• HABARI MPYA

  Alhamisi, Mei 31, 2018
  SINGIDA UNITED YASHUSHA MUIVORY COAST NA MBRAZIL, YAKUBALI KUMUUZA KUTINYU AZAM FC

  SINGIDA UNITED YASHUSHA MUIVORY COAST NA MBRAZIL, YAKUBALI KUMUUZA KUTINYU AZAM FC

  Na Mwandishi Wetu, ARUSHA KLABU ya Singida United leo imesajili wachezaji watatu wapya kuelekea msimu ujao, wakiwemo Muivory Coast kiungo ...
  YONDAN ‘AWAZODOA SIMBA’ AIBUKA JANGWANI NA KUTETA NA MKWASA, NYIKA

  YONDAN ‘AWAZODOA SIMBA’ AIBUKA JANGWANI NA KUTETA NA MKWASA, NYIKA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM NAHODHA wa Yanga SC, Kevin Patrick Yondan ameonyesha dalili atabaki baada ya leo kufika makao makuu, Jang...
  ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID, WENGER ATAJWA KUMRITHI

  ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID, WENGER ATAJWA KUMRITHI

  KOCHA Mfaransa, Zinedine Zidane amejiuzulu ukocha wa Real Madrid baada ya kuiongoza timu kutwaa mataji matatu ya kihistoria ya Ligi ya Mab...
  BOCCO, OKWI, MAVUGO NA WAGHANA WOTE HAWAMO SIMBA KIKOSI CHA SPORTPESA KENYA

  BOCCO, OKWI, MAVUGO NA WAGHANA WOTE HAWAMO SIMBA KIKOSI CHA SPORTPESA KENYA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VINARA wa mabao wa Simba SC, Nahodha John Raphael Bocco na Mganda Emmanuel Arnold Okwi wote hawamo kwenye...
  MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME KUFANYIKA SAMBAMBA NA KOMBE LA DUNIA MWEZI HUU DAR

  MICHUANO YA KOMBE LA KAGAME KUFANYIKA SAMBAMBA NA KOMBE LA DUNIA MWEZI HUU DAR

  Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MICHUANO ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama CECAFA Kagame itafanyika mjini Dar es Sa...
  BENZEMA AKERWA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA UFARANSA

  BENZEMA AKERWA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA UFARANSA

  MSHAMBULIAJI wa  Real Madrid , Karim Benzema ameshangazwa na kitendo cha Rais wa Shirikisho la Soka Ufaransa (FFF), Noel Le Graet kumuonge...
  Jumatano, Mei 30, 2018
  SALAH NJE WIKI TATU MISRI, LIVERPOOL, SASA KOMBE LA DUNIA...

  SALAH NJE WIKI TATU MISRI, LIVERPOOL, SASA KOMBE LA DUNIA...

  MSHAMBULIAJI  Mohamed Salah  anaweza kucheza Fainali za Kombe la Dunia kuanzia hatua ya makundi, baada ya Chama cha Soka Misri (EFA) kusem...
  KIUNGO CHIPUKIZI YANGA, MAKA EDWARD AMVULIA MCHEZAJI MPYA JEZI NAMBA 8

  KIUNGO CHIPUKIZI YANGA, MAKA EDWARD AMVULIA MCHEZAJI MPYA JEZI NAMBA 8

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WAKATI kikosi cha Yanga SC kinaondoka kesho mjini Dar es Salaam kwenda Kenya kwa ajili ya michuano ya Spo...
  SINGIDA UNITED WAWAAMBIA MTIBWA SUGAR; “MNAKUJA KUTALII TU ARUSHA, MABINGWA NI SISI”

  SINGIDA UNITED WAWAAMBIA MTIBWA SUGAR; “MNAKUJA KUTALII TU ARUSHA, MABINGWA NI SISI”

  Na Sada Salmin, ARUSHA UONGOZI wa Singida United umetamba wao ndiyo mabingwa wapya wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu ...
  Jumanne, Mei 29, 2018
  SIMBA NA YANGA ZAENDA KUTAFUTANA KENYA KWA MECHI YA NNE YA MSIMU

  SIMBA NA YANGA ZAENDA KUTAFUTANA KENYA KWA MECHI YA NNE YA MSIMU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MAHASIMIU wa jadi katika soka ya Tanzania, Simba na Yanga wanaweza kukutana kwa mara ya nne msimu huu kwe...
  MTIBWA SUGAR YAIENDEA SINGIDA UNITED NA KIKOSI KAMILI HADI TIMU YA VIJANA WOTE

  MTIBWA SUGAR YAIENDEA SINGIDA UNITED NA KIKOSI KAMILI HADI TIMU YA VIJANA WOTE

  Na Mwandishi Wetu, MOROGORO KIKOSI cha Mtibwa Sugar kinaondoka kesho Alfajiri Manungu, Turiani mkoani Morogoro kwenda Arusha tayari kwa fa...
  TUNISIA WAICHOMOLEA URENO MABAO YOTE, SARE 2-2 BRAGA

  TUNISIA WAICHOMOLEA URENO MABAO YOTE, SARE 2-2 BRAGA

  Nyota wa Manchester City, Bernando Silva wa Ureno akikabiliana na mchezaji wa Tunisia wakati wa mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja...

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top