• HABARI MPYA

  Tuesday, May 17, 2022

  ARSENAL YACHAPWA 2-0 NA NEWCASTLE ST JAMES’ PARK


  WENYEJI, Newcastle United wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Champions League bid in a buoyant 2-0 St James' Park, Newcastle upon Tyne.
  Mabao ya Newcastle United yamefungwa na Ben White aliyejifunga dakika ya 55 na Bruno Guimarães dakika ya 85 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 46 katika mchezo wa 37 na kusogea nafasi ya 12.
  Arsenal baada ya kipigo hicho wanabaki na pointi zao 66 za mechi 37 sasa nafasi ya tano, wakizidi kupoteza matumaini ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YACHAPWA 2-0 NA NEWCASTLE ST JAMES’ PARK Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top