• HABARI MPYA

  Ijumaa, Desemba 31, 2021
  YANGA YAUAGA MWAKA KWA USHINDI WA 4-0

  YANGA YAUAGA MWAKA KWA USHINDI WA 4-0

  VINARA, Yanga SC wamefunga mwaka ushindi wa kishindo wa 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo ...
  Alhamisi, Desemba 30, 2021
  CHARLES HILLARY ATEULIWA MKURUGENZI MAWASILIANO IKULU ZENJI

  CHARLES HILLARY ATEULIWA MKURUGENZI MAWASILIANO IKULU ZENJI

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua mtangazaji  nguli wa mpira, Charles Martin Hillary ku...
  NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA BIASHARA

  NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA BIASHARA

  WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mj...
  YANGA YATAJA VIINGILIO KESHO MECHI NA DODOMA JIJI

  YANGA YATAJA VIINGILIO KESHO MECHI NA DODOMA JIJI

  KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga SC na Dodoma Jiji FC Uwanja wa Benjamin Mkap...
  KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AZAM 5,000 JUMAPILI

  KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AZAM 5,000 JUMAPILI

  KIINGILIO cha chini katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya Simba SC na Azam FC Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es ...
  Jumatano, Desemba 29, 2021
  YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY

  YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY

  KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wake mpya wa pili katika dirisha dogo baada y...
  Jumanne, Desemba 28, 2021
  KMC CHUPUCHUPU KUPIGWA NA RUVU CHAMAZI, 1-1

  KMC CHUPUCHUPU KUPIGWA NA RUVU CHAMAZI, 1-1

  BAO la dakika ya mwisho la Charles Ilamfya limeinusuru KMC kupoteza mechi nyumbani baada ya kutoa sare ya 1-1 na Ruvu Shooting katika mchezo...
  MTIBWA SUGAR YAILAZA COASTAL UNION 1-0 MKWAKWANI

  MTIBWA SUGAR YAILAZA COASTAL UNION 1-0 MKWAKWANI

  TIMU ya Mtibwa Sugar imepata ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya l...
  MSUVA APANGWA NA ZAMALEK NA TIMU MBILI ZA ANGOLA

  MSUVA APANGWA NA ZAMALEK NA TIMU MBILI ZA ANGOLA

  NYOTA wa Tanzania, Simon Happygod Msuva, timu yake, Wydad Athletic ya Morocco, maarufu Wydad Casablanca imepangwa Kundi D katika Ligi ya Mab...
  MAFUNDI WANAPOKUTANA, HESHIMA HUCHUKUA NAFASI YAKE

  MAFUNDI WANAPOKUTANA, HESHIMA HUCHUKUA NAFASI YAKE

  VIUNGO, Mganda Khalid Aucho (28) wa Yanga na Ramadhan Chombo ‘ Redondo’ wa Biashara United (34) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara J...
  Jumatatu, Desemba 27, 2021
  SIMBA QUEENS YASHINDA 8-0, YANGA PRINCESS YADROO

  SIMBA QUEENS YASHINDA 8-0, YANGA PRINCESS YADROO

  MABINGWA watetezi, Simba Queens wameendelea kugawa maumivu kwa wapinzani katika Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya kuichapa Oysterb...
  BODI YA LIGI YAZITAKA KLABU KUBORESHA VIWANJA

  BODI YA LIGI YAZITAKA KLABU KUBORESHA VIWANJA

  BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imezitaka klabu kutumia kipindi cha mapumziko ya kupisha michuano ya Ko...
  MBEYA CITY, KWANZA ZATOA SARE UGENINI LIGI KUU

  MBEYA CITY, KWANZA ZATOA SARE UGENINI LIGI KUU

  WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya 1-1 na Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nyankumbu m...
  Jumapili, Desemba 26, 2021
  YANGA YATOKA NYUMA TENA KUILAZA BIASHARA 2-1

  YANGA YATOKA NYUMA TENA KUILAZA BIASHARA 2-1

  WENYEJI, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Ben...
  DTB YAENDELEZA MOTO CHAMPIONSHIP, YAILAZA GWAMBINA 5-3

  DTB YAENDELEZA MOTO CHAMPIONSHIP, YAILAZA GWAMBINA 5-3

  TIMU ya DTB imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ijulikanayo kama Championship baada ya us...
  PRISONS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 KAITABA

  PRISONS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 KAITABA

  TIMU ya Tanzania Prisons imezinduka kwa ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba...
  MKONGWE WA KONGO DEO KANDA ATUA MTIBWA SUGAR

  MKONGWE WA KONGO DEO KANDA ATUA MTIBWA SUGAR

  KLABU ya Mtibwa Sugar imemtambulisha winga mkongwe wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Deo Kanda A Mukok kuwa mchezaji w...
  Ijumaa, Desemba 24, 2021
  YANGA PRINCESS WASHINDA 2-0 DOM LIGI YA WANAWAKE

  YANGA PRINCESS WASHINDA 2-0 DOM LIGI YA WANAWAKE

  TIMU ya Yanga Princes imeanza vyema Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Bao Bab Queens Uwanja wa Ja...
  KIBU APIGA MBILI SIMBA SC YAITANDIKA KMC 4-1 TABORA

  KIBU APIGA MBILI SIMBA SC YAITANDIKA KMC 4-1 TABORA

  MABINGWA watetezi, Simba SC wametoa onyo kali baada ya kuitandika KMC mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
  COASTAL UNION YAILAZA MBEYA CITY 3-2 MKWAKWANI

  COASTAL UNION YAILAZA MBEYA CITY 3-2 MKWAKWANI

  WENYEJI, Coastal Union wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mkw...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top