// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 01/01/2020 - 02/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 01/01/2020 - 02/01/2020 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, January 31, 2020
    AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA MTIBWA SUGAR TAIFA TIMU ZOTE ZIKIMALIZA PUNGUFU

    AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA MTIBWA SUGAR TAIFA TIMU ZOTE ZIKIMALIZA PUNGUFU

    Kiungo wa Mtibwa Sugar, Salum Kihimbwa akiupitia mpira mguuni mwa beki Mganda wa Azam FC, Nicholas Wadada katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ta...
    Thursday, January 30, 2020
    Wednesday, January 29, 2020
    KAGERE APIGA BAO LA USHINDI BADO DAKIKA MBILI SIMBA SC YAWACHAPA NAMUNGO FC 3-2 TAIFA

    KAGERE APIGA BAO LA USHINDI BADO DAKIKA MBILI SIMBA SC YAWACHAPA NAMUNGO FC 3-2 TAIFA

    Na Asha Said, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendelea kung’ara baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Namungo FC kwenye mche...
    MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LEO USHIRIKA

    MATHEO AIPIGIA BAO PEKEE POLISI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 LEO USHIRIKA

    Bao pekee la mshambuliaji Matheo Anthony Simon dakika ya 82 limetosha kuipa ushindi wa 1-0 Polisi Tanzania dhidi ya Tanzania Prisons kati...
    KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA MAFUNZO YA DIPLOMA C YA KOZI YA UKOCHA YA CAF

    KASEJA NA PAWASA WAJITOKEZA MAFUNZO YA DIPLOMA C YA KOZI YA UKOCHA YA CAF

    Nyota wa zamani wa klabu ya Simba, kipa Juma Kaseja (kushoto) na beki Boniface Pawasa (kulia) ni miongoni mwa makocha 30 waliojitokeza ku...
    UZINDUZI WA TAWI LA SIMBA SC BUNGENI MJINI DODOMA ULIVYOFANA MAPEMA LEO

    UZINDUZI WA TAWI LA SIMBA SC BUNGENI MJINI DODOMA ULIVYOFANA MAPEMA LEO

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Yustino Ndugai akikata utepe wakati wa uzinduzi wa tawi la klabu hiyo Bungeni mjin...
    MCHEZAJI KUPELEKWA KWA MKOPO NI UAMUZI WA BENCHI LA UFUNDI

    MCHEZAJI KUPELEKWA KWA MKOPO NI UAMUZI WA BENCHI LA UFUNDI

    Na Dominick Salamba, DAR ES SALAAM DIRISHA dogo la usajili msimu huu limetuletea taswira ya kushangaza sana kwa wachezaji wetu na waajiri ...
    SAMATTA ‘AWAKOSAKOSA’ LEICESTER CITY, ASTON VILLA YASHINDA 2-1 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND

    SAMATTA ‘AWAKOSAKOSA’ LEICESTER CITY, ASTON VILLA YASHINDA 2-1 NA KUTINGA FAINALI KOMBE LA LIGI ENGLAND

    Na Mwandishi Wetu, BIRMINGHAM  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amecheza kwa dakika 67 tu, timu yake mpya, ...
    Tuesday, January 28, 2020
    THOMAS ULIMWENGU ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUREJEA KLABU YA TP MAZEMBE

    THOMAS ULIMWENGU ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUREJEA KLABU YA TP MAZEMBE

    Na Mwandshi Wetu, LUBUMBASHI MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga te...
    Monday, January 27, 2020
    AZAM FC YAICHAPA FRIENDS RANGERS 3-1 NA KUFUNGA MLANGO WA 16 BORA KOMBE LA TFF

    AZAM FC YAICHAPA FRIENDS RANGERS 3-1 NA KUFUNGA MLANGO WA 16 BORA KOMBE LA TFF

    Na Asha Said, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imefunga mlango wa kuingia hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maaruf...
    Sunday, January 26, 2020

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top