• HABARI MPYA

  Jumatano, Julai 28, 2021
  EZEKIEL KAMWAGA AREJESHWA SIMBA SC KUKAIMU NAFASI YA UKUU WA IDARA YA HABARI, MANARA AAGWA RASMI MSIMBAZI

  EZEKIEL KAMWAGA AREJESHWA SIMBA SC KUKAIMU NAFASI YA UKUU WA IDARA YA HABARI, MANARA AAGWA RASMI MSIMBAZI

  KLABU ya Simba imemteua Ezekiel Kamwaga kukaimu nafasi ya Ukuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano kwa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi ...
  Jumanne, Julai 27, 2021
  SPORTPESA YAWAZAWADIA SIMBA SC KITITA CHA SH MILIONI KWA KUTWAA KWA MARA NYINGINE TENA UBINGWA WA BARA

  SPORTPESA YAWAZAWADIA SIMBA SC KITITA CHA SH MILIONI KWA KUTWAA KWA MARA NYINGINE TENA UBINGWA WA BARA

  MDHAMINI Mkuu wa klabu ya Simba, kampuni ya SportPesa leo imeikabidhi timu hiyo kiasi Sh. Milioni 100 kama zawadi ya kutwaa ubingwa wa Ligi ...
  WINGA MGHANA, BERNARD MORRISON ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MASHABIKI WA SIMBA SC MWEZI JUNI

  WINGA MGHANA, BERNARD MORRISON ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MASHABIKI WA SIMBA SC MWEZI JUNI

  WINGA Mghana, Bernard Morrison amekabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Juni (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Mon...
  TANZANIA YATINGA FAINALI MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE U23 BAADA YA KUICHAPA U23 SUDAN KUSINI 1-0 ETHIOPIA

  TANZANIA YATINGA FAINALI MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE U23 BAADA YA KUICHAPA U23 SUDAN KUSINI 1-0 ETHIOPIA

  TANZANIA imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wamiaka 23 (CECAFA Challenge U2...
  NASREDDINE NABI AWABWAGA GOMES WA SIMBA NA LULLE WA MBEYA CITY KUTWAA TUZO KOCHA BORA WA LIGI KUU JULAI

  NASREDDINE NABI AWABWAGA GOMES WA SIMBA NA LULLE WA MBEYA CITY KUTWAA TUZO KOCHA BORA WA LIGI KUU JULAI

  MTUNISIA Nasreddine Nabi ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa mwezi wa mwisho wa msimu, Julai baada ya kuwashinda Mfaransa Didier Go...
  SPURS YASAJILI KIUNGO WA HISPANIA, LAMELA KWAHERI

  SPURS YASAJILI KIUNGO WA HISPANIA, LAMELA KWAHERI

  KLABU ya Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wake wa kwanaa kwa kumnyakua Bryan Gil kutoka Sevilla kwa ada ya Pauni Milioni 22. Pamoja na...
  Jumatatu, Julai 26, 2021
  MUKOKO TONOMBE AWAOMBA RADHI YANGA BAADA YA KUSABABISHA MAJANGA JANA KIGOMA TIMU IKICHAPWA 1-0 FAINALI ASFC

  MUKOKO TONOMBE AWAOMBA RADHI YANGA BAADA YA KUSABABISHA MAJANGA JANA KIGOMA TIMU IKICHAPWA 1-0 FAINALI ASFC

   KIUNGO wa Yanga SC, Mukoko Tonombe, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amewaomba radhi mashabiki wa timu yake pamoja na makocha...
  KIKOSI CHA YANGA SC CHAREJEA DAR KINYONGE BAADA YA KUPIGWA NA MTANI, SIMBA SC JANA FAINALI KOMBE LA TFF

  KIKOSI CHA YANGA SC CHAREJEA DAR KINYONGE BAADA YA KUPIGWA NA MTANI, SIMBA SC JANA FAINALI KOMBE LA TFF

   KIKOSI cha Yanga SC kimerejea mapema leo kutoka Kigoma, ambako jana walifungwa 1-0 na Simba SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Sok...
  Jumapili, Julai 25, 2021
  THADEO LWANGA AWAZIMA YANGA SC KIGOMA, SIMBA SC YATWAA TENA TAJI LA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  THADEO LWANGA AWAZIMA YANGA SC KIGOMA, SIMBA SC YATWAA TENA TAJI LA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  SIMBA SC wamefanikiwa kutetea Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa...
   MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIAKA 86.

  MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA UMRI WA MIAKA 86.

  MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT), sasa Shirikisho (TFF) na aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi nchini, Wakili Said Ha...
  Jumamosi, Julai 24, 2021
  TFF KUGAWA BARAKOA KWA KILA SHABIKI ATAKAYEINGOA UWANJANI LAKE TANGANYIKA KESHO KUSHUHUDIA PAMBANO LA WATANI WA JADI

  TFF KUGAWA BARAKOA KWA KILA SHABIKI ATAKAYEINGOA UWANJANI LAKE TANGANYIKA KESHO KUSHUHUDIA PAMBANO LA WATANI WA JADI

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema litagawa barakoa kwa kila shabiki atakayeingia Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma kesho kus...
  AZAM FC YAWAACHA NYOTA WAKE WANNE WA KIGENI, CHIRWA, MPIANA MONZINZI, YAKUBU NA ALLY NIYONZIMA

  AZAM FC YAWAACHA NYOTA WAKE WANNE WA KIGENI, CHIRWA, MPIANA MONZINZI, YAKUBU NA ALLY NIYONZIMA

  KLABU ya Azam FC imewaacha wachezaji wake wanne wa kigeni baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Hao ni beki wa kati, Mghana Yakubu Moham...
  TANZANIA YATINGA NUSU FAINALI MICHUANO YA CECAFA U23 BAADA YA SARE YA 1-1 NA UGANDA LEO NCHINI ETHIOPIA

  TANZANIA YATINGA NUSU FAINALI MICHUANO YA CECAFA U23 BAADA YA SARE YA 1-1 NA UGANDA LEO NCHINI ETHIOPIA

  TANZANIA imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 (CECAFA Challe...
   KOCHA MFARANSA WA SIMBA SC, DIDIER GOMES ASEMA ANATAKA KUSHINDA KOMBE LA TFF KESHO AMALIZE MSIMU VIZURI

  KOCHA MFARANSA WA SIMBA SC, DIDIER GOMES ASEMA ANATAKA KUSHINDA KOMBE LA TFF KESHO AMALIZE MSIMU VIZURI

  KOCHA Mfaransa wa Simba SC, Didier Gomes Da Rosa amesema kwamba anataka kushinda Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama A...
  Ijumaa, Julai 23, 2021
  MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUWAVAA MABINGWA WATETEZI ASFC, SIMBA SC JUMAPILI KIGOMA

  MAZOEZI YA MWISHO YANGA SC KABLA YA KUWAVAA MABINGWA WATETEZI ASFC, SIMBA SC JUMAPILI KIGOMA

  WACHEZAJI wa Yanga SC wakiwa mazoezini Uwanja wa Hali ya Hewa mjini Kigoma,  kujiandaa na fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (T...
  SANCHO ATUA MAN UNITED KWA PAUNI MILIONI 73

  SANCHO ATUA MAN UNITED KWA PAUNI MILIONI 73

  HATIMAYE Manchester United imekamilisha uhamisho wa winga wa kimafaifa wa England,  Jadon Sancho  kwa ada ya Pauni Milioni 73 kutoka  Boruss...
  DEPAY ATAMBULISHWA BARCA BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI

  DEPAY ATAMBULISHWA BARCA BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI

  WINGA wa kimafaifa wa Uholanzi,  Memphis Depay  ametambulishwa Barcelona baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru kufuati...
  Alhamisi, Julai 22, 2021
  AZAM FC YASAJILI MKALI MWINGINE KUTOKA ZAMBIA, NI KIUNGO FUNDI WA ULINZI KUTOKA RED ARROWS

  AZAM FC YASAJILI MKALI MWINGINE KUTOKA ZAMBIA, NI KIUNGO FUNDI WA ULINZI KUTOKA RED ARROWS

  KLABU ya Azam FC imeendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao kwa kumsajili kiungo mkabaji wa kimataifa wa Zambia, Paul Katema, kutoka Re...
  SERIKALI YAUNDA KAMATI YA WATU 12 KUANDAA NA KUSIMAMIA MASHINDANO YA KOMBE LA TAIFA MWAKA HUU

  SERIKALI YAUNDA KAMATI YA WATU 12 KUANDAA NA KUSIMAMIA MASHINDANO YA KOMBE LA TAIFA MWAKA HUU

   WIZARA ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeunda Kamati ya watu 12 kuandaa na kusimamia mashindano ya Soka ya Kombe la Taifa mwaka huu...
  MBUNGE SHANGAZI ATEULIWA KUCHUKUA NAFASI YA BARBARA BODI YA UKURUGENZI YA KLABU YA SIMBA SC

  MBUNGE SHANGAZI ATEULIWA KUCHUKUA NAFASI YA BARBARA BODI YA UKURUGENZI YA KLABU YA SIMBA SC

  MBUNGE wa Jimbo la Mlalo, Rashid Abdallah Shangazi ambaye ni Mwenyekiti wa Tawi la Simba Bungeni maarufu 'Wekundu wa Mjengoni' amete...
  REAL MADRID YAMTAMBULISHA RASMI BEKI MPYA DAVID ALABA

  REAL MADRID YAMTAMBULISHA RASMI BEKI MPYA DAVID ALABA

  BEKI wa kimataifa wa Austria, David Alaba anayeweza kucheza kama kiungo wa ulinzi pia, jana ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Real ...

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top