• HABARI MPYA

  HABARI MOTOMOTO

  HABARI YA KIMATAIFA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  • HABARI ZA NYUMBANI
  • SIMBA
  • YANGA
  • AZAM
  Jumatatu, Januari 17, 2022
  WENGINE WASHINDA MAMILIONI SPORTPESA JACKPOT BONUS

  WENGINE WASHINDA MAMILIONI SPORTPESA JACKPOT BONUS

  WAKAZI wa Geita, Iringa, Dar es Salaam, Zanzibar na Tunduma mkoani Songwe wameibuka washindi wa Jackpot Bonus ya Sportpesa kwa kushinda  tim...
  Jumapili, Januari 16, 2022
  YANGA YAIZIMA COASTAL MKWAKWANI,YAIPIGA 2-0

  YANGA YAIZIMA COASTAL MKWAKWANI,YAIPIGA 2-0

  VIGOGO, Yanga SC wamerejea na moto wao kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union jioni ya leo...
  DODOMA JIJI YATOA SARE NA GEITA 1-1 JAMHURI

  DODOMA JIJI YATOA SARE NA GEITA 1-1 JAMHURI

  WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa jana Uwanja wa Jamhuri ...
  Jumamosi, Januari 15, 2022
  BODI YAUFUNGIA TENA UWANJA WA MABATINI

  BODI YAUFUNGIA TENA UWANJA WA MABATINI

  BODI ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imeufungia tena Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani baada ya kubaini bado hauki...
  BIASHARA YALAZIMISHWA SARE 3-3 NA KAGERA MUSOMA

  BIASHARA YALAZIMISHWA SARE 3-3 NA KAGERA MUSOMA

  WENYEJI, Biashara United wamelazimishwa sare ya 3-3 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Karume...
  HAPPY BIRTHDAY CHAMPION TWAHA KIDUKU...

  HAPPY BIRTHDAY CHAMPION TWAHA KIDUKU...

  LEO amezaliwa bingwa wa ngumi za Kulipwa nchini uzito wa Super Middle, Twaha Kassim Rubaha, anafahamika zaidi kama ‘Twaha Kiduku’. HAPPY BIR...
  Ijumaa, Januari 14, 2022
  RUVU SHOOTING YALAZIMISHWA SARE NA MTIBWA 1-1 MABATINI

  RUVU SHOOTING YALAZIMISHWA SARE NA MTIBWA 1-1 MABATINI

  WENYEJI, Ruvu Shooting wamelazimishwa sare ya 1-1 na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mabatini...
  Alhamisi, Januari 13, 2022
  SIMBA SC MABINGWA KOMBE LA MAPINDUZI 2022

  SIMBA SC MABINGWA KOMBE LA MAPINDUZI 2022

  BAO la penalti la mshambuliaji Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddi Kagere limeipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika Faina...
  RUVU SHOOTING YASAJILI SABA WAPYA KUIMARISHA KIKOSI LIGI KUU

  RUVU SHOOTING YASAJILI SABA WAPYA KUIMARISHA KIKOSI LIGI KUU

  KLABU ya Ruvu Shooting ya Pwani imeimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji saba wapya kuelekea sehemu iliyobaki ya Ligi Kuu ya Tanzania...
  KIIZA ‘DIEGO’ ALIYEWIKA SIMBA NA YANGA ATUA KAGERA SUGAR

  KIIZA ‘DIEGO’ ALIYEWIKA SIMBA NA YANGA ATUA KAGERA SUGAR

  TIMU ya Kagera Sugar imesajili washambuliaji wawili wapya katika dirisha hili dogo kuimarisha kikosi chake kuelekea sehemu iliyobaki ya Ligi...
  MHESA AREJEA MTIBWA SUGAR BAADA YA NUSU MSIMU RUVU

  MHESA AREJEA MTIBWA SUGAR BAADA YA NUSU MSIMU RUVU

  KIUNGO Ismail Aidan Mhesa amerejea klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro baada ya nusu msimu ya kuwa na Ruvu Shooting ya Pwani, huo ukiwa mwende...
  Jumatano, Januari 12, 2022
  Jumanne, Januari 11, 2022
  BODI YAFANYA MAREKEBISHO MENGINE RATIBA LIGI KUU

  BODI YAFANYA MAREKEBISHO MENGINE RATIBA LIGI KUU

  BODI ya Ligi Kuu Tanzania ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imefanya marekebisho mengine madogo ya ratiba ya Ligi Kuu kwa mechi kadhaa z...
  Jumatatu, Januari 10, 2022

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top