• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 31, 2017
  LUKAKU MCHEZAJI BORA WA MACHI ENGLAND, HOWE KOCHA BORA

  LUKAKU MCHEZAJI BORA WA MACHI ENGLAND, HOWE KOCHA BORA

  MSHAMBULIAJI wa Everton, Romelu Lukaku ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi Machi wa Ligi Kuu ya England. Lukaku amefunga mabao mann...
  JESSE LINGARD AONYESHA BENTLEY LAKE LA PAUNI 200,000

  JESSE LINGARD AONYESHA BENTLEY LAKE LA PAUNI 200,000

  Nyota wa Manchester United, Jesse Lingard (kushoto) akiwa nje ya gari yake mpya aina ya Bentley Continental GT yenye thamani ya  Pauni 20...
  Alhamisi, Machi 30, 2017
  NYASI BANDIA ZA SIMBA ZAPIGWA MNADA WAMESHINDWA KUZILIPIA USHURU

  NYASI BANDIA ZA SIMBA ZAPIGWA MNADA WAMESHINDWA KUZILIPIA USHURU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NYASI bandia za Simba ziko hatarini kupigwa mnada, baada ya klabu hiyo kushindwa kuzilipia ushuru tangu z...
  FIRMINO NA COUTINHO WAIWAHI LIVERPOOL V EVERTON JUMAMOSI

  FIRMINO NA COUTINHO WAIWAHI LIVERPOOL V EVERTON JUMAMOSI

  Roberto Firmino na Philippe Coutinho wakiwa kwenye ndege waliyotumiwa na Liverpool jana ili wawahi mchezo wa Ligi Kuu ya England wa mahas...
  FURAHA YA RONALDO BAADA YA UWANJA WAKE NDEGE KUZINDULIWA

  FURAHA YA RONALDO BAADA YA UWANJA WAKE NDEGE KUZINDULIWA

  Cristiano Ronaldo (kulia) akizungumza na viongozi jana wakati wa sherehe ya utambulisho wa Uwanja wa Ndege wa Madeira kwa jina lake PICH...
  MBARAKA YUSSUF AWAAMBIA SIMBA; “HAKUNA KUCHEKEANA JUMAPILI”

  MBARAKA YUSSUF AWAAMBIA SIMBA; “HAKUNA KUCHEKEANA JUMAPILI”

  Na Mahmoud Zubeiry, BUKOBA MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Mbaraka Yussuf Abeid anayechezea Kagera Sugar ya Bukoba ameiam...
  Jumatano, Machi 29, 2017
  MTANZANIA WA UJERUMANI KUWANOA WENYE VIPAJI NCHINI

  MTANZANIA WA UJERUMANI KUWANOA WENYE VIPAJI NCHINI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM  MTANZANIA anayeishi nchini Ujerumani Emanuel Austin, ameandaa mafunzo maalum ya kucheza muziki kwa vijan...
  BENTEKE AFUNGA MAWILI, UBELGIJI YATOA SARE 3-3 NA URUSI

  BENTEKE AFUNGA MAWILI, UBELGIJI YATOA SARE 3-3 NA URUSI

  Christian Benteke akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 42 na 45 katika sare ya 3-3 na wenyeji, Urusi kwenye mc...
  ITALIA YAIZIMA UHOLANZI 2-1 AMSTERDAM ARENA

  ITALIA YAIZIMA UHOLANZI 2-1 AMSTERDAM ARENA

  Beki  Leonardo  Bonucci akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Italia dakika ya 32 ikiwalaza 2-1 wenyeji Uholanzi katika mchezo w...
  BAO LA GRIEZMANN LAKATALIWA, UFARANSA WAFA 2-0 NYUMBANI BELE YA HISPANIA

  BAO LA GRIEZMANN LAKATALIWA, UFARANSA WAFA 2-0 NYUMBANI BELE YA HISPANIA

  Antoine Griezmann wa Ufaransa akishangilia bao lililokataliwa baada ya kurudiwa kutazamwa kwenye teknolojia ya video katika mchezo wa kir...
  RONALDO AFUNGA LAKINI URENO YAPIGWA 3-2 NYUMBANI NA SWEDEN

  RONALDO AFUNGA LAKINI URENO YAPIGWA 3-2 NYUMBANI NA SWEDEN

  Cristiano Ronaldo akiifungia bao timu yake ya taifa, Ureno dakika ya18 jana ikifungwa 3-2 na  Sweden Uwanja wa Maritimo katika mchezo wa ...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top