HABARI ZA NYUMBANI MAREFA WA ZAMBIA WAITUPA NJE AZAM FC LIGI YA MABINGWA Saturday, February 28, 2015 AAZAM FC imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kufungwa mabao 3-0 na El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa marudiano wa Ra... Saturday, February 28, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI COASTAL YAIPIGA 1-0 MGAMBO, MVUA YAVUNJA MECHI YA STAND UTD NA KAGERA KAMBARAGE Saturday, February 28, 2015 BAO pekee la Mganda Yayo Kato Lutimba limeipa ushindi wa 1-0 Coastal Union dhidi ya Mgambo JKT jioni ya leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Mg... Saturday, February 28, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA ULAYA SUAREZ AENDELEZA MOTO WA MABAO BARCA IKIPIGA MTU 3-1 LA LIGA Saturday, February 28, 2015 TIMU ya Barcelona imeifunga Granada mabao 3-1 katika La Liga jioni ya leo na kupunguza pengo la pointi dhidi ya vinara Real Madrid hadi k... Saturday, February 28, 2015 HABARI ZA ULAYA
HABARI ZA ULAYA ROONEY AWAPA RAHA MAN UNITED, APIGA ZOTE MBILI ‘SHETANI’ LIKIUA 2-0 OLD TRAFFORD Saturday, February 28, 2015 TIMU ya Manchester United imeifunga Sunderland mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Ikio... Saturday, February 28, 2015 HABARI ZA ULAYA
HABARI ZA NYUMBANI SIMBA SC YAFANYA MAUWAJI HAIJATOKEA MSIMU HUU, YAITANDIKA PRISONS 5-0 TAIFA Saturday, February 28, 2015 Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imezinduka kutoka kwenye kipigo cha 1-0 cha Stand United wiki iliyopita mjini na Shinyanga na j... Saturday, February 28, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
SANAA NA BURUDANI KAPTENI JOHN KOMBA ALIYEIMBA 'MGENI' AFARIKI DUNIA Saturday, February 28, 2015 MBUNGE wa Mbinga Magharibi na mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) Kapten John Komba amefariki dunia muda huu. Katibu mipango wa TOT... Saturday, February 28, 2015 SANAA NA BURUDANI
HABARI ZA NYUMBANI SIMBA SC KAZI WANAYO KWA PRISONS LEO TAIFA Saturday, February 28, 2015 Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa nyasi za viwanja vinne kuwaka moto kwa mi... Saturday, February 28, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI AZAM KATIKA VITA KWELI SUDAN MBELE YA EL MERREIKH LEO Saturday, February 28, 2015 Na Mwandishi Wetu, KHARTOUM MABINGWA wa Tanzania Bara, Azam FC leo watakuwa katika mtihani mzito mjini Khartoum, Sudan wakati watakapomeny... Saturday, February 28, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI NGASSA AIPAISHA YANGA SC MICHUANO YA AFRIKA, YASONGA MBELE LICHA YA KUPIGWA 2-1 Friday, February 27, 2015 Na Mwandishi Wetu, GABORONE BAO la Mrisho Khalfan Ngassa limeipeleka Yanga SC Raundi ya Kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kui... Friday, February 27, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI NGASSA, MRWANDA NA TAMBWE WAANZISHWA PAMOJA DHIDI YA BDF LEO, SALUM TELELA ‘MASTER’ ATUPWA BENCHI Friday, February 27, 2015 Na Mwandishi Wetu, GABORONE KOCHA Mholanzi, Hans van der Pluijm amewaanzisha kwa pamoja Mrisho Ngassa, Amissi Tambwe, Simon Msuva na Danny... Friday, February 27, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA ULAYA MCHEZAJI SERBIA ATISHIWA KUUAWA KWA MTUTU WA BUNDUKI KISA KUKOSA PENALTI Friday, February 27, 2015 MCHEZAJI wa klabu ya Ligi Kuu ya Serbia, Novi Pazar ametishiwa kupigwa bastola na mashabiki baada ya kukosa penalti, taarifa ya chama cha ... Friday, February 27, 2015 HABARI ZA ULAYA
HABARI PICHA WAZIRI WA KIKWETE ATUA SUDAN KUIPA ULINZI AZAM FC Friday, February 27, 2015 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo, Alhaj Juma Nkamia (kushoto) akizungumza na wachezaji wa Azam FC mazoezini Uwanja wa ... Friday, February 27, 2015 HABARI PICHA
HABARI PICHA VIGOGO YANGA SC WAZIDI KUMIMINIKA GABORONE Friday, February 27, 2015 Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mussa Katabaro akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam alf... Friday, February 27, 2015 HABARI PICHA
HABARI ZA NYUMBANI PLUIJM AWAPA UHAKIKA YANGA SC WANALING’OA JESHI LA BOTSWANA AFRIKA Friday, February 27, 2015 Na Mwandishi Wetu, GABORONE KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm amewatoa hofu wapenzi wa timu hiyo kuelekea mchezo wa leo... Friday, February 27, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA ULAYA INTER MILAN NAYO YASONGA MBELE EUROPA LEAGUE Friday, February 27, 2015 Van Dijk wa Celtic akigombea mpira na mshambuliaji wa Inter Milan, Mauro Icardi katika mchezo wa Europa League usiku huu mjini Milan... Friday, February 27, 2015 HABARI ZA ULAYA
HABARI ZA ULAYA MCHEZAJI WA CHELSEA AIADHIBU SPURS NA KUITUPA NJE ULAYA Friday, February 27, 2015 +23 Mshambuliaji wa Chelsea, Mohammed Salah anayecheza kwa mkopo Fiorentina ya Italia, akishangilia baada ya kuifungia timu... Friday, February 27, 2015 HABARI ZA ULAYA
HABARI ZA ULAYA LIVERPOOL YATUPWA NJE YA MICHUANO YA ULAYA Friday, February 27, 2015 LIVERPOOL imetupwa nje ya michuano ya Europa League, baada ya kufungwa kwa penalti 5-4 na Besiktas kufuatia sare ya jula ya 1-1. Tolgay... Friday, February 27, 2015 HABARI ZA ULAYA
HABARI ZA NYUMBANI POLISI ZENJI YAAHIDI MAAJABU KOMBE LA SHIRIKISHO, YAPANIA KUPIGA WAGABON 6-0 Thursday, February 26, 2015 Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LICHA ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa Michuano ya Kombe la Shrikisho Barani Afrika dhidi ya CF Mouna... Thursday, February 26, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI KAGERA SUGAR WAINYIMA AMANI STAND UNITED NYUMBANI KWAO Thursday, February 26, 2015 Na Princess Asia, DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu wa Stand United ya Shinyanga, Mathias Lule ni kama ameanza kuwahofia wapinzani wake Kagera Suga... Thursday, February 26, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI STARS YAPANGWA NA ZIMBABWE KUWANIA ROBO FAINALI KOMBE LA CASTLE Thursday, February 26, 2015 Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imepangwa pamoja na Namibia, Lesotho na Zimbabwe katika ... Thursday, February 26, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI YANGA SC YAMTIMUA MWANAJESHI WA BOTSWANA ALIYEVAMIA KAMBI YAO Thursday, February 26, 2015 Na Mwandishi Wetu, GABORONE KLABU ya Yanga imefanikiwa kumnasa mmoja wa mashushu wa wapinzani wao BDF ya Botswana baada ya kumbaini mmoja ... Thursday, February 26, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI WAGANDA 26 WAHAMIA LIGI KUU KENYA KUUMIZA NYASI Thursday, February 26, 2015 Baadhi ya wachezaji wa Uganda wanaocheza Kenya, kutoka kushoto Aziz Kemba, Matthew Odongo, Ali Kimera, Hamza Muwonge ORODHA YA WA... Thursday, February 26, 2015 HABARI ZA AFRIKA MASHARIKI
SANAA NA BURUDANI JAHAZI MODERN TAARAB NA MASHAUZI CLASSIC JUKWAA MOJA MACHI 22 Thursday, February 26, 2015 HATIMAYE makundi mawili yanayoaminika kuwa na mashabiki wengi zaidi katika taarab, Jahazi Modern Taarab na Mashauzi Classic yatafanya ony... Thursday, February 26, 2015 SANAA NA BURUDANI
HABARI ZA NYUMBANI AZAM TV ‘KURUSHA LIVE’ MECHI YANGA NA BDF BOTSWANA KESHO Thursday, February 26, 2015 Rhys Torrington (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Azam Media Group Limited, Yussuf Bakhresa (kushoto) TELEVISHENI ya kisasa ya kulipia kwa... Thursday, February 26, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI PICHA YANGA SC WALIVYOUJARIBU UWANJA AMBAO KESHO WATAWANIA TIKETI YA KUSONGA MBELE AFRIKA Thursday, February 26, 2015 Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Lobatse nchini Botswana jioni ya leo ambao utatumika kwa ajili ya mechi ya kesho... Thursday, February 26, 2015 HABARI PICHA
HABARI ZA NYUMBANI TAIFA STARS KUSHIRIKI KOMBE LA COSAFA Thursday, February 26, 2015 Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM TIMU ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrik... Thursday, February 26, 2015 HABARI ZA NYUMBANI
HABARI ZA NYUMBANI TFF YAZITILIA UBANI AZAM, YANGA, KMKM NA POLISI MICHUANO YA AFRIKA Thursday, February 26, 2015 Na Baraka Kizuguto, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limezitakia kila la kheri na ushindi timu za Azam na Yanga SC katika ... Thursday, February 26, 2015 HABARI ZA NYUMBANI