• HABARI MPYA

  Friday, November 30, 2018
  MECHI ZA USIKU ZA LIGI KUU YA BARA ZARUHUSIWA KUCHEZWA UWANJA WA TAIFA BAADA YA KUSITISHWA GHAFLA JANA

  MECHI ZA USIKU ZA LIGI KUU YA BARA ZARUHUSIWA KUCHEZWA UWANJA WA TAIFA BAADA YA KUSITISHWA GHAFLA JANA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MECHI zote za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokuwa zichezwe usiku kabla ya kurudishwa saa 10:00 jioni kwenye...
  SIMBA SC YAONDOKA KESHO KUIFUATA MBABANE SWALLOWS KWA MCHEZO WA MARUDIANO DESEMBA 4 BAADA YA KUMSAINI COULIBALY

  SIMBA SC YAONDOKA KESHO KUIFUATA MBABANE SWALLOWS KWA MCHEZO WA MARUDIANO DESEMBA 4 BAADA YA KUMSAINI COULIBALY

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba inatarajiwa kuondoka kesho kwenda Eswatini, zamani Swaziland kwa ajili ya maandalizi ya mc...
  MAHAKAMA YAMREJESHA MADARAKANI WAMBURA TFF BAADA YA KUTENGUA MAAMUZI YA KAMATI YA MAADILI KUMFUNGIA MAISHA

  MAHAKAMA YAMREJESHA MADARAKANI WAMBURA TFF BAADA YA KUTENGUA MAAMUZI YA KAMATI YA MAADILI KUMFUNGIA MAISHA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAHAKAMA Kuu ya Dar es Salaam imetengua maamuzi ya Kamati za Maadili za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
  BEKI MUIVORY COAST, ZANA COULIBALY OUMAR ALIPOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA LEO TAYARI KUSAJILIWA SIMBA SC

  BEKI MUIVORY COAST, ZANA COULIBALY OUMAR ALIPOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA LEO TAYARI KUSAJILIWA SIMBA SC

  Daktari bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), George Longopa akimfanyia vipimo vya afya ya moyo (ECHO Card...
  AFISA WA TANZANIA, LINA KESSY ATEULIWA KUSIMAMIA FAINALI YA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA KWA WANAWAKE KESHO GHANA

  AFISA WA TANZANIA, LINA KESSY ATEULIWA KUSIMAMIA FAINALI YA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA KWA WANAWAKE KESHO GHANA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MWANAMAMA wa Kitanzania, Lina Kessy (pichani kulia) ameteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kusim...
  AKINA SAMATTA WATOA SARE 2-2 UGENINI YA EUROPA LEAGUE, LAKINI BADO WANAENDELEA KUONGOZA KUNDI LAO

  AKINA SAMATTA WATOA SARE 2-2 UGENINI YA EUROPA LEAGUE, LAKINI BADO WANAENDELEA KUONGOZA KUNDI LAO

  Na Mwandishi Wetu, MALMO NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza kwa dakika 73 timu yake, KRC Genk ikitoa sare ya kufungana...
  Thursday, November 29, 2018
  YANGA SC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA JKT TANZANIA 3-0 SASA WANAWAZIDI SIMBA SC KWA POINTI SABA

  YANGA SC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA JKT TANZANIA 3-0 SASA WANAWAZIDI SIMBA SC KWA POINTI SABA

  Na Nasra Omary, DAR ES SALAAM YANGA SC imepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya kwanza msimu huu, baada ya ushindi wa m...
  UCHAGUZI MDOGO WA BARAZA KUU BODI YA LIGI KUFANYIKA KESHOKUTWA MGOMBEA PEKEE UENYEKITI MNGUTO

  UCHAGUZI MDOGO WA BARAZA KUU BODI YA LIGI KUFANYIKA KESHOKUTWA MGOMBEA PEKEE UENYEKITI MNGUTO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MKUTANO wa Baraza Kuu la Bodi ya Ligi (TPLB) unatarajia kufanyika keshokutwa, Jumamosi ya Desemba 1, mwak...
  HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUPIGWA KATI YA DESEMBA 3 NA 5 MWAKA HUU

  HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUPIGWA KATI YA DESEMBA 3 NA 5 MWAKA HUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM HATUA ya awali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)ASFC inatarajia kuchezwa kati ya Desemba 3na 5, mwaka...
  MECHI ZOTE ZA LIGI KUU ZINAZOFANYIKA UWANJA WA TAIFA KUCHEZWA KUANZIA SAA 10:00 JIONI

  MECHI ZOTE ZA LIGI KUU ZINAZOFANYIKA UWANJA WA TAIFA KUCHEZWA KUANZIA SAA 10:00 JIONI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MECHI zote za Ligi Kuu Tanzania Bara zitakazochezwa kwenye Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam zitachezwa saa 1...
  WAWAKILISHI WOTE WA ZANZIBAR TAABANI MICHUANO YA AFRIKA, WAGONGWA ‘NNE NNE’ SASA WANATAKIWA KUSHINDA 5-0 NYUMBANI

  WAWAKILISHI WOTE WA ZANZIBAR TAABANI MICHUANO YA AFRIKA, WAGONGWA ‘NNE NNE’ SASA WANATAKIWA KUSHINDA 5-0 NYUMBANI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, Zimamoto kutoka upande wa pili wa Muungano, Za...
  SPURS YAITWANGA INTER MILAN 1-0 NA KUFUFUA MATUMAINI YA 16 BORA

  SPURS YAITWANGA INTER MILAN 1-0 NA KUFUFUA MATUMAINI YA 16 BORA

  Christian Eriksen akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspuer bao pekee dakika ya 80 ikiichapa Inter Milan 1-0 katika...
  MESSI AIPELEKA BARCELONA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  MESSI AIPELEKA BARCELONA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Barcelona dakika ya 70 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, PSV kwenye mche...
  NEYMAR AWAUA LIVERPOOL PARC DES PRINCES, WAFA 2-1 KWA PSG

  NEYMAR AWAUA LIVERPOOL PARC DES PRINCES, WAFA 2-1 KWA PSG

  Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la ushindi dakika ya 37 ikiilaza Liverpool 2-1 katika mchezo wa Kundi C Li...
  Wednesday, November 28, 2018
  SIMBA SC YATOA ONYO AFRIKA, YAITANDIKA MBABANE SWALLOWS 4-1 LIGI YA MABINGWA BOCCO AFUNGA MABAO MAWILI

  SIMBA SC YATOA ONYO AFRIKA, YAITANDIKA MBABANE SWALLOWS 4-1 LIGI YA MABINGWA BOCCO AFUNGA MABAO MAWILI

  Na Saada Salmin, DAR ES SALAAM TIMU ya Simba SC imeanza vyema michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-1 kwenye mch...
  PETRONILA SIRINYA WA GOBA AWA MWANAMKE WA TATU TU KUSHINDA BAJAJI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA KATIKA DROOO YA 64

  PETRONILA SIRINYA WA GOBA AWA MWANAMKE WA TATU TU KUSHINDA BAJAJI YA SHINDA ZAIDI NA SPORTPESA KATIKA DROOO YA 64

  TIMU Shinda Zaidi na SportPesa imebahatika kumpata mshindi mwigine mwanamama akiwa ni mwanamke wa tatu kujishindia Bajaji kutoka jiji la Da...
  JKU WATANDIKWA 4-0 NA AL HILAL SUDAN LIGI YA MABINGWA, LEO ZIMAMOTO WANAMENYANA NA KAIZER CHIEFS AFRIKA KUSINI

  JKU WATANDIKWA 4-0 NA AL HILAL SUDAN LIGI YA MABINGWA, LEO ZIMAMOTO WANAMENYANA NA KAIZER CHIEFS AFRIKA KUSINI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, upande wa pili wa Jamhuri yetu ya Muungano, JKU u...
  BOMU LALIPULIWA UWANJANI MECHI YA LIGI YA MABINGWA UGIRIKI

  BOMU LALIPULIWA UWANJANI MECHI YA LIGI YA MABINGWA UGIRIKI

  Bomu la Petroli lililolipuliwa na mashabiki wa AEK Athens jukwaani Uwanja wa Olympiako Spyros Louis mjini Athens, Ugiriki katika mchezo w...
  ROBBEN, LEWANDOWSKI WAPIGA MBILI MBILI BAYERN YASHINDA 5-1

  ROBBEN, LEWANDOWSKI WAPIGA MBILI MBILI BAYERN YASHINDA 5-1

  Arjen Robben akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la kwanza dakika ya 13 kabla ya kufunga na la pili dakika ya 30 katika ush...
  RONALDO AMSETIA MANDZUKIC KUIFUNGIA JUVE IKISHINDA 1-0

  RONALDO AMSETIA MANDZUKIC KUIFUNGIA JUVE IKISHINDA 1-0

  Cristiano Ronaldo wa Juventus (kulia) akimtoka kiungo Mdenmark wa Valencia, Daniel Wass katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya j...
  AGUERO AINUSURU MAN CITY KUCHAPWA NA LYON UFARANSA, SARE 2-2

  AGUERO AINUSURU MAN CITY KUCHAPWA NA LYON UFARANSA, SARE 2-2

  Sergio Aguero akinyoosha mkono juu kishujaa kufurahia bao la kusawazisha aliloifungia Manchester City dakika ya 83 ikipata sare ya 2-2 ug...
  FELLAINI AIPELEKA MAN UNITED 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  FELLAINI AIPELEKA MAN UNITED 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Marouane Fellaini (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 90 na ushei ikiilaza Young Boys ...
  MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHUNDI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI AZAM FC

  MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHUNDI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI AZAM FC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imewatoa kwa mkopo wachezaji wake wanne, akiwemo mshambuliaji Mbaraka Yussuf Abeid aliye...
  Tuesday, November 27, 2018
  MTIBWA SUGAR YAANZA VYEMA MICHUANO YA AFRIKA, YAWATANDIKA WASHELISHELI 4-0 JAFFAR KIBAYA APIGA HAT TRICK

  MTIBWA SUGAR YAANZA VYEMA MICHUANO YA AFRIKA, YAWATANDIKA WASHELISHELI 4-0 JAFFAR KIBAYA APIGA HAT TRICK

  Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM  TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro imeanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa m...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top