SIMBA SC YAITISHA MKUTANO MKUU WA MWAKA JANUARI 2024
KLABU ya Simba imeitisha Mkutano Mkuu wa mwaka anbao utafanyika Jumapili ya Januari 21, mwaka 2024 kuanzia Saa 3:00 asubuhi ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment