TIMU ya Azam FC imeanza michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa sare ya bila mabao na mabingwa watetezi na wenyeji, Mlandege FC katika mchezo wa Kundi A leo Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Mchezo wa Kundi C utafuatia Saa 2:15 usiku baina ya Vital’O ya Burundi na wenyeji, Chipukizi hapo hapo Uwanja wa New Amaan Complex kukamilisha Michezo ya siku ya ufunguzi.
0 comments:
Post a Comment