• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 31, 2016
  'MCHEZAJI MPYA' WA MAN UNITED ATEMWA KIKOSI CHA HISPANIA EURO 2016

  'MCHEZAJI MPYA' WA MAN UNITED ATEMWA KIKOSI CHA HISPANIA EURO 2016

  KIUNGO wa Atletico Madrid, Saul Niguez, anayetakiwa kwa dau la Pauni Milioni 54 na kocha Jose Mourinho wa Manchester United, hajajumuishwa...
  RASHFORD APEWA 'SITI' KIKOSI CHA MWISHO ENGLAND EURO 2016

  RASHFORD APEWA 'SITI' KIKOSI CHA MWISHO ENGLAND EURO 2016

  KOCHA Roy Hodgson ametaja kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya fainali za Euro 2016  akimjumuisha Marcus Rashford pamoja na Daniel Sturrid...
  HANS POPPE: HAJAACHWA JUUKO WALA KIIZA, WA KIGENI WOTE BADO WACHEZAJI WA SIMBA

  HANS POPPE: HAJAACHWA JUUKO WALA KIIZA, WA KIGENI WOTE BADO WACHEZAJI WA SIMBA

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba hakuna mchezaji wa kigeni a...
  HIVI NDIVYO MOURINHO ALIVYOANZA USAJILI WAKE MAN UNITED

  HIVI NDIVYO MOURINHO ALIVYOANZA USAJILI WAKE MAN UNITED

  Kinda Cameron Borthwick-Jackson akisaini Mkataba wa miaka minne kuendelea kuichezea Manchester United hadi mwaka 2020 kufuatia mwanzo mzu...
  Jumatatu, Mei 30, 2016
  MOURINHO AMTAKA RIO FERDINAND AWE MSAIDIZI WAKE MAN UNITED, GIGGS...

  MOURINHO AMTAKA RIO FERDINAND AWE MSAIDIZI WAKE MAN UNITED, GIGGS...

  KOCHA Jose Mourinho amemuorodhesha Rio Ferdinand katika orodha ya watu anaotaka kufanya nao kazi kwenye benchi la Ufundi katika mapinduzi...
  SPAHIC ALIMWA NYEKUNDU BAADA YA KUMPIGA FABREGAS HISPANIA IKIILAZA BOSNIA 3-1

  SPAHIC ALIMWA NYEKUNDU BAADA YA KUMPIGA FABREGAS HISPANIA IKIILAZA BOSNIA 3-1

  Beki wa Bosnia-Herzegovina, Emier Spahic akimpa mkono wa uso kiungo wa Hispania Cesc Fabregas wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa b...
  Jumapili, Mei 29, 2016
  HARAMBEE WABANWA NYUMBANI SARE 1-1 NA TAIFA STARS KASARANI

  HARAMBEE WABANWA NYUMBANI SARE 1-1 NA TAIFA STARS KASARANI

  Na Mwandishi Wetu, NAIROBI TANZANIA ‘Taifa Stars’ imelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji Kenya ‘Harambee Stars’ katika mchezo wa kirafiki wa ...
  SAMATTAAA HUYOO EUROPA LEAGUE, APIGA BAO GENK YAUA 5-1 NA KUFUZU UEFA NDOGO

  SAMATTAAA HUYOO EUROPA LEAGUE, APIGA BAO GENK YAUA 5-1 NA KUFUZU UEFA NDOGO

  Na Mwandishi Wetu, GENK HATIMAYE ndoto za Mtanzania Mbwana Ally Samatta kucheza michuano ya Europa League mwakani zimetimia leo, baada ya ...
  CARRASCO ALIKWENDA KUMPIGA 'MIDENDA' MISS UBELGIJI BAADA YA KUISAWAZISHIA ATLETICO JANA

  CARRASCO ALIKWENDA KUMPIGA 'MIDENDA' MISS UBELGIJI BAADA YA KUISAWAZISHIA ATLETICO JANA

  Kiungo Yannick Carrasco akimpiga busu mpenzi wake, mwanamitindo na Miss Ubelgiji, Noemie Happart baada ya kuifungia bao la kusawazisha At...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top