• HABARI MPYA

  Saturday, December 31, 2022
  AZAM FC YAMALIZA MWAKA NA USHINDI WA 6-1 DHIDI YA MBEYA CITY

  AZAM FC YAMALIZA MWAKA NA USHINDI WA 6-1 DHIDI YA MBEYA CITY

  WENYEJI, Azam FC wamefunga mwaka kwa kishindo baada ya kuwatandika Mbeya City mabao 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanj...
  YANGA YAMALIZA MWAKA KWA USHINDI WA 1-0 MANUNGU

  YANGA YAMALIZA MWAKA KWA USHINDI WA 1-0 MANUNGU

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wameuga mwaka 2022 kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara...
  BODI YAFANYA MAREKEBISHO RATIBA LIGI KUU KUPISHA MAPINDUZI CUP

  BODI YAFANYA MAREKEBISHO RATIBA LIGI KUU KUPISHA MAPINDUZI CUP

  BODI ya Ligi imefanya marekebisho maalum ya ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza ...
  DODOMA JIJI YAWACHAPA KAGERA SUGAR 2-0

  DODOMA JIJI YAWACHAPA KAGERA SUGAR 2-0

  WENYEJI, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Ijumaa ...
  Friday, December 30, 2022
  BOCCO NA NTIBANZOKIZA WAPIGA HAT TRICK SIMBA YAITANDIKA PRISONS 7-1

  BOCCO NA NTIBANZOKIZA WAPIGA HAT TRICK SIMBA YAITANDIKA PRISONS 7-1

  WENYEJI, Simba SC wamefunga mwaka vizuri baada ya ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ...
  SINGIDA STARS YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 LITI

  SINGIDA STARS YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 LITI

  WENYEJI, Singida Big Stars wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LI...
  Thursday, December 29, 2022
  Wednesday, December 28, 2022
  MAN UNITED YAIBAMIZA NOTTINGHAM FOREST 3-0 OLD TRAFFORD

  MAN UNITED YAIBAMIZA NOTTINGHAM FOREST 3-0 OLD TRAFFORD

  WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Nottingham Forest katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana U...
  Tuesday, December 27, 2022
  SINGIDA BIG STARS YAWAPIGA DODOMA JIJI 1-0 PALE PALE JAMHURI

  SINGIDA BIG STARS YAWAPIGA DODOMA JIJI 1-0 PALE PALE JAMHURI

  BAO pekee la nyota Mbrazil, Bruno Gomes dakika ya 80 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo...
  Monday, December 26, 2022
  POLISI TANZANIA YATOA SARE 3-3 NA COASTAL MOSHI

  POLISI TANZANIA YATOA SARE 3-3 NA COASTAL MOSHI

  WENYEJI, Polisi Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 3-3 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja w...
  Sunday, December 25, 2022
  'NO FEISAL, NO PROBLEM' JANGWANI, YANGA YAICHAPA AZAM FC 3-2

  'NO FEISAL, NO PROBLEM' JANGWANI, YANGA YAICHAPA AZAM FC 3-2

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wameonyesha wanaweza kuendelea kufanya vizuri bila kiungo Feisal Salum Abdallah aliyesusa akishinikiza kuondoka ...
  KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA GEITA GOLD KAITABA

  KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA GEITA GOLD KAITABA

  WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya 2-2 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukob...
  PRISONS YAICHAPA MBEYA CITY 2-1 SOKOINE

  PRISONS YAICHAPA MBEYA CITY 2-1 SOKOINE

  TIMU ya Tanzania Prisons imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Mbeya City leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Mab...
  Saturday, December 24, 2022
  BUSWITA APIGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA RUVU 1-0

  BUSWITA APIGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA RUVU 1-0

  BAO pekee la kiungo Pius Buswita dakika ya 42 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzani...
  IHEFU SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-1 MBARALI

  IHEFU SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-1 MBARALI

  WENYEJI, Ihefu SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland ...
  Friday, December 23, 2022
  SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 1-1

  SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 1-1

  TIMU za Simba Queens na Yanga Princess zimegawana pointi katika mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es S...
  Wednesday, December 21, 2022
  SIMBA SC YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 KAITABA

  SIMBA SC YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 KAITABA

  WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa K...
  GEITA GOLD YATOA SARE 1-1 NA AZAM FC NYANKUMBU

  GEITA GOLD YATOA SARE 1-1 NA AZAM FC NYANKUMBU

  WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu ...
  PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SOKOINE

  PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SOKOINE

  WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja w...
  NAMUNGO FC YAICHAPA IHEFU SC 2-0 MAJALIWA

  NAMUNGO FC YAICHAPA IHEFU SC 2-0 MAJALIWA

  WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Jumanne Uwanja wa Maj...
  Tuesday, December 20, 2022
  MAYELE APIGA MBILI YANGA YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 DAR

  MAYELE APIGA MBILI YANGA YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 DAR

  MSHAMBULIAJI Mkongo, Fiston Kalala Mayele amefunga mabao mawili kuiwezesha Yanga SC kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union ya Tan...
  RUVU SHOOTING NA MTIBWA SUGAR ZATOKA 0-0 UHURU

  RUVU SHOOTING NA MTIBWA SUGAR ZATOKA 0-0 UHURU

  TIMU za Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting zimegawana pointi baada ya sare ya bila kufungana leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Kwa sare ...
  Sunday, December 18, 2022
  SIMBA SC YAITANDIKA GEITA GOLD 5-0 KIRUMBA

  SIMBA SC YAITANDIKA GEITA GOLD 5-0 KIRUMBA

  VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya wenyeji, Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa CC...
  DODOMA JIJI YAWAPIGA MBEYA CITY 2-1 PALE PALE SOKOINE

  DODOMA JIJI YAWAPIGA MBEYA CITY 2-1 PALE PALE SOKOINE

  TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sok...
  Saturday, December 17, 2022
  YANGA SC YAITANDIKA POLISI 3-0 NA 'KUTANUA KIFUA' KILELENI

  YANGA SC YAITANDIKA POLISI 3-0 NA 'KUTANUA KIFUA' KILELENI

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanj...
  SINGIDA STARS YAICHAPA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE

  SINGIDA STARS YAICHAPA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE

  TIMU ya Singida Big Stars imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwan...
  KAGERA SUGAR YATOA SARE 2-2 NA AZAM FC KAITABA

  KAGERA SUGAR YATOA SARE 2-2 NA AZAM FC KAITABA

  WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya 2-2 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. ...
  MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA NAMUNGO MANUNGU

  MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA NAMUNGO MANUNGU

  WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manun...
  Thursday, December 15, 2022
  SIMBA, YANGA NA AZAM ZATENGANISHWA KOMBE LA MAPINDUZI

  SIMBA, YANGA NA AZAM ZATENGANISHWA KOMBE LA MAPINDUZI

  MABINGWA watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi C pamoja na Mlandege na KVZ katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Januari ...
  UFARANSA YAIFUATA ARGENTINA FAINALI KOMBE LA DUNIA

  UFARANSA YAIFUATA ARGENTINA FAINALI KOMBE LA DUNIA

  MABINGWA watetezi, Ufaransa wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Morocco jana Uwanja wa Al Bayt mj...
  Wednesday, December 14, 2022
  ARGENTINA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA

  ARGENTINA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA

  TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Croatia jana Uwanja wa Lusail ...
  Tuesday, December 13, 2022
  TIMU 32 ZILIZOSALIA MICHUANO YA AZAM FEDERATION CUP

  TIMU 32 ZILIZOSALIA MICHUANO YA AZAM FEDERATION CUP

  HIZI ndizo timu zilizofuzu Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
  Monday, December 12, 2022
  Sunday, December 11, 2022
  YANGA NAYO YASHINDA 8-0 NA KUSONGA MBELE ASFC

  YANGA NAYO YASHINDA 8-0 NA KUSONGA MBELE ASFC

  MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Feder...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top