• HABARI MPYA

  Saturday, December 09, 2023

  COASTAL UNION YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MKWAKWANI


  BAO pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
  Ushindi huo unaifanya Coastal Unión ifikishe pointi 16 katika mchezo wa 13 na kusogea nafasi ya saba, wakati Kagera Sugar wanabaki na pointi zao 13 za mechi 11 nafasi ya 12.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top