• HABARI MPYA

  Monday, December 18, 2023

  COASTAL UNION YAITIMBA JKT TANZANIA 1-0 CHAMAZI


  BAO pekee la Maabad Maulid dakika ya 87 limetosha kuipa Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  Kwa ushindi huo, Coastal Unión inafikisha pointi 19 na kusogea nafasi ya sita, wakati JKT Tanzania inabaki na pointi zake 16 nafasi ya saba baada ya wote kucheza mechi 14.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAITIMBA JKT TANZANIA 1-0 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top