• HABARI MPYA

  Saturday, November 30, 2019
  REAL MADRID WAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUICHAPA ALAVES 2-1

  REAL MADRID WAREJEA KILELENI LA LIGA BAADA YA KUICHAPA ALAVES 2-1

  Real Madrid leo wamerejea kileleni mwa La Liga baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Deportivo Alaves Uwanja wa Mendizorroza mjini Vitoria-Gas...
  MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA NEWCASTLE UNITED

  MANCHESTER CITY YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA NEWCASTLE UNITED

  Jonjo Shelvey akipiga shuti kuifungia bao la kusawazisha Newcastle United dakika ya 88 katika sare ya 2-2 na Manchester City kwenye mchez...
  CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA WEST HAM UNITED PALE PALE DARAJANI

  CHELSEA YACHAPWA 1-0 NA WEST HAM UNITED PALE PALE DARAJANI

  Aaron Creswell akishangilia na mchezaji mwenzake, Robert Snodgrass baada ya kuifungia bao pekee West Ham United dakika ya 48 katika ushin...
  DELE ALLI APIGA MBILI TOTTENHAM YAILAZA 3-2 BOURNEMOUTH

  DELE ALLI APIGA MBILI TOTTENHAM YAILAZA 3-2 BOURNEMOUTH

  Dele Alli akipongezwa na Heung-Min Son baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 21 na 50 katika ushindi wa 3-2 dhidi y...
  VAN DIJK APIGA MBILI LIVERPOOL PUNGUFU YAICHAPA BRIGHTON 2-1

  VAN DIJK APIGA MBILI LIVERPOOL PUNGUFU YAICHAPA BRIGHTON 2-1

  Beki Virgil van Dijk akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 18 na 24 mara zote akiimalizia kazi nzuri za Trent ...
  SIMBA SC YAACHANA NA AUSSEMS, KITAMBI APEWA TIMU HADI ATAKAPOPATIKANA KOCHA MPYA

  SIMBA SC YAACHANA NA AUSSEMS, KITAMBI APEWA TIMU HADI ATAKAPOPATIKANA KOCHA MPYA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba SC imetangaza rasmi kuachana na kocha wake, Patrick Winand J. Aussems baada ya beki huyo ...
  KOCHA JUMA MWAMBUSI ABWAGA MANYANGA MBEYA CITY, MOHAMED KIJUSO APEWA MIKOBA

  KOCHA JUMA MWAMBUSI ABWAGA MANYANGA MBEYA CITY, MOHAMED KIJUSO APEWA MIKOBA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa Mbeya City Juma Mwambusi (pichani) amejiuzulu kuifundisha timu hiyo kutokana na mwenendo usiorid...
  Friday, November 29, 2019
  YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA ALLIANCE 2-1 CCM KIRUMBA

  YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA ALLIANCE 2-1 CCM KIRUMBA

  Na Mwandishi Wetu, MWANZA KIKOSI cha Yanga kimeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Alli...
  MANULA ATEULIWA KIKOSI CHA KILIMANJARO STARS PAMOJA NA KASEJA KWA AJILI YA CHALLENGE

  MANULA ATEULIWA KIKOSI CHA KILIMANJARO STARS PAMOJA NA KASEJA KWA AJILI YA CHALLENGE

  Na Asha Said, DAR ES SALAAM KIPA namba moja wa timu ya Simba, Aishi Manula amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa, baada ya jana kuta...
  Thursday, November 28, 2019
  LUKAKU AFUNGA INTER MILAN YASHINDA 3-1 LIGI YA MABINGWA

  LUKAKU AFUNGA INTER MILAN YASHINDA 3-1 LIGI YA MABINGWA

  Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Inter Milan bao la pili dakika ya 81 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, S...
  DEJAN LOVREN AINUSURU LIVERPOOL KUPIGWA ANFIELD NA NAPOLI, 1-1

  DEJAN LOVREN AINUSURU LIVERPOOL KUPIGWA ANFIELD NA NAPOLI, 1-1

  Dejan Lovren akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Liverpool dakika ya 65 ikitoa sare ya 1-1 na Napoli iliyotanguli...
  SAMATTA AFUNGA BAO LA TATU LIGI YA MABINGWA ULAYA GENK IKICHAPWA 4-1 NYUMBANI SALZBURG

  SAMATTA AFUNGA BAO LA TATU LIGI YA MABINGWA ULAYA GENK IKICHAPWA 4-1 NYUMBANI SALZBURG

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana amefunga bao lake la tatu katika Ligi ya ...
  Wednesday, November 27, 2019
  ZLATAN AJIUNGA NA TIMU YA KWAO SWEDEN BAADA YA KUTEMWA LA GALAXY

  ZLATAN AJIUNGA NA TIMU YA KWAO SWEDEN BAADA YA KUTEMWA LA GALAXY

  Zlatan Ibrahimovic akiwa ameshika jezi ya Hammarby ya kwao, Sweden baada ya kujiunga nayo kama mmoja wa wamiliki kufuatia kuachwa na LA G...
  DYBALA APIGA BAO PEKEE JUVENTUS YAICHAPA ATLETICO MADRID 1-0

  DYBALA APIGA BAO PEKEE JUVENTUS YAICHAPA ATLETICO MADRID 1-0

  Paulo Dybala akishangilia baada ya kuifungia Juventus bao pekee la ushindi dakika ya 45 na ushei ikiilaza 1-0 Atletico Madrid katika mche...
  BENZEMA APIGA MBILI PSG WACHOMOA ZOTE SARE 2-2 REAL NA PSG

  BENZEMA APIGA MBILI PSG WACHOMOA ZOTE SARE 2-2 REAL NA PSG

  Mshambuliaji Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid striker dakika za 17 na 79 katika sare ya 2-2 na Pari...
  MAN CITY YAFUZU HATUA YA MTOANO LICHA YA KUTOA SARE 1-1 ETIHAD

  MAN CITY YAFUZU HATUA YA MTOANO LICHA YA KUTOA SARE 1-1 ETIHAD

  Kiungo lkay Gundogan akiifungia bao la kuongoza Manchester City dakika ya 56 katika sare ya 1-1 na Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa Kund...
  LEWANDOWSKI APIGA NNE BAYERN MUNICH YASHINDA 6-0 UGENINI

  LEWANDOWSKI APIGA NNE BAYERN MUNICH YASHINDA 6-0 UGENINI

  Mshambuliaji Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao manne dakika za 53 kwa penalti, 60, 64, 67 katika ush...
  Monday, November 25, 2019
  KENYA WATWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE BAADA YA KUIPIGA TANZANIA BARA 2-0 CHAMAZI

  KENYA WATWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE BAADA YA KUIPIGA TANZANIA BARA 2-0 CHAMAZI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KENYA imefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa Wanawake, CECAFA Challenge baad...
  PRISONS YAICHAPA SINGIDA UNITED 1-0, NDANDA WAFA TENA NYUMBANI, NAMUNGO YAZINDUKA

  PRISONS YAICHAPA SINGIDA UNITED 1-0, NDANDA WAFA TENA NYUMBANI, NAMUNGO YAZINDUKA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TANZANIA Prisons imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania...
  Sunday, November 24, 2019
  SAMATTA AINGIA ’30 BORA’ TUZO YA MWANASOKA BORA, WAMO PIA SALAH, MANE NA MAHREZ

  SAMATTA AINGIA ’30 BORA’ TUZO YA MWANASOKA BORA, WAMO PIA SALAH, MANE NA MAHREZ

  Na Mwandishi Wetu, CAIRO NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amejumuishwa kwenye orodha ya awali ya wachezaji 30 kuwania tuzo ya Mwan...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top