• HABARI MPYA

  Thursday, December 28, 2023

  AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA COLOMBIA


  KLABU ya Azam FC imemtambulisha mshambuliaji Franklin Navarro (24) iliyemsajili kutoka Cortuluá  FC ya Daraja la Pili nchini kwao, Colombia.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC YASAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA COLOMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top