• HABARI MPYA

  Thursday, December 21, 2023

  CHAMA NA KAPAMA WASIMAMISHWA SIMBA SC UTOVU


  VIUNGO Mzambia, Clatous Chotta Chama na mzawa, Nassor Kapama wamesimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu na shauri lao litapelekwa Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHAMA NA KAPAMA WASIMAMISHWA SIMBA SC UTOVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top