• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 28, 2022
  Jumapili, Februari 27, 2022
  LIVERPOOL WATWAA CARABAO KWA MATUTA

  LIVERPOOL WATWAA CARABAO KWA MATUTA

  TIMU ya Liverpool imefanikiwa kutwaa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 11-10 kufuatia sare ya 0-0 ...
  MAYELE ATETEMA MARA MBILI, YANGA YASHINDA 3-0

  MAYELE ATETEMA MARA MBILI, YANGA YASHINDA 3-0

  VINARA, Yanga SC wameuanza vyema mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Kagera Sugar usiku huu Uwanj...
  MBEYA CITY YAICHOMOLEA PRISONS JIONI KABISA, 1-1

  MBEYA CITY YAICHOMOLEA PRISONS JIONI KABISA, 1-1

  TIMU za Tanzania Prisons na Mbeya City zimegawana pointi baada ya sare ya 1-1 jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja...
  ABRAMOVICH AJIWEKA KANDO UENDESHAJI CHELSEA

  ABRAMOVICH AJIWEKA KANDO UENDESHAJI CHELSEA

  MMILIKI wa Chelsea, Roman Abramovich amekabidhi usimamizi na uendeshaji wa klabu yake hiyo kwa taasisi ya hisani, kuonyesha  amekataa wito w...
  MAN CITY YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK

  MAN CITY YAICHAPA EVERTON 1-0 GOODISON PARK

  BAO pekee la kiungo Philip Foden dakika ya82 jana limeipa Manchester City FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Everton FC katika mchezo wa Li...
  Jumamosi, Februari 26, 2022
  MAN UNITED YAAMBULIA POINTI MOJA KWA WATFORD

  MAN UNITED YAAMBULIA POINTI MOJA KWA WATFORD

  WENYEJI, Manchester United wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Watford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford....
  KMC YAIMIMINIA POLISI TZ 3-1 CHAMAZI

  KMC YAIMIMINIA POLISI TZ 3-1 CHAMAZI

  WENYEJI, KMC imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex...
  MTIBWA SUGAR YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-1 SOKOINE

  MTIBWA SUGAR YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-1 SOKOINE

  TIMU ya Mtibwa Sugar imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanj...
  Ijumaa, Februari 25, 2022
  GEITA, NAMUNGO ZAFUNGUA MZUNGUKO WA PILI KWA SARE

  GEITA, NAMUNGO ZAFUNGUA MZUNGUKO WA PILI KWA SARE

  WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa kwanza kabisa wa duru la pili Ligi Kuu ya Tanzan...
  LUSAJO AMFUNIKA MAYELE KWA MABAO LIGI KUU

  LUSAJO AMFUNIKA MAYELE KWA MABAO LIGI KUU

  MSHAMBULIAJI wa Namungo FC, Relliant Lusajo amemaliza mzunguko wa kwanza anaongoza kwa mabao Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufumania ny...
  Alhamisi, Februari 24, 2022
  LIVERPOOL YAISHINDILIA LEEDS 6-0 ANFIELD

  LIVERPOOL YAISHINDILIA LEEDS 6-0 ANFIELD

  WENYEJI, Liverpool wameibuka na ushindi wa 6-0 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield usiku wa Jumatan...
  MAN U YAPATA SARE MADRID NA ATLÉTICO

  MAN U YAPATA SARE MADRID NA ATLÉTICO

  WENYEJI, Atletico Madrid wamelazimishwa sare ya 1-1 na Manchester United katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usi...
  Jumatano, Februari 23, 2022
  YANGA SC YAWAPIGA MTIBWA 2-0 MANUNGU

  YANGA SC YAWAPIGA MTIBWA 2-0 MANUNGU

  VIGOGO, Yanga SC wamekamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar jioni ya le...
  CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-0 LONDON

  CHELSEA YAICHAPA LILLE 2-0 LONDON

  WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Lille ya Ufaransa katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usik...
  Jumanne, Februari 22, 2022
  BIASHARA UNITED YAICHAPA AZAM FC 2-0 KIRUMBA

  BIASHARA UNITED YAICHAPA AZAM FC 2-0 KIRUMBA

  MABAO ya Collins Opare dakika ya  49 na James Shagara dakika ya 90 na ushei yameipa Biashara United ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC katika m...
  YANGA SC WAIFUATA MTIBWA SUGAR KWA TAHADHARI

  YANGA SC WAIFUATA MTIBWA SUGAR KWA TAHADHARI

  MSEMAJI wa Yanga SC, Haji Manara amesema mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro utakuwa mgumu kwao kw...
  NAMUNGO FC YAICHAPA MBEYA CITY 2-0 ILULU

  NAMUNGO FC YAICHAPA MBEYA CITY 2-0 ILULU

  WENYEJI, Namungo FC jana wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Ilulu mjini Li...
  Jumapili, Februari 20, 2022
  KMC YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 DAR

  KMC YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 DAR

  MABAO ya Awesu Awesu dakika ya 68 na Salum Kabunda dakika ya 90 na ushei yameipa KMC ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa...
  SIMBA SC YALAZIMISHA SARE YA 1-1 GENDARMERIE NIAMEY

  SIMBA SC YALAZIMISHA SARE YA 1-1 GENDARMERIE NIAMEY

  MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Union Sportive Gendarmerie Nationale usiku wa leo Uwanja wa wa Jénérali...
  MAN UNITED YAICHAPA LEEDS 4-2 ELLAND ROAD

  MAN UNITED YAICHAPA LEEDS 4-2 ELLAND ROAD

  TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Elland ...
  RUVU SHOOTING YAIPIGA PRISONS 1-0 SOKOINE

  RUVU SHOOTING YAIPIGA PRISONS 1-0 SOKOINE

  BAO pekee la Hamadi Majimengi dakika ya 44 limeipa Ruvu Shooting ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons jioni ya leo Uwanja wa So...
  KELL BROOK AMMALIZA KHAN RAUNDI YA SITA

  KELL BROOK AMMALIZA KHAN RAUNDI YA SITA

  BONDIA Kell Brook usiku wa kuamkia leo amemshinda Amir Khan kwa Technical Knockout raundi ya sita ukumbi wa Manchester Aren. Refa alilazimik...
  CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE 1-0

  CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE 1-0

  BAO pekee la Hakim Ziyech dakika 89 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja ...
  TOTTENHAM YAILAZA MAN CITY 2-1 ETIHAD

  TOTTENHAM YAILAZA MAN CITY 2-1 ETIHAD

  MABINGWA watetezi, Manchester City wamechezea kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa Tottenham Hotspur jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England U...
  ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 2-1 EMIRATES

  ARSENAL YAICHAPA BRENTFORD 2-1 EMIRATES

  WENYEJI, Arsenal wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Brentford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Emirates Jijini London. ...
  LIVERPOOL YAICHAPA NORWICH CITY 3-1 ANFIELD

  LIVERPOOL YAICHAPA NORWICH CITY 3-1 ANFIELD

  WENYJI, Liverpool jana waliitandika Norwich City mabao 3-1 Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Milot Rashica alianza kui...
  Jumamosi, Februari 19, 2022

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top