• HABARI MPYA

  Sunday, December 24, 2023

  SALAH AISAWAZISHIA LIVERPOOL YAPATA SARE 1-1 NA ARSENAL ANFIELD


  WENYEJI, Liverpool FC jana walitoka nyuma na kupata sare ya kufungana bao 1-1 na Arsenal FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa, Anfield Jijini Liverpool.
  Washika Bunduki wa London walitangulia na bao la Gabriel Magalhães dakika ya 14, kabla ya Mohamed Salah kuisawazishia Liverpool dakika ya 29.
  Kwa matokeo hayo, Arsenal inafikisha pointi 40 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi moja zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 18.
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AISAWAZISHIA LIVERPOOL YAPATA SARE 1-1 NA ARSENAL ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top