• HABARI MPYA

  Tuesday, December 05, 2023

  MASHUJAA YAAMBULIA SARE 1-1 KWA TABORA UNITED KIGOMA


  WENYEJI, Mashujaa FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na jirani zao, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
  Mashujaa FC walianza kupata bao kupitia kwa Jeremanus Josephat dakika ya 11, kabla ya Eric Okutu kuisawazishia Tabora United dakika ya 47.
  Kwa matokeo hayo, Mashujaa wanafikisha pointi tisa katika mchezo wa 10, ingawa wanabaki nafasi ya 15, wakati Tabora United inafikisha pointi 15 na kusogea nafasi ya saba baada ya kucheza mechi 11. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHUJAA YAAMBULIA SARE 1-1 KWA TABORA UNITED KIGOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top