• HABARI MPYA

    Showing posts with label KOMBE LA MAPINDUZI. Show all posts
    Showing posts with label KOMBE LA MAPINDUZI. Show all posts
    Thursday, January 22, 2026
    DODOMA JIJI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 JAMHURI

    DODOMA JIJI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 JAMHURI

    TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwa...
    Tuesday, January 13, 2026
    YANGA WAIZIMA AZAM KWA MATUTA NA KUTWAA KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA WAIZIMA AZAM KWA MATUTA NA KUTWAA KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Yanga SC imefanikiwa kutwaa Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Azam FC kufuatia sare ya bila kufungana ndan...
    Saturday, January 10, 2026
    AZAM FC YAMSAJILI HAALAND WA ZENJI

    AZAM FC YAMSAJILI HAALAND WA ZENJI

    KLABU ya Azam FC imemtambulisha mshambuliaji, Aimar Hafidh Abubakar ‘Haaland’ kutoka Mlandege FC ya Zanzibar.
    Friday, January 09, 2026
    MAXI AIPELEKA YANGA SC FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    MAXI AIPELEKA YANGA SC FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Yanga SC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Singida Black Stars usiku huu Uwanja ...
    Thursday, January 08, 2026
    LAWI AIPELEKA AZAM FC FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    LAWI AIPELEKA AZAM FC FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC usiku huu Uwanja wa New Amaan...
    Tuesday, January 06, 2026
    ECUA AIPELEKA YANGA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    ECUA AIPELEKA YANGA SC NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Yanga SC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TRA United ya Tabora usiku huu U...
    Monday, January 05, 2026
    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    SIMBA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Simba SC imetinga Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Fufuni FC ya Pemba katika mchezo wa mwis...
    MZIZE AANZA MAZOEZI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA TRA KESHO

    MZIZE AANZA MAZOEZI YANGA IKIJIANDAA KUIVAA TRA KESHO

    MSHAMBULIAJI Clement Francis Mzize ameanza mazoezi leo visiwani Zanzibar baada ya kuwa nje tangu Septemba mwaka jana kufuatia kuumia goti. Y...
    AZAM FC YAICHAPA URA 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI

    AZAM FC YAICHAPA URA 2-1 NA KUTINGA NUSU FAINALI MAPINDUZI

    TIMU ya Azam FC imefanikiwa kwenda Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-1 dhid ya URA ya Uganda  jioni ya leo katika mchezo...
    Sunday, January 04, 2026
    YANGA SC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA SC YAANZA VYEMA KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga SC wameanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya KVZ katika mchezo wa Kundi C jioni ya ...
    Saturday, January 03, 2026
    BAJABER AING’ARISHA SIMBA SC KOMBE LA MAPINDUZI

    BAJABER AING’ARISHA SIMBA SC KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Simba SC ya Dar es Salaam imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwembe Makumbi City FC k...
    SINGIDA BLACK STARS YATOA SARE 1-1 NA URA KOMBE LA MAPINDUZI

    SINGIDA BLACK STARS YATOA SARE 1-1 NA URA KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Singida Black Stars imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na URA katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi hapo hapo Uwanja wa N...
    Friday, January 02, 2026
    AZAM FC YAWACHAPA MLANDEGE SC 2-0 KOMBE LA MAPINDUZI

    AZAM FC YAWACHAPA MLANDEGE SC 2-0 KOMBE LA MAPINDUZI

    MABAO ya viungo Zidane Ally Sereri dakika ya tano na Himid Mao Mkami dakika ya 54 yameipa Azam FC ushindi wa 2-0 dhidi ya waliokuwa mabingwa...
    Wednesday, December 31, 2025
    AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS ZATOA SARE 1-1 MAPINDUZI

    AZAM FC NA SINGIDA BLACK STARS ZATOA SARE 1-1 MAPINDUZI

    TIMU za Azam FC na Singida Black Stars zimetoa sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi usiku huu Uwanja wa New...
    MLANDEGE WAVULIWA KOMBE LA MAPINDUZI MAPEMA TU

    MLANDEGE WAVULIWA KOMBE LA MAPINDUZI MAPEMA TU

    TIMU ya Mlandege SC imevuliwa Kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa bao 1-0 na URA ya Uganda katika mchezo wa Kundi A jioni ya leo Uwanja wa ...
    Tuesday, December 30, 2025
    SARE TUPU MECHI ZA JANA KOMBE LA MAPINDUZI

    SARE TUPU MECHI ZA JANA KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU za Fufuni ya Pemba na Mwembe Makumbi City wa Unguja zimegawana pointi baada ya sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kundi B Kombe...
    Sunday, December 28, 2025
    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA MLANDEGE 3-1 MAPINDUZI CUP

    SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA MLANDEGE 3-1 MAPINDUZI CUP

    MABINGWA watetezi, Mlandege SC wameanza vibaya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Singida Black Stars leo Uwanja ...
    Friday, December 19, 2025
    AZAM FC NA SIMBA ZATENGANISHWA MAKUNDI KOMBE LA MAPINDUZI

    AZAM FC NA SIMBA ZATENGANISHWA MAKUNDI KOMBE LA MAPINDUZI

    TIMU ya Azam FC imepangwa Kundi A katika Kombe la Mapinduzi Zanzibar pamoja na mabingwa watetezi, Mlandege SC, Singida Black Stars na URA ya...
    Sunday, December 14, 2025
    Wednesday, April 16, 2025
    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    YANGA NA KVZ, AZAM NA KMKM ROBO FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI

    VIGOGO, Yanga watamenyana na wenyeji, KVZ katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Muungano Aprili 25 kuanzia Saa 2:15 usiku Uwanja wa New ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top