• HABARI MPYA

  Tuesday, December 26, 2023

  WANACHAMA SIMBA WAPEWA HADI DESEMBA 31 MAONI YA KATIBA


  UONGOZI wa Simba umewahamasisha wanachama wake kuwa wamemaliza kutoa maoni yao juu ya marekebisho ya Katiba ya klabu hiyo hadi kufika Desemba 31, mwaka huu ili mchakato huo uweze kukamilishwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WANACHAMA SIMBA WAPEWA HADI DESEMBA 31 MAONI YA KATIBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top