• HABARI MPYA

  Saturday, December 16, 2023

  CHELSEA YAICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-0 STAMFORD BRIDGE


  WENYEJI, Chelsea FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sheffield United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja Stamford Bridge Jijini London.
  Mabao ya Chelsea leo yamefungwa na Cole Palmer dakika ya 54 na Nicolas Jackson dakika ya 61 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 22 na kusogea nafasi ya 10, wakati Sheffield United inabaki na pointi zake nane na kuendelea kushika mkia baada ya wote kucheza mechi 17.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAICHAPA SHEFFIELD UNITED 2-0 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top