada ya kufunga mabao matatu katika dakika za 14, 32 na 37 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Stoke City kwenye mche...
  POLISI JANA WALIKUWA KAZINI KWELI UWANJA WA TAIFA

  POLISI JANA WALIKUWA KAZINI KWELI UWANJA WA TAIFA

  Askari Polisi (kulia) akiwalinda mashabiki wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga ...
  MAVUGO AWAPA AHADI NZURI SIMBA SC

  MAVUGO AWAPA AHADI NZURI SIMBA SC

  Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo amesema kwamba ataendelea kufunga mabao hadi kutimiza ndoto za...
  PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAUMU REFA HAPO?

  PENALTI, KADI NYEKUNDU NA BADO WAMEPIGWA, WATAMLAUMU REFA HAPO?

  SIMBA jana wamefanikiwa kuwafunga kwa mara ya pili mfululizo watani wao wa jadi, Yanga baada ya kuwachapa 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya ...
  MBOWE ALIVYOTINGA NA MTOTO WEMA TAIFA JANA, BAHATI MBAYA YANGA YAO IKAPIGWA

  MBOWE ALIVYOTINGA NA MTOTO WEMA TAIFA JANA, BAHATI MBAYA YANGA YAO IKAPIGWA

  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na mwigizaji nyota wa Bongo Muvi, Wema Sepetu aliyejiunga na chama hicho juzi wakii...
  Jumamosi, Februari 25, 2017
  LOWASA ALIVYOCHEZA NA AKILI ZA MASHABIKI SIMBA NA YANGA LEO TAIFA

  LOWASA ALIVYOCHEZA NA AKILI ZA MASHABIKI SIMBA NA YANGA LEO TAIFA

  Waziri Mkuu wa zamani nchini, Edward Lowasa aliyekuwa mgombea wa Urais wa CHADEMA na UKAWA katika uchaguzi Mkuu uliopita akiwapungia mkon...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top