• HABARI MPYA

  Friday, December 22, 2023

  MECHI SABA ZA LIGI KUU ZAAHIRISHWA KUPISHA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZÍBAR


  MECHI saba za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara zinazozihusu Azam FC, Simba SC na Yanga SC zimeahirishwa ili 
  kupisha mchezo wa kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) na Timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) utakaopigwa Desemba 27, 2023 pamoja na maandalizi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea fainali za AFCON 2023.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MECHI SABA ZA LIGI KUU ZAAHIRISHWA KUPISHA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZÍBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top