// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 01/01/2019 - 02/01/2019 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 01/01/2019 - 02/01/2019 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Thursday, January 31, 2019
  YANGA SC YAITOA BIASHARA UNITED KWA MATUTA TAIFA, YATINGA 16 BORA ASFC

  YANGA SC YAITOA BIASHARA UNITED KWA MATUTA TAIFA, YATINGA 16 BORA ASFC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushin...
  TAIFA STARS KUMENYANA NA SUDAN KUWANIA TIKETI YA CHAN YA 2020 ETHIOPIA

  TAIFA STARS KUMENYANA NA SUDAN KUWANIA TIKETI YA CHAN YA 2020 ETHIOPIA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA itaanza na Sudan katika mechi za kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) zinazotar...
  RONALDO NA JUVENTUS YAKE WACHAPWA 3-0 NA KUTOLEWA COPPA ITALIA

  RONALDO NA JUVENTUS YAKE WACHAPWA 3-0 NA KUTOLEWA COPPA ITALIA

  Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo akiudhibiti mpira mbele ya beki wa Atalanta katika mchezo wa Robo Fainali Coppa Italia usiku ...
  CHELSEA YAFUMULIWA 4-0 NA BOURNEMOUTH NA KUONDOLEWA 'TOP FOUR

  CHELSEA YAFUMULIWA 4-0 NA BOURNEMOUTH NA KUONDOLEWA 'TOP FOUR

  Mshambuliaji wa AFC Bournemouth, Joshua King akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili timu yake dakika za 47 na 74 katika ushindi wa ...
  Wednesday, January 30, 2019
  AMBOKILE WA MBEYA CITY AJIUNGA NA BLACK LEOPARDS YA AFRIKA KUSINI KWA MKOPO

  AMBOKILE WA MBEYA CITY AJIUNGA NA BLACK LEOPARDS YA AFRIKA KUSINI KWA MKOPO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amejiunga na klabu ya Black Leopards FC ya Ligi Kuu ya Afrika ...
  AUBAMEYANG, LACAZETTE WOTE WAFUNGA ARSENAL YASHINDA 2-1

  AUBAMEYANG, LACAZETTE WOTE WAFUNGA ARSENAL YASHINDA 2-1

  Alexandre Lacazette (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 83 kufuatia Pierre-Emerick Aubameyang ...
  MAN UTD YAICHOMOLEA BURNLEY DAKIKA YA MWISHO OLD TRAFFORD

  MAN UTD YAICHOMOLEA BURNLEY DAKIKA YA MWISHO OLD TRAFFORD

  Victor Lindelof akiondoka kishujaa baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha dakika ya pili ya muda wa nyongeza baada ya ku...
  MAN CITY WAGONGWA 2-1 NA NEWCASTLE UNITED ST JAMES' PARK

  MAN CITY WAGONGWA 2-1 NA NEWCASTLE UNITED ST JAMES' PARK

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Scotland, Matt Ritchie akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Newcastle United bao la ushindi kwa penalti ...
  Tuesday, January 29, 2019
  NAPOLI MIKONONI MWA AC MILAN, JUVE KWA ATALANTA COPPA ITALIA

  NAPOLI MIKONONI MWA AC MILAN, JUVE KWA ATALANTA COPPA ITALIA

  ROBO fainali ya Coppa Italia msimu huu imekaa kama shindano la 8 bora ya Serie A ambapo Fiorentina timu pekee nje ya nane bora katika msima...
  Monday, January 28, 2019
  AZAM FC YATINGA 16 BORA KOMBE LA TFF, MTIBWA NAYO YAITOA MAJI MAJI

  AZAM FC YATINGA 16 BORA KOMBE LA TFF, MTIBWA NAYO YAITOA MAJI MAJI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imefanikiwa kuingia hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania ...
  AIBU ILIYOJE TANZANIA KUENDELEA KUBORONGA SPORTPESA SUPER CUP

  AIBU ILIYOJE TANZANIA KUENDELEA KUBORONGA SPORTPESA SUPER CUP

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM ULE usemi maarufu wa Wahenga, ‘Mcheza Kwao Hutuzwa’ kwa mara nyingine umeshindwa kujidhihirisha hapa nch...
  CRYSTAL PALACE YAITUPA NJE TOTTENHAM HOTSPUR KOMBE LA FA ENGLAND

  CRYSTAL PALACE YAITUPA NJE TOTTENHAM HOTSPUR KOMBE LA FA ENGLAND

  Wachezaji wa Crystal Palace wakimpongeza mwenzao, Connor Wickham baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya tisa katika ushindi wa 2-0 dhid...
  Sunday, January 27, 2019
  NI KARIOBANGI SHARKS MABINGWA WAPYA WA SPORTPESA SUPER CUP 2018

  NI KARIOBANGI SHARKS MABINGWA WAPYA WA SPORTPESA SUPER CUP 2018

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Kariobangi Sharks imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi ...
  SIMBA WAIPIGA MBAO KWA MATUTA NA KUSHIKA NAFASI YA TATU SPORTPRSA CUP

  SIMBA WAIPIGA MBAO KWA MATUTA NA KUSHIKA NAFASI YA TATU SPORTPRSA CUP

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC wamefanikiwa kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye michuano ya SportP...
  STARS ILIYOTOA SARE NA ZAMBIA 2-2 KOMBE LA CHALLENGE NAIROBI 1979

  STARS ILIYOTOA SARE NA ZAMBIA 2-2 KOMBE LA CHALLENGE NAIROBI 1979

  Kikosi cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania Bara, kabla ya mchezo wa Kundi A, Kombe la Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge dhidi ...
  Saturday, January 26, 2019
  KMC YATINGA 16 BORA KOMBE LA TFF, MBEYA CITY YAWATOA WABABE WA SIMBA

  KMC YATINGA 16 BORA KOMBE LA TFF, MBEYA CITY YAWATOA WABABE WA SIMBA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) imefanikiwa kuingia hatua ya 16 Bora ya michuano ya Ko...
  MAN UNITED YAIGONGA ARSENAL 3-1 EMIRATES NA KUSONGA MBELE FA

  MAN UNITED YAIGONGA ARSENAL 3-1 EMIRATES NA KUSONGA MBELE FA

  Wachezaji wa Manchester United wakimpongeza mwenzao, Alexis Sanchez baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 3-1 dhi...
  Friday, January 25, 2019
  AZAM FC YAIPIGA BIASHARA UNITED 2-1 NA KUIKARIBIA YANGA KILELENI LIGI KUU

  AZAM FC YAIPIGA BIASHARA UNITED 2-1 NA KUIKARIBIA YANGA KILELENI LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United ya Mara katika mchezo wa Ligi K...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top