• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 31, 2018
  KWA MWEZI MMOJA TU, WANAYANGA WAICHANGIA TIMU YAO SH. MILIONI 30 KARIBU

  KWA MWEZI MMOJA TU, WANAYANGA WAICHANGIA TIMU YAO SH. MILIONI 30 KARIBU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM JUMLA ya Sh 29,316,092 zimepatika kutokana na michango ya wapenzi na wanachama wa Yanga kwa klabu yao kat...
  AKINA SAMATTA WAPEWA KUNDI JEPESI EUROPA LEAGUE…TIMU TISHIO KWAO NI BESIKTAS YA UTURUKI

  AKINA SAMATTA WAPEWA KUNDI JEPESI EUROPA LEAGUE…TIMU TISHIO KWAO NI BESIKTAS YA UTURUKI

  Na Mwandishi Wetu, MONACO MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa na kazi nyepesi katika Europa League baada ya timu yake, KRC Ge...
  AMUNIKE AWASAMEHE WACHEZAJI SIMBA SC LAKINI AKATAA KUWAREJESHA KAMBINI MECHI NA UGANDA

  AMUNIKE AWASAMEHE WACHEZAJI SIMBA SC LAKINI AKATAA KUWAREJESHA KAMBINI MECHI NA UGANDA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mnigeria, Emmanuel Amunike amekataa kuware...
  UEFA KUANZISHA MASHINDANO YA TATU YA KLABU ULAYA

  UEFA KUANZISHA MASHINDANO YA TATU YA KLABU ULAYA

  SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) limethibitisha kuwa katika mchakato wa kuanzisha mashindano mapya ya klabu, ambayo yatakuwa ya tatu baada y...
  CHELSEA NA LIVERPOOL KUKUTANA RAUNDI YA TATU CARABAO CUP

  CHELSEA NA LIVERPOOL KUKUTANA RAUNDI YA TATU CARABAO CUP

  Liverpool na Chelsea zitamenyana katika Raundi ya Tatu ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup  PICHA ZAIDI GONGA HAPA   RA...
  SAMATTA AFUNGA TENA GENK IKIWAPA WAPINZANI 4-2 NYUMBANI KWAO NA KUINGIA MAKUNDI EUROPA LEAGUE

  SAMATTA AFUNGA TENA GENK IKIWAPA WAPINZANI 4-2 NYUMBANI KWAO NA KUINGIA MAKUNDI EUROPA LEAGUE

  Na Mwandishi Wetu, BRONDBY  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekamilisha mchango mzuri kwa timu yake, KRC Genk ...
  Alhamisi, Agosti 30, 2018
  LUCA MODRIC NDIYE MFALME MPYA WA SOKA ULAYA

  LUCA MODRIC NDIYE MFALME MPYA WA SOKA ULAYA

  Luka Modric ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kiume wa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA)   PICHA ZAIDI GONGA HAPA   WASHINDI WA TUZO ...
  RONALDO USO KWA USO NA MOURINHO MAN UNITED

  RONALDO USO KWA USO NA MOURINHO MAN UNITED

  MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo atarejea Old Trafford baada ya Manchester United kupangwa Kundi H pamoja na mabingwa wa Italia, ...
  SOUTHGATE AMTEMA YOUNG, AMCHUKUA LUKE SHAW ENGLAND

  SOUTHGATE AMTEMA YOUNG, AMCHUKUA LUKE SHAW ENGLAND

  KOCHA Gareth Southgate amemuita kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England, Luke Shaw chenye chipukizi wengi zaidi, akijumuisha wachezaji 1...
  ATHUMANI CHINA AUNGA MKONO AKINA KAPOMBE KUFUKUZWA TAIFA STARS…LAKINI AMTOLEA UVIVU RAIS KARIA

  ATHUMANI CHINA AUNGA MKONO AKINA KAPOMBE KUFUKUZWA TAIFA STARS…LAKINI AMTOLEA UVIVU RAIS KARIA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KIUNGO wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Athumani Abdallah ‘China’ ameunga mkono kitendo cha kocha wa ...
  TIMU YA BANDA YAVUNA POINTI TANO KATIKA MECHI TANO ZA MWANZO LIGI KUU YA AFRIKA KUSINI

  TIMU YA BANDA YAVUNA POINTI TANO KATIKA MECHI TANO ZA MWANZO LIGI KUU YA AFRIKA KUSINI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda na wachezaji wenzake wa Baroka FC wana kazi ya kufanya, kwani h...
  GHARAMA ZA KUWAONDOA WACHEZAJI WA SIMBA TAIFA STARS NI KUBWA KULIKO AJUAVYO KIDAU

  GHARAMA ZA KUWAONDOA WACHEZAJI WA SIMBA TAIFA STARS NI KUBWA KULIKO AJUAVYO KIDAU

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limechukua maamuzi magumu baada ya jana kuamua kuwaondoa wachezaji sab...
  MIKONO SALAMA KULINDA LANGO LA BESIKTAS, LAKINI SI LIVERPOOL

  MIKONO SALAMA KULINDA LANGO LA BESIKTAS, LAKINI SI LIVERPOOL

  Kipa Loris Karius akinyoosha miko yake wakati wa utambulisho wake kwenye klabu yake mpya, Besiktas mjini Istanbul jana kufuatia kukamilis...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top