// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LIVERPOOL YAITANDIKA LASK 4-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LIVERPOOL YAITANDIKA LASK 4-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Friday, December 01, 2023

  LIVERPOOL YAITANDIKA LASK 4-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE


  WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya LASK ya Austria katika mchezo wa Kundi E  UEFA Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Anfield Jijini Liverpool, England.
  Mabao ya Liverpool yamefungwa na 
  Luis Diaz dakika ya 12, Cody Gakpo mawili, dakika ya 15 na 90 na ushei na Mohamed Salah dakika ya 51 kwa penalti.
  Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 12 na kufuzu Hatua ya 16 Bora ya UEFA Europa League mbele ya Toulouse ya Ufaransa yenye pointi nane, Royal Union St-Gilloise ya Ubelgiji yenye pointi tano na LASK pointi tatu baada ya mechi tano kwa wote kuelekea mechi za mwisho.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAITANDIKA LASK 4-0 NA KUSONGA MBELE EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top