• HABARI MPYA

    Showing posts with label MASHUJAA FC. Show all posts
    Showing posts with label MASHUJAA FC. Show all posts
    Tuesday, June 16, 2026
    VIUNGO WA MAGHARIBI WAFUNGA AZAM FC YAIGARAGAZA MASHUJAA 2-0 CHAMAZI

    VIUNGO WA MAGHARIBI WAFUNGA AZAM FC YAIGARAGAZA MASHUJAA 2-0 CHAMAZI

    TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku wa leo Uwanja wa ...
    Saturday, June 13, 2026
    YANGA SC YAMEREMETA UGENINI LIGI KUU, YAILAZA MASHUJAA 2-0 KIGOMA

    YANGA SC YAMEREMETA UGENINI LIGI KUU, YAILAZA MASHUJAA 2-0 KIGOMA

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara j...
    Sunday, May 24, 2026
    COASTAL UNION YAICHAPA MASHUJAA FC BAO 1-0 MKWAKWANI

    COASTAL UNION YAICHAPA MASHUJAA FC BAO 1-0 MKWAKWANI

    TIMU ya Coastal Union imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa...
    Wednesday, May 20, 2026
    DODOMA JIJI YAAMBULIA SARE KWA MASHUJAA FC, 1-1 JAMHURI

    DODOMA JIJI YAAMBULIA SARE KWA MASHUJAA FC, 1-1 JAMHURI

    TIMU ya Dodoma Jiji Fc imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mashujaa FC usiku huu katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliof...
    Thursday, May 14, 2026
    CHAMA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA MASHUJAA FC 3-0 PALE PALE KIGOMA

    CHAMA APIGA MBILI SIMBA YAICHAPA MASHUJAA FC 3-0 PALE PALE KIGOMA

    VIGOGO, Simba SC wamefufua matumaini ya ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wenyeji, Mashujaa FC...
    Friday, May 08, 2026
    NAMUNGO FC YAAMBULIA SULUHU 0-0 NA MASHUJAA RUANGWA

    NAMUNGO FC YAAMBULIA SULUHU 0-0 NA MASHUJAA RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya bila mabao na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Maja...
    Monday, May 04, 2026
     MASHUJAA YAICHAPA TRA UNITED YA CHOBWEDO 1-0 KIGOMA

    MASHUJAA YAICHAPA TRA UNITED YA CHOBWEDO 1-0 KIGOMA

    TIMU ya Mashujaa United imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TRA United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana wa leo Uwan...
    Thursday, April 30, 2026
    MBEYA CITY NA MASHUJAA FC HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SOKOINE

    MBEYA CITY NA MASHUJAA FC HAKUNA MBABE, SARE 1-1 SOKOINE

    TIMU ya Mbeya City imelazimishwa sare ya bila mabao na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sok...
    Thursday, April 16, 2026
    MASHUJAA YATOA SARE NA SINGIDA BLACK STARS 1-1 KIGOMA

    MASHUJAA YATOA SARE NA SINGIDA BLACK STARS 1-1 KIGOMA

    TIMU ya Mashujaa FC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya l...
    Friday, April 10, 2026
    Saturday, April 04, 2026
    MASHUJAA YABANWA NYUMBANI, YATOKA SULUHU NA PAMBA KIGOMA

    MASHUJAA YABANWA NYUMBANI, YATOKA SULUHU NA PAMBA KIGOMA

    TIMU ya Mashujaa imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Pamba Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni hii Uwanja wa...
    Thursday, March 19, 2026
    AZAM FC YAAMBULIA SULUHU KWA MASHUJAA, 0-0 KIGOMA

    AZAM FC YAAMBULIA SULUHU KWA MASHUJAA, 0-0 KIGOMA

    TIMU ya Azam FC imetoa sare ya 0-0 na wenyeji Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Lake Tangany...
    Friday, March 13, 2026
    FOUNTAIN GATE YACHOMOA DAKIKA YA MWISHO, SARE 1-1 NA MASHUJAA KIGOMA

    FOUNTAIN GATE YACHOMOA DAKIKA YA MWISHO, SARE 1-1 NA MASHUJAA KIGOMA

    TIMU ya Mashujaa FC imelazimishwa sare ya kudungana bao 1-1 na Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni hii Uwanja...
    Friday, February 13, 2026
    MASHUJAA YAZINDUKA CHINI YA JULIO, YAICHAPA MTIBWA 3-1 DODOMA

    MASHUJAA YAZINDUKA CHINI YA JULIO, YAICHAPA MTIBWA 3-1 DODOMA

    IKIONGOZWA na Kocha mpya kwa mara ya kwanza, Jamhuri Kihwelo 'Julio' timu ya Mashujaa FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya M...
    Monday, February 09, 2026
    JKT TANZANIA YAWACHAPA MASHUJAA FC 1-0 MBWENI

    JKT TANZANIA YAWACHAPA MASHUJAA FC 1-0 MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    Friday, February 06, 2026
    TANZANIA PRISONS YAAMBULIA SULUHU KWA MASHUJAA SOKOINE

    TANZANIA PRISONS YAAMBULIA SULUHU KWA MASHUJAA SOKOINE

    WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bila mabao na Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
    Tuesday, February 03, 2026
    KMC FC YAICHAPA MASHUJAA 1-0 RUANGWA BAO LA SALIBOKO

    KMC FC YAICHAPA MASHUJAA 1-0 RUANGWA BAO LA SALIBOKO

    TIMU ya KMC FC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku hui Uwanja wa Majali...
    Thursday, January 29, 2026
    SIMBA SC YAICHAPA MASHUJAA FC 2-0 UWANJA WA MEJA ISAMUHYO

    SIMBA SC YAICHAPA MASHUJAA FC 2-0 UWANJA WA MEJA ISAMUHYO

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo...
    Monday, January 19, 2026
    DEPU AANZA VYEMA YANGA SC IKISHINDA 6-0 MWENGE

    DEPU AANZA VYEMA YANGA SC IKISHINDA 6-0 MWENGE

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya l...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top