• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 29, 2022
  MOGELLA AKIMTAMBULISHA MOGELLA KWA MALECELA SIMBA SC 1991

  MOGELLA AKIMTAMBULISHA MOGELLA KWA MALECELA SIMBA SC 1991

  NAHODHA wa Simba mwaka 1991, Zamoyoni Mogella akimtambulisha mchezaji mwenzake, Method Mogella (sasa marehemu) kwa Waziri Mkuu na Makamu wa ...
  SIMBA SC KUMCHUKULIA HATUA DEJAN KWA KUVUNJA MKATABA KIBABE

  SIMBA SC KUMCHUKULIA HATUA DEJAN KWA KUVUNJA MKATABA KIBABE

  KLABU ya Simba imesema itamchukulia hatua mshambuliaji wake Mserbia, Dejan Georgejevic kwa kitendo cha kuvunja mkataba kinyume cha utararibu.
  OKRAH APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KIPANGA 3-0

  OKRAH APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA KIPANGA 3-0

  KLABU ya Simba imekamilisha ziara yake ya mechi za kirafiki visiwani Zanzibar kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Kipanga usiku wa Jumatano Uwanja w...
  Jumatano, Septemba 28, 2022
  TANZANIA YAPATA USHINDI WA KWANZA SOKA LA UFUKWENI COSAFA

  TANZANIA YAPATA USHINDI WA KWANZA SOKA LA UFUKWENI COSAFA

  TANZANIA imekaza msuli na kupata ushindi wa kwanza kwenye michuano ya Soka la Ufukweni ya COSAFA baada ya ushindi wa 5-2 dhidi ya Mauritius ...
  IBRAH CLASS ATAMBA KUMCHAPA BONDIA WA MEXICO

  IBRAH CLASS ATAMBA KUMCHAPA BONDIA WA MEXICO

  BONDIA nyota   wa  Tanzania Ibrahim Class  ametamba   kumchapa   mpinzani  wake Gustavo Pina  Melgar kutoka  Mexico  katika   pambano  la  k...
  MSHAMBULIAJI MSERBIA, DEJAN ATANGAZA KUONDOKA SIMBA SC

  MSHAMBULIAJI MSERBIA, DEJAN ATANGAZA KUONDOKA SIMBA SC

  MSHAMBULIAJI Mserbia, Dejan Georgejevic ametangaza kuondoka Simba baada ya kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo. “ Ninathibitisha kwamba Mkataba ...
  TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA LIBYA JIJINI BENGHAZI

  TAIFA STARS YACHAPWA 2-1 NA LIBYA JIJINI BENGHAZI

  TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imechapwa mabao 2-1 na wenyeji, Libya katika mchezo wa kirafiki usiku wa Jumanne Uwanja wa Modern Jij...
  Jumanne, Septemba 27, 2022
  Jumatatu, Septemba 26, 2022
  SHABIKI WA SIMBA, MAN UNITED ASHINDA SH. MILIONI 49.8 ZA 10BET

  SHABIKI WA SIMBA, MAN UNITED ASHINDA SH. MILIONI 49.8 ZA 10BET

  SHABIKI wa klabu ya Simba na timu ya Manchester United Derick Mustafa, ameshinda Sh49.8 milioni baada ya kubashiriki kwa kwa usahihi mechi 1...
  TANZANIA YAENDELEA KUBORONGA SOKA LA UFUKWENI COSAFA

  TANZANIA YAENDELEA KUBORONGA SOKA LA UFUKWENI COSAFA

  TANZANIA imeendelea kufanya vibaya kwenye michuano ya Soka la Ufukweni ya COSAFA baada ya leo kuchapwa mabao 4-3 na Misri katika ufukwe wa S...
  TANZANIA YAITOA SUDAN KUSINI KWA MABAO YA UGENINI AFCON U23

  TANZANIA YAITOA SUDAN KUSINI KWA MABAO YA UGENINI AFCON U23

  TANZANIA imefanikiwa kusonga mbele katika kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 licha...
  Jumapili, Septemba 25, 2022
  SIMBA SC YAICHAPA MALINDI 1-0 MECHI YA KIRAFIKI ZANZIBAR

  SIMBA SC YAICHAPA MALINDI 1-0 MECHI YA KIRAFIKI ZANZIBAR

  BAO pekee la Nassor Kapama dakika ya 13 limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Malindi katika mchezo wa kirafiki Uwanja w...
  TANZANIA YACHAPWA 4-2 NA UGANDA MICHUANO YA COSAFA

  TANZANIA YACHAPWA 4-2 NA UGANDA MICHUANO YA COSAFA

  TANZANIA imechapwa mabao 4-2 na Uganda katika mchezo wa Soka la Ufukweni michuano ya COSAFA inayoendelea katika ufukwe es South Beach Arena ...
  TAIFA STARS YAICHAPA UGANDA 1-0 BAO LA MSUVA

  TAIFA STARS YAICHAPA UGANDA 1-0 BAO LA MSUVA

  BAO pekee la Simon Happygod Msuva dakika ya 28 limeipa Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Uganda katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa usiku ...
  Jumamosi, Septemba 24, 2022
  SERENGETI BOYS YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0 KARATU

  SERENGETI BOYS YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0 KARATU

  TIMU ya taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Sudan Kusini katika mchezo wa kirafiki...
  Ijumaa, Septemba 23, 2022
  TANZANIA YATOA SARE 0-0 NA SUDAN KUSINI CHAMAZI KUFUZU AFCON U23

  TANZANIA YATOA SARE 0-0 NA SUDAN KUSINI CHAMAZI KUFUZU AFCON U23

  TANZANIA imelazimishwa sare ya bila kufungana na Sudan Kusini katika mchezo wa kwanza Raundi ya Awali kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya ...
  Alhamisi, Septemba 22, 2022
  MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU, ARAJIGA KIKAANGONI

  MORRISON AFUNGIWA MECHI TATU, ARAJIGA KIKAANGONI

  WINGA Mghana wa Yanga, Bernard Morrison amefungiwa mechi tatu kwa kumchezea rafu mchezaji wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda katika mechi baina ya...
  MAKOCHA WOTE WA CHAMPIONSHIP WATAKIWA KUWA NA DIPLOMA C YA CAF

  MAKOCHA WOTE WA CHAMPIONSHIP WATAKIWA KUWA NA DIPLOMA C YA CAF

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kimeagiza makocha wote wa timu za Championship wawe na Daraja la Elimu ya Diploma C ya Shirikisho la Soka ...
  Jumatano, Septemba 21, 2022
  GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE NA SINGIDA STARS 1-1 KIRUMBA

  GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE NA SINGIDA STARS 1-1 KIRUMBA

  TIMU ya Geita Gold imelazimishwa sare ya 1-1 na Singida Big Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kiru...
  BODI YAFANYA TENA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU

  BODI YAFANYA TENA MABADILIKO YA RATIBA LIGI KUU

  BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya marekebisho madogo ya ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuipa nafasi timu ya taifa katika mechi zak...
  Jumanne, Septemba 20, 2022
  KMC YAICHAPA IHEFU SC 2-1 UWANJA WA UHURU

  KMC YAICHAPA IHEFU SC 2-1 UWANJA WA UHURU

  WENYEJI, KMC wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Da...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top