• HABARI MPYA

    Showing posts with label KOMBE LA KAGAME. Show all posts
    Showing posts with label KOMBE LA KAGAME. Show all posts
    Sunday, July 21, 2024
    RED ARROWS MABINGWA KOMBE LA KAGAME, AL HİLAL WA TATU

    RED ARROWS MABINGWA KOMBE LA KAGAME, AL HİLAL WA TATU

    TIMU ya Red Arrows ya Zambia imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame kwa ushindi w...
    Saturday, July 20, 2024
    NI APR NA RED ARROWS FAINALI KOMBE LA KAGAME 2024

    NI APR NA RED ARROWS FAINALI KOMBE LA KAGAME 2024

    TIMU za APR ya Rwanda na Red Arrows ya Zambia jana zilifanikiwa kutinga Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe...
    Wednesday, July 17, 2024
    RED ARROWS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA KAGAME

    RED ARROWS YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA KAGAME

    BAO pekee la Anthony Shipanuka dakika ya 21 jana lilitosha kuipa ushindi wa 1-0 Red Arrows ya Zambia dhidi ya Telecom ya Djobouti katika mch...
    Monday, July 15, 2024
    COASTAL UNION YATOA DROO, SINGIDA YASHINDA KAGAME, LAKINI…

    COASTAL UNION YATOA DROO, SINGIDA YASHINDA KAGAME, LAKINI…

    TIMU ya Coastal Union imekamilisha mechi zake za Kundi A Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame kwa kutoa sare ...
    Sunday, July 14, 2024
    AL HILAL YAITANDIKA RED ARROWS 5-0, GOR MAHIA YAAMBULIA SARE KAGAME

    AL HILAL YAITANDIKA RED ARROWS 5-0, GOR MAHIA YAAMBULIA SARE KAGAME

    TIMU ya Al Hilal FC ya Sudan jana imeibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Red Arrows FC ya Zambia katika mchezo wa Kundi B Klabu Bingwa Af...
    Saturday, July 13, 2024
    APR YAENDELEZA UBABE KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA EL MERREIKH 1-0

    APR YAENDELEZA UBABE KOMBE LA KAGAME, YAICHAPA EL MERREIKH 1-0

    BAO pekee la mshambuliaji wa Kimataifa wa Mauritania, Mamadou Sy dakika ya 70 jana lilitosha kuipa APR ya Rwanda ushindi wa 1-0 dhidi ya El ...
    Friday, July 12, 2024
    SINGIDA BIG STARS YAPIGWA TENA, YACHAPWA 3-1 NA SC VILLA

    SINGIDA BIG STARS YAPIGWA TENA, YACHAPWA 3-1 NA SC VILLA

    TIMU ya Singida Big Stars imejiweka kwenye nafasi ngumu ya kusonga mbele michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kom...
    JKU YAIKANDA COASTAL UNION 2-0 MWENGE KOMBE LA KAGAME

    JKU YAIKANDA COASTAL UNION 2-0 MWENGE KOMBE LA KAGAME

    TIMU ya JKU ya Zanzibar imefufua matumaini ya kufanya vyema kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baada ...
    Thursday, July 11, 2024
    AL HILAL YAANZA VYEMA, GOR MAHIA YACHAPWA KOMBE LA KAGAME

    AL HILAL YAANZA VYEMA, GOR MAHIA YACHAPWA KOMBE LA KAGAME

    MABAO ya Mohamed Abdelrahman Yousif dakika ya 22 na 27 yaliipa  Al Hilal Omdurman ya Sudan  ushindi wa 2-0 dhidi ya ASAS ya Djibouti katika ...
    Wednesday, July 10, 2024
    SINGIDA BIG STARS YAANZA VIBAYA KOMBE LA KAGAME, YAPIGWA 1-0 CHAMAZI

    SINGIDA BIG STARS YAANZA VIBAYA KOMBE LA KAGAME, YAPIGWA 1-0 CHAMAZI

    TIMU ya Singida Big Stars jana ilianza vibaya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame baada ya kuchapwa 1-0 na ma...
    Tuesday, July 09, 2024
    COASTAL UNION YAANZA VYEMA, JKU YADUNDWA UFUNGUZI KAGAME

    COASTAL UNION YAANZA VYEMA, JKU YADUNDWA UFUNGUZI KAGAME

    TIMU ya Coastal Union imeanza vyema michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 1-0 ...
    Tuesday, June 11, 2024
    MAZEMBE NA WABABE WA ZAMBIA WAJA KOMBE LA KAGAME ZANZIBAR

    MAZEMBE NA WABABE WA ZAMBIA WAJA KOMBE LA KAGAME ZANZIBAR

    TIMU za TP Mazemba (DRC), Nyasa Big Bullets FC (Malawi), na Red Arrows FC ya Zambia zitashiriki michuano ya Kombe la Kagame inayotarajiwa ku...
    Tuesday, May 14, 2024
    KOMBE LA KAGAME KUFANYIKA TANZANIA JULAI

    KOMBE LA KAGAME KUFANYIKA TANZANIA JULAI

    TANZANIA imeteuliwa kuwa Mwenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame ambayo itafanyika kuanz...
    Wednesday, February 21, 2024
    KAGERA SUGAR YAITUPA NJE PAMBA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

    KAGERA SUGAR YAITUPA NJE PAMBA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

    TIMU ya Kagera Sugar jana ilifanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federatio...
    Sunday, August 27, 2023
    Saturday, August 20, 2022
    SIMBA QUEENS YATINGA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA MASHARIKI

    SIMBA QUEENS YATINGA NUSU FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA MASHARIKI

    TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Wanawake Afrika Mashariki na Kati baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Y...
    Saturday, August 14, 2021
    EXPRESS YA UGANDA YATWAA KOMBE LA KAGAME KWA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA NYASA BIG BULLET YA MALAWI LEO DAR

    EXPRESS YA UGANDA YATWAA KOMBE LA KAGAME KWA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA NYASA BIG BULLET YA MALAWI LEO DAR

    TIMU ya Express ya Uganda imefanikiwa kutwaa Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Nyasa Big Bullet ya Malawi, bao pekee la Marti...
    KMKM YAIPIGA AZAM FC PUNGUFU 1-0 NA KUTWAA NAFASI YA TATU KOMBE LA KAGAME LEO MKAPA

    KMKM YAIPIGA AZAM FC PUNGUFU 1-0 NA KUTWAA NAFASI YA TATU KOMBE LA KAGAME LEO MKAPA

    KMKM ya Zanzibar imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya Kombe la Kagame baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC jioni ya le...
    Wednesday, August 11, 2021
    AZAM FC YATUPWA NJE KWA MATUTA NA BIG BULLET YA MALAWI NUSU FAINALI YA KOMBE LA KAGAME LEO CHAMAZI

    AZAM FC YATUPWA NJE KWA MATUTA NA BIG BULLET YA MALAWI NUSU FAINALI YA KOMBE LA KAGAME LEO CHAMAZI

    WENYEJI, Azam FC wametupwa nje ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame baada ya kuchapwa kwa pena...
    Tuesday, August 10, 2021
    EXPRESS YA UGANDA YATINGA FAINALI KOMBE LA KAGAME BAADA YA KUICHAPA KMKM YA ZA ZANZIBAR 2-1 USIKU HUU CHAMAZI

    EXPRESS YA UGANDA YATINGA FAINALI KOMBE LA KAGAME BAADA YA KUICHAPA KMKM YA ZA ZANZIBAR 2-1 USIKU HUU CHAMAZI

    TIMU ya Express ya Uganda imefanikiwa kwenda Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame baada ya ushindi...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top