• HABARI MPYA

  Tuesday, December 05, 2023

  BARA YATUPWA NJE KWA MATUTA NA KENYA CECAFA U18


  TANZANIA Bara imetupwa nje ya michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 18 Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U18) baada ya kufungwa na wenyeji, Kenya kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 Uwanja wa Jomo Kenyatta katika mchezo wa Nusu Fainali.
  Kenya sasa itakutana na Uganda katika Fainali ambayo imeitoa Rwanda kuwa kuichapa 1-0 hapo hapo Jomo Kenyatta.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARA YATUPWA NJE KWA MATUTA NA KENYA CECAFA U18 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top