• HABARI MPYA

  Thursday, December 14, 2023

  MSAUZI MARUPING NDIYE VIDEO ANALYSTS MPYA WA YANGA SC


  KLABU ya Yanga imemtambulisha Mpho Maruping (32), Mwanasoka mstaafu wa Afrika Kusini kuwa mtaalamu wake mpya wa kuchambua video za mechi zake na za wapinzani kwa ajili ya kumsaidia Kocha Muargentina Miguel Gamondi kusuka mipango ya mchezo.
  Maruping, mchezaji wa zamani wa TS Sporting FC, Free State Stars, Bloemfontein Celtic, University of Pretoria na Atlie FC zote za Afrika Kusini tayari amekwishajiunga na timu hiyo kwa zaidi ya wiki mbili sasa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSAUZI MARUPING NDIYE VIDEO ANALYSTS MPYA WA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top