• HABARI MPYA

    Showing posts with label KOMBE LA CHALLENGE. Show all posts
    Showing posts with label KOMBE LA CHALLENGE. Show all posts
    Saturday, June 11, 2022
    OPA CLEMENT AWA MFUNGAJI BORA CECAFA CHALLENGE

    OPA CLEMENT AWA MFUNGAJI BORA CECAFA CHALLENGE

    MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Opa Clement Sanga ameibuka mfungaji bora wa michuano ya CECAFA Challenge Wanawake iliyofikia tamati leo Jinja nchi...
    KILIMANJARO QUEENS YAFUNGWA 2-1 NA ETHIOPIA

    KILIMANJARO QUEENS YAFUNGWA 2-1 NA ETHIOPIA

    TIMU ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens imechapwa mabao 2-1 na Ethiopia katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu michuano ya CECAF...
    Thursday, June 09, 2022
    KILIMANJARO QUEENS YATUPWA NJE CECAFA CHALLENGE

    KILIMANJARO QUEENS YATUPWA NJE CECAFA CHALLENGE

    NDOTO za Tanzania Bara kutwaa Kombe la CECAFA Challenge Wanawake 2022 zimeota mbawa baada ya kuchapwa 2-1 na Burundi leo Uwanja wa FTC Njeru...
    Tuesday, June 07, 2022
    KILIMANJARO QUEENS YAICHAPA ZANZIBAR QUEENS 12-0 CHALLENGE

    KILIMANJARO QUEENS YAICHAPA ZANZIBAR QUEENS 12-0 CHALLENGE

    TIMU za taifa za Tanzania Bara, Kilimanjaro Queens imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya michuano ya CECAFA Challenge baada ya ushindi wa 12-0 ...
    Thursday, June 02, 2022
    Wednesday, June 01, 2022
    Monday, May 30, 2022
    TWIGA STARS WANAVYOJIANDAA NA KOMBE LA CHALLENGE KAMBINI BUKOBA

    TWIGA STARS WANAVYOJIANDAA NA KOMBE LA CHALLENGE KAMBINI BUKOBA

    WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Bara, Twiga Stars wakiwa mazoezini Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Kagera kujiandaa na mashind...
    Monday, August 23, 2021
    RAIS SAMIAH AJUMUIKA NA MABINGWA WA CHALLENGE IKULU

    RAIS SAMIAH AJUMUIKA NA MABINGWA WA CHALLENGE IKULU

      RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na kikosi cha timu ya vijana ya Tanzania chi...
    Sunday, August 01, 2021
    MHESHIMIWA RAIS SAMIAH AIPONGEZA TIMU YA VIJANA KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE U23 ETHIOPIA

    MHESHIMIWA RAIS SAMIAH AIPONGEZA TIMU YA VIJANA KWA KUTWAA UBINGWA WA CECAFA CHALLENGE U23 ETHIOPIA

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan ameipongeza timu ya vijana kwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afri...
    Saturday, July 31, 2021
    KIKOSI CHA TANZANIA KILICHOTWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE U23 KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA

    KIKOSI CHA TANZANIA KILICHOTWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE U23 KUREJEA NCHINI KESHO MCHANA

    KIKOSI cha Tanzania kilichotwaa ubingwa wa Kombe la Mafaifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23, CECAFA Challen...
    Friday, July 30, 2021
    Monday, November 30, 2020
    NGORONGORO HEROES YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0, KUMENYANA NA UGANDA FAINALI CECAFA U-20

    NGORONGORO HEROES YAICHAPA SUDAN KUSINI 1-0, KUMENYANA NA UGANDA FAINALI CECAFA U-20

    TANZANIA imefanikiwa kwenda Fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa vijana chini ya umri wa miaka 2...
    Sunday, November 22, 2020
    NGORONGORO HEROES WAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA, WAICHAPA DJIBOUTI 6-1 KARATU

    NGORONGORO HEROES WAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA, WAICHAPA DJIBOUTI 6-1 KARATU

      Mchezaji wa Ngorongoro Heroes Abdul Hamisi Suleiman akiwa na mpira baada ya kufunga mabao matatu dakika za 65,71 na 90 katika ushindi wa 6...
    Friday, November 20, 2020
    MKUU WA MKOA WA ARUSHA AWATEMBELEA NGORONGORO HEROES KUELEKEA MICHUANO YA CECAFA U-20

    MKUU WA MKOA WA ARUSHA AWATEMBELEA NGORONGORO HEROES KUELEKEA MICHUANO YA CECAFA U-20

      Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta (Katikati), leo ametembelea Kambi ya timu ya taifa U20 “Ngorongoro Heroes” iliyopo Karatu, Ngorongoro ...
    Thursday, November 19, 2020
    TANZANIA BARA YAPANGWA KUNDI A PAMOJA NA SOMALIA NA DJIBOUTI MICHUANO YA CECAFA U20

    TANZANIA BARA YAPANGWA KUNDI A PAMOJA NA SOMALIA NA DJIBOUTI MICHUANO YA CECAFA U20

      TANZANIA imepangwa Kundi A pamoja na Somalia na Djibouti kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA U-20) kwa...
    Thursday, December 19, 2019
    UGANDA WAIPIGA ERITREA 3-0 NA KUTWAA KOMBE LA CHALLENGE

    UGANDA WAIPIGA ERITREA 3-0 NA KUTWAA KOMBE LA CHALLENGE

    Na Mwandishi Wetu, KAMPALA UGANDA wamefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge baada ya ushindi wa 3...
    STARS YAAGA MICHUANO YA CHALLENGE KWA KUCHAPWA 2-1 NA HARAMBEE STARS LEO LUGOGO

    STARS YAAGA MICHUANO YA CHALLENGE KWA KUCHAPWA 2-1 NA HARAMBEE STARS LEO LUGOGO

    Na Mwandshi Wetu, KAMPALA TANZANA Bara imeaga michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kwa kuchapwa maba...
    Wednesday, December 18, 2019
    Tuesday, December 17, 2019
    UGANDA YAIPIGA BARA 1-0 NA KUTINGA FAINALI CHALLENGE, KUMENYANA NA ERITREA ILIYOICHAPA KENYA 4-1

    UGANDA YAIPIGA BARA 1-0 NA KUTINGA FAINALI CHALLENGE, KUMENYANA NA ERITREA ILIYOICHAPA KENYA 4-1

    Na Mwandishi Wetu, KAMPALA NDOTO za Tanzania Bara kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kwa mara ya nne zi...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    HABARI ZA ASIA

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top