• HABARI MPYA

  Friday, July 31, 2020
  KIUNGO WA KAGERA SUGAR, ZAWADI PETER MAUYA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA

  KIUNGO WA KAGERA SUGAR, ZAWADI PETER MAUYA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA

  Kiungo Zawadi Peter Mauya (katikati) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Peter Simon (kulia) na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano...
  AKINA MSUVA WALAZIMISHWA SARE YA PILI MFULULIZO YA BILA KUFUNGANA LIGI KUU YA MOROCCO

  AKINA MSUVA WALAZIMISHWA SARE YA PILI MFULULIZO YA BILA KUFUNGANA LIGI KUU YA MOROCCO

  Na Mwandishi Wetu, MAZGHAN KUINGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana kwa mara nyingine alishindwa kuisaidia ...
  Thursday, July 30, 2020
  MAREFA WATANO KUCHEZESHA FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP SUMBAWANGA JUMAPILI

  MAREFA WATANO KUCHEZESHA FAINALI YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP SUMBAWANGA JUMAPILI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kwa pamoja na Bodi ya Ligi wametaja marefa watakaochezesha Fainali ya A...
  Wednesday, July 29, 2020
  IHEFU YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA MBAO FC 2-0, MBEYA CITY YAJIWEKA NJIA PANDA

  IHEFU YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA MBAO FC 2-0, MBEYA CITY YAJIWEKA NJIA PANDA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Ihefu FC imebisha hodi Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabo FC ya Mwan...
  Tuesday, July 28, 2020
  CLATOUS CHAMA NA FEISAL SALUM WA YANGA SC WASHINDA TUZO YA MACHEZAJI BORA WA MSIMU SPORTPESA

  CLATOUS CHAMA NA FEISAL SALUM WA YANGA SC WASHINDA TUZO YA MACHEZAJI BORA WA MSIMU SPORTPESA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIUNGO, Mzambia Clatous Chama wa Simba SC na Feisal Salum wa Yanga SC wameshinda tuzo za Machezaji Bora w...
  Monday, July 27, 2020
  Sunday, July 26, 2020
  SAMATTA AINUSURU ASTON VILLA KUSHUKA DARAJA BAADA YA SARE YA 1-1 NA WEST HAM UNITED

  SAMATTA AINUSURU ASTON VILLA KUSHUKA DARAJA BAADA YA SARE YA 1-1 NA WEST HAM UNITED

  Na Mwandishi Wetu, LONDON MSHAMBULIAJI wa kimatiafa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa sehemu ya kikosi cha Aston Villa kilichoinusu...
  YANGA SC YAICHAPA LIPULI FC 1-0 SAMORA NA KUMALIZA KATIKA NAFASI YA PILI LIGI KUU TZ BARA7

  YANGA SC YAICHAPA LIPULI FC 1-0 SAMORA NA KUMALIZA KATIKA NAFASI YA PILI LIGI KUU TZ BARA7

  Na Mwandishi Wetu, IRINGA VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada y...
  KAPTENI BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 UWANJA WA USHIRIKA

  KAPTENI BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 UWANJA WA USHIRIKA

  Na Mwandishi Wetu, MOSHI MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC wamemaliza kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Polisi Tanzania Uwanja wa Ush...
  ALLIANCE FC, NDANDA SC, LIPULI FC ZAUNGANA NA SINGIDA UNITED KUSHUKA DARAJA LIGI KUU

  ALLIANCE FC, NDANDA SC, LIPULI FC ZAUNGANA NA SINGIDA UNITED KUSHUKA DARAJA LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, MWANZA TIMU za Alliance FC ya Mwanza, Ndanda SC ya Mtwara na Lipuli FC ya Iringa zimeungana na Singida United kushuka d...
  Saturday, July 25, 2020
  Friday, July 24, 2020
  Thursday, July 23, 2020
  DOMAYO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU

  DOMAYO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBEYA CITY 1-0 NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO pekee la kiungo Frank Raymond Domayo dakika ya 70 limetosha kuipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbe...
  SERGE WAWA PASCAL ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU SIMBA SC YATOKA SULUHU NA COASTAL UNION MKWAKWANI

  SERGE WAWA PASCAL ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU SIMBA SC YATOKA SULUHU NA COASTAL UNION MKWAKWANI

  Na Mwandishi Wetu, TANGA PAMOJA na kucheza pungufu kwa robo saa yote ya mwisho ya mchezo, lakini mabingwa, Simba SC wamefanikiwa kulazimis...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top