• HABARI MPYA

  Ijumaa, Julai 31, 2015
  DOGO FARID WA AKADEMI AIPELEKA AZAM FC FAINALI KAGAME, KCCA YAFA 1-0 TAIFA

  DOGO FARID WA AKADEMI AIPELEKA AZAM FC FAINALI KAGAME, KCCA YAFA 1-0 TAIFA

  Shangwe za shujaa; Farid Malik Mussa akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Azam FC leo dhidi ya KCCA   Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES S...
  GOR MAHIA YATANGULIA FAINALI KOMBE LA KAGAME, YAWAPIGA WASUDAN 3-1 TAIFA

  GOR MAHIA YATANGULIA FAINALI KOMBE LA KAGAME, YAWAPIGA WASUDAN 3-1 TAIFA

  Mashabiki wa Gor Mahia wakifurahia leo Uwanja wa Taifa wakati timu yao ikiiadhibu Khartoum GOR Mahia ya Kenya imetinga ya Klabu Bingwa ...
  NGASSA AICHAMBUA YANGA SC, ASEMA HAINA NAMBA 10 NA KILA MCHEZAJI ANATAKA KUFUNGA

  NGASSA AICHAMBUA YANGA SC, ASEMA HAINA NAMBA 10 NA KILA MCHEZAJI ANATAKA KUFUNGA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesema Yanga SC kwa sasa ina matati...
  Alhamisi, Julai 30, 2015
  YANGA SC ‘WAIENDEA’ MBEYA AZAM FC, YAPANIA KULIPA KISASI NGAO YA JAMII AGOSTI 22 TAIFA

  YANGA SC ‘WAIENDEA’ MBEYA AZAM FC, YAPANIA KULIPA KISASI NGAO YA JAMII AGOSTI 22 TAIFA

  Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM WACHEZAJI wa Yanga SC wamepewa mapumziko hadi Jumatatu watakapoanza mazoezi tena mjini Dar es Salaam, kabla...
  NGASSA APATA KIBALI CHA KAZI SAUZI NA KUWAAMBIA YANGA; “MLIKOSEA KUMUWEKA BENCHI MSUVA”

  NGASSA APATA KIBALI CHA KAZI SAUZI NA KUWAAMBIA YANGA; “MLIKOSEA KUMUWEKA BENCHI MSUVA”

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM HATIMAYE kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amepata kibali cha kuishi n...
  IBRAHIMOVIC AWAADHIBU MAN UNITED WALALA 2-0 KWA PSG MAREKANI

  IBRAHIMOVIC AWAADHIBU MAN UNITED WALALA 2-0 KWA PSG MAREKANI

  MANCHESTER United imepoteza mechi ya kwanza katika ziara ya kujiandaa na msimu nchini Marekani, baada ya kufungwa mabao 2-0 na PSG usiku ...
  Jumatano, Julai 29, 2015
  KCCA YATINGA NUSU FAINALI KAGAME, SASA YASUBIRI MSHINDI KATI YA AZAM FC NA YANGA

  KCCA YATINGA NUSU FAINALI KAGAME, SASA YASUBIRI MSHINDI KATI YA AZAM FC NA YANGA

  Wachezaji wa KCCA FC wakisherehekea ushindi wao leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam KCCA ya Uganda imetinga Nusu Fainali ya Klabu Bingwa...
  Jumanne, Julai 28, 2015
  AZAM HAIFUNGIKI, YANGA PENALTI ‘MAAMUMA’, DAKIKA 90 ZIKIISHA KWA SARE NINI MATARAJIO?

  AZAM HAIFUNGIKI, YANGA PENALTI ‘MAAMUMA’, DAKIKA 90 ZIKIISHA KWA SARE NINI MATARAJIO?

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM NYASI za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kesho zitakanyagika kwa mchezo wa miamba ya Jiji, Azam FC na Yan...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top