• HABARI MPYA

    Monday, November 30, 2015
    STARS YANG’OLEWA KWA MATUTA CHALLENGE, KAPOMBE NA JONAS MKUDE WAKOSA PENALTI

    STARS YANG’OLEWA KWA MATUTA CHALLENGE, KAPOMBE NA JONAS MKUDE WAKOSA PENALTI

    Na Mwandishi Wetu, ADDIS ABABA TANZANIA Bara imetolewa katika Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya kufu...
    Sunday, November 29, 2015
    BALE NA RONALDO WAFUNGA REAL MADRID IKISHINDA 2-0 UGENINI LA LIGA

    BALE NA RONALDO WAFUNGA REAL MADRID IKISHINDA 2-0 UGENINI LA LIGA

    Winga wa Real Madrid, Gareth Bale akiwania mpira wa juu dhidi ya Ander Capa wa Eibar katika mchezo wa La Liga usiku wa leo Uwanja wa Ipur...
    WLADIMIR KLITSCHKO KWISHA HABARI YAKE, ADUNDWA NA TYSON FURY HADI HURUMA!

    WLADIMIR KLITSCHKO KWISHA HABARI YAKE, ADUNDWA NA TYSON FURY HADI HURUMA!

    BONDIA Tyson Fury ndiye bingwa mpya wa ndondi za kulipwa uzito wa juu, baada ya kumdunda Wladimir Klitschko katika pambano kali la kihistor...
    Saturday, November 28, 2015
     MAN UNITED YAPOROMOKA ENGLAND REKODI YA VAN NISTERLOOY IKIVUNJWA LIGI KUU

    MAN UNITED YAPOROMOKA ENGLAND REKODI YA VAN NISTERLOOY IKIVUNJWA LIGI KUU

    MATOKEO NA RATIBA LIGI KUU YA ENGLAND Leo Novemba 28, 2015   Leicester City 1-1 Manchester United Sunderland 2-0 Stoke City Mancheste...
    SUAREZ APIGA BONGE LA BAO, BARCA YAUA 4-0 LA LIGA, NEYMAR MAWILI, MESSI MOJA

    SUAREZ APIGA BONGE LA BAO, BARCA YAUA 4-0 LA LIGA, NEYMAR MAWILI, MESSI MOJA

    Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akiifungia bao la pili timu hiyo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La ...
     ROBO FAINALI NI STARS NA ETHIOPIA TENA, RWANDA NA KENYA, SUDAN KUSINI NA SUDAN, UGANDA NA MALAWI

    ROBO FAINALI NI STARS NA ETHIOPIA TENA, RWANDA NA KENYA, SUDAN KUSINI NA SUDAN, UGANDA NA MALAWI

    RATIBA ROBO FAINALI KOMBE LA KAGAME 2015 Novemba 30, 2015  Uganda Vs Malawi Tanzania Bara Vs Ethiopia Desemba 1, 2015 Sudan Kusini V...
    COUTINHO KUMPISHA ‘STRAIKA’ HATARI YANGA SC, HATIMA YAKE KUJADILIWA JUMATATU

    COUTINHO KUMPISHA ‘STRAIKA’ HATARI YANGA SC, HATIMA YAKE KUJADILIWA JUMATATU

    Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM KIUNGO Mbrazil, Andrey Coutinho amerejea jana mjini Dar es Salaam na Jumatatu atakuwa na kikao na uongozi w...
    KILI STARS KAZINI TENA LEO CHALLENGE, YAMENYANA NA WENYEJI ETHIOPIA

    KILI STARS KAZINI TENA LEO CHALLENGE, YAMENYANA NA WENYEJI ETHIOPIA

    Na Mwandishi Wetu, ADDIS ABABA HATUA ya makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inahitimishw...
    NI VITA YA USUKANI LIGI KUU ENGLAND LEO, MAN UNITED WAWAFUATA VINARA LEICESTER

    NI VITA YA USUKANI LIGI KUU ENGLAND LEO, MAN UNITED WAWAFUATA VINARA LEICESTER

    RATIBA LIGI KUU YA ENGLAND WIKIENDI HII Leo Jumamosi; Novemba 28, 2015 Sunderland Vs Stoke City (Saa 12:00 jioni) Manchester City Vs Sou...
    Friday, November 27, 2015

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top