• HABARI MPYA

  Thursday, December 14, 2023

  TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI KWA TATIZO LILE LILE


  SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Tabora United kufanya usajili hadi itakapomlipa haki zake mshambuliaji Mkongo, Fabrice Ngoy ambaye kwa sasa anachezea Namungo FC ya Lindi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TABORA UNITED YAFUNGIWA TENA KUSAJILI KWA TATIZO LILE LILE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top